Barua toka kwa.....

Men you have to mov one with your life. Maana ikiwa kwa mfano ungekuwa umeshafanya mapenzi na yeye ingekuwaje. Usingekuwa unamfeel hata msichana wako utakayekuwa nae. Maisha ni mapito na hayana budi kuwepo ila pambana na hilo then muombe Mungu na mshukuru kwa klililotokea na then muombe akupe mtu atakayeziba pengo la janet then move on brother

mkuu Jannet hakuwa sababu ya yeye kupata HIV, hakuwa mwenye stahi ya kupata HIV, ukweli hakuwahi kumjua mwanamme yeyote yule, she left with her virginity, she was strong enough compared with anyone I met, alikuwa mwepesi kujirudi iwapo alikosea, hakupenda kumuudhi mtu mwenye rika lolote lile ingawa kielimu, kimaisha alikuwa juu sana, alijishusha kulingana na mtu alienae, alijiweka kulingana jinsi dunia inavyokwenda...I LOVED HER for all she was...
 
Mkuu i understand the pain and hustle u have to go through till now. But life have to go on and we can not let the past ruin our future and we can not live with expectation that the past will come up again. Yes you love her to the maximum and from the bottom of your heart then what next. She is not there now to cherish your love to show you how she loved you and care about you. So men be strong as men and let the past go and dream fro the future
 
U got the spot men...
 
ashadii ujue wengi wengi tunajua kusema nakupenda lkn kujua jinsi ya kulipenda penzi na kulitunza hilo penzi ndio kazi...Jannet alinisaidia mambo mengi sana ni pamoja na mie kujiona nitatenda dhambi ingawa nitalazimisha kufanya nae tendo la ndoa, Alijua mie sio mtu wa papala na alijua ataweza kuishi na mimi kwa muda mrefu ila mitego yake yote ili kuachana na mimi ilifail na alijua yote hayo....Sikuweza msaliti kwa jinsi yoyote ile, kila nilichojua kitaweza tetelesha mahusiaono yetu nilimueleza kabla yeye kujua, tulishauriana jinsi ya kuepuka uzembe, hiyo ilinifanya kila nimuonapo Jannet niliona kama ndo siku ya kwanza kukutana nae, Jannet baada ya kuondoka afya yake ilizidi kudhorota kila siku, nadhani nia ukosefu wa furaha, nilipokea barua ya pili toka kwake nitaiweka hapa maana kila nikijaribu kuisoma machozi hunitoka hivyo nimeifungia sehemu......

aaaiiiseee.... Magu sipendi mwanaume wakulia saaana... (na ladies wengi...)
I hope you cry alone...

Nakubaliana na maneno yako... beautiful...
 
I had only cried for tw people in my Life...first was my mom when she passed away...second was my only one Jannet nimesema my only one maana she was special and she still special for me nitamuenzi kama Jannet wangu na sio kama msichana wangu...these two cries ndo mara nyingi huwa zinajirudia tuuu...Sijawahi onwa na mtu niwazapo kuhusu Jannet(I do it for her) maana Love is inside not outside to show...is a burning inside...Only Jannet has to feel my cries otherwise am wrong..
 
Wanyama weusi kama mimi na wewe...bila kumsahau dada yetu Janet popote pale alipo.

Kuna ukweli ndani yake eeeehhhhh? maana akionekana simba mweupe kuna kasoro halafu hao ni weusi ndo wa kwanza kusema hivyo....Akionekana Panya mweupe kasheshe...farasi mweupe akiwepo napo kazi ipo lkn mweusi wala hamna mshangao....njiwa mweupe hutumika kulogea, kuku weupe nao hivyo hivyo...heeeeeeeeeeeeeee LIZZY how did u know this? Zeruzeru wa kiafrica tumejionea lkn zeruzeru wa kithungu wala hamna mshangao...mamaaaaaaaaa yameandikwa wapi LIZZY haya?
 
I had only cried for tw people in my Life...first was my mom when she passed away...second was my only one Jannet nimesema my only one maana she was special and she still special for me nitamuenzi kama Jannet wangu na sio kama msichana wangu...these two cries ndo mara nyingi huwa zinajirudia tuuu...Sijawahi onwa na mtu niwazapo kuhusu Jannet(I do it for her) maana Love is inside not outside to show...is a burning inside...Only Jannet has to feel my cries otherwise am wrong..

Kuna watu wengine katika maisha yako wanaweza kabisa kukugusa katika namna ambayo hajatokea mtu mwingine kukugusa kiasi hicho. Hivyo kwa maoni yangu hakuna ubaya wowote kuangusha machozi kwa watu hao hata kama hawapo nawe tena katika maisha yako. Hata Wanaume huwa wanalia na kwa maoni yangu sidhani kama ni kitu cha ajabu sana. Mwenyezi Mungu azilaze roho za marehemu mama yetu na Janet mahali pema peponi~AMEN.
 
Kuna watu wengine katika maisha yako wanaweza kabisa kukugusa katika namna ambayo hajatokea mtu mwingine kukugusa kiasi hicho. Hivyo kwa maoni yangu hakuna ubaya wowote kuangusha machozi kwa watu hao hata kama hawapo nawe tena katika maisha yako. Hata Wanaume huwa wanalia ni kwa maoni yangu sidhani kama ni kitu cha ajabu sana. Mwenyezi Mungu azilaze roho za marehemu mama yetu na Janet mahali pema peponi~AMEN.

mkuu acha, utasema kama hayako kwako, yakikufika machozi hutoka bila kujua mzee...
 
  • Thanks
Reactions: BAK
I had only cried for tw people in my Life...first was my mom when she passed away...second was my only one Jannet nimesema my only one maana she was special and she still special for me nitamuenzi kama Jannet wangu na sio kama msichana wangu...these two cries ndo mara nyingi huwa zinajirudia tuuu...Sijawahi onwa na mtu niwazapo kuhusu Jannet(I do it for her) maana Love is inside not outside to show...is a burning inside...Only Jannet has to feel my cries otherwise am wrong..

Saaafi saana... AshaDii is Proud of her fellow JF Member Magulumalu.....
 
3 Reactions
Reply
Back
Top Bottom