Baraza Madaktari Tanzania (MCT) lamgomea Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu kuhusu Madaktari Watarajali

Tofautisha NECTA na MCT, kwanza MCT hawakuundwa kwa ajili ya kutoa mitihani, NECTA ni chombo cha mitihani. NECTA ipo kwa ajili ya mitihani, isipofanyika kuna madhara, MCT mitihani isipofanyika hakuna madhara kwa sababu haikuwepo tangu enzi. Hata nchi za Wenzetu hawana Ujinga huu.
MCT ni wasimamizi na warasimishaji wenu

Fanyeni papers
 
1. Then huo pre internship unasaidia vipi kuhamonize uelewa wa hao wanafunzi?
2. Kwanini harmonization isifanywe na TCU kwa kufanya curriculum ziwe sawa

3. Mie sio daktari lakini nilifikiri medical profession inafuata muongozo wa WHO hivyo curriculum kutotofautiana sana
Mwongozo wa WHO hakuna Preinternships, hakuna mtihani wa postinterndhip.Wanafunzi hupimwa na madaktari bingwa kwa Vitendo
maeneo ya kazi na siyo maswali 150 ya kuchagua. Hii ipo bongo pekee.
 
Hawa vijana wa siku hizi wamekengeuka

Wana viongozi wanaowaangamiza kabisa

Ni rahisi kuvuka hata three intakes za watarajali na Bado sekta isione impact kwasababu nafasi za ajira Bado ni ndogo

Vijana wajitafakari
Kakuambia nani, hebu wafanye hivyo mwaka mmoja wanaine impact yake. Si waliondoa kigezo cha kwenda kufanya kazi mpaka mtu afaulu preinternship? Kwanini waliondoa? Warudishe uone hali itakavyokua mbaya.
 
Usichanganye madesa. Hii ni field ambayo watu wanaenda ku deal na Uhai wa watu.

Kwenda Intern ni kama tayari wewe ni Daktari kamili. Ndio maana Sheria iliwataka waape ndipo waende intern. Je! SHERIA IMEBADILIKA? Nani kaibadili? Kwanini? Je! Ilipitiwa na mamlaka husika na stakeholders. Tupe majibu!! Msicheze na UHAI WETU.
Haelewi chochote huyo
 
Kakuambia nani, hebu wafanye hivyo mwaka mmoja wanaine impact yake. Si waliondoa kigezo cha kwenda kufanya kazi mpaka mtu afaulu preinternship? Kwanini waliondoa? Warudishe uone hali itakavyokua mbaya.
Mmejisahau kabisa kwamba rate ya production yenu ni kubwa kuliko absorption capacity ya mfumo

You need a reality check
 
Kichwa chako kimejaa maji tu? Unapimaje utofauti wa vyuo kwa maswali ya kuchagu kwa masaa 3? Kupima vyuo ni kazi ya MCT? MCT wanapima wanafunzi au madaktari?
Aliyemaliza internship na ambaye hajaanza yupi ni Daktari?

Unaandika ujinga!
Nyie ni "Late Adopters" kwenye "Change Process"...

Msijali, mtazoea tuu. Poleni kwa maumivu makali mnayopitia..

Lakini mitihani haitakaa ifutwe, na huwezi kuwa licensed bila mtihani, utakw usitake.
 
Umenikumbusha Mwalimu wangu wa Special Machine, Dr Saanane alivyotung'ang'ania kwa chuki za baadhi ya wanafunzi waliokuwa karibu na walimu wengine.... haya mambo ya mitihani kuna baadhi ya walimu wanaingiza chuki binafsi na roho mbaya, hebu fikiria mtu kasoma miaka 5 chuoni, A level miaka 2, O'level miaka 4 bado hawaridhiki. Hii mitihani iendane basi na upatikanaji wa hela & ajira kwa wahitimu.
Mitihani mingi lakini ajira hakuna, na ukipata hiyo ajira mshahara wake ni hela ya nyanya, hautoshelezi hata kupanga nyumba ya vyumba vitatu
 
Msilete siasa kwenye profession

Waziri hasimamii ubora wako yeye anasimamia Sera

Msimuingize mh waziri kwenye mgongano usio na sababu

Fanyeni mitihani
Ninyi Bado hamjatambulika kwenye fani hadi mfaulu

Wanasheria wamekubali na wametulia

Mnachofanya ni kumharibia mh waziri kibarua chake
Wafanye mtihani, over!
Hakuna anayekataa mitihani. Sheria iliyoanzisha mitihani hii ipo na imekuwa ikifanyika miaka yote.

Je! Sheria ya kubadilisha mitihani hiyo na kuanzisha Pre na sio Post ndio mjadala.

Pia, zamani ilikuwa huanzi Internship mpaka UMEAPA! Sasa leo Internship unaanza bila kiapo! Una Linda’s na kusimamiwa na maadili gani?

Jambo hili linahitaji busara na HEKIMA Katika kuliamua na sio MIHEMUKO ya upande wowote. Kazi ya ukadtari inahitaji UPENDO mkubwa. Kuwavuruga hawa vijana ni kupeleka hasira mitaani na kwenye Kazi na watakaoumia ni wengine kabisa.

Mwisho kama Vyuo vya udaktari vinatoa madaktari wasio na uwezo! NANI WA KULAUMIWA? Hawa vijana au viongozi wenye dhamana?
 
Back
Top Bottom