Power G
JF-Expert Member
- Apr 20, 2011
- 3,886
- 1,194
Tende tutapata wapi na mwezi mtukufu ndiyo huo unakaribia?
Tende tutapata wapi na mwezi mtukufu ndiyo huo unakaribia?
kazi ipo mdau,,,,,,kwani tanzania na Iran kwa sasa wana deal gani????
..this is a scandal.
..I am sure Dr.Shein na Balozi Seif Iddi hawakuwa na habari na suala hili.
..ZNZ na wakala wao huko Dubai wanapaswa kufuta usajili wa hizo meli haraka iwezekanavyo.
..what if USA na marafiki zake wakiamua kulipiza kisasi na kuziwekea vikwazo meli zote zinazopeperusha bendera ya Tanzania?? Is Tanzania ready for that??
Ship Registrar, Admnistrator/Govt.Representative - Mr. Abdulla Mohammed Abdalla, popote alipo akamatwe na ahojiwe kwa nini alitoa kibali cha kusajili (re-flag) meli za mafuta za Iran na kuruhusu zipeperushe bendera ya taifa letu??!!??
Hivi huyuuu.... sio waziri wa nchi jirani ya zanzibar kweliii....? Kama ni yeye itakuwa ngumu kumkamata, labda sijui....., naona tuwaachie wenyewe wazenji....aaarrghh!!!
kazi ipo mdau,,,,,,kwani tanzania na Iran kwa sasa wana deal gani????
Wakati mataifa ya Magharibi yanatishia kuiwekea vikwazo Tanzania kwa kuruhusu usajili ya meli za mafuta za Iran na kutumia bendera ya Taifa, baraza la wawakishi Zanzibar, limesema Zanzibar kama sehemu ya Muungano wa haki ya kusajili meli ya Iran au nchi yoyote ile kwa maslahi ya Wazanzibar na kuwa taarifa na kelele zinazoendelea ni njia ya kutaka kuwakatika tamaa Wazanzibar kujiletea maendeleo.
My take:
Huu ni mwendelezo wa kutaka kuhalalisha kuvunjika kwa muungano.
Nilishawahi kusema mara kadhaa kuwa sheria zetu (na Muungano wetu) ni legelege a.k.a. dhaifu. Mimi sihalalishi wala kupinga sheria hiyo ya Zanzibar, lakini ipo tangu mwaka 2006 (miaka sita), sasa kwa nini kama ni kosa la "Kimuungano" serikali ya Muungano imenyamaza miaka yote sita?Mkuu, ningependa kila mmoja asome post yako. Tatizo hata sheria uliyotaja na Sheria ya Zanzibar, japo mwishoni imetaja kwamba meli ikifanywa hivyo itakuwa mali ya TANZANIA.
Lakini hujataja sheria ya namna hiyohiyo huku TANGANYIKA yaani Bara au hata Sheria ya Muungano kuhusu suala hilo.
Bado kuna deni na si kwamba hapo umemaliza tatizo.
GREAT THINKERS
Je zanzibar imevunja mkataba upi kwa kimataifa kwenye hili suala?
naomba mwenye hiyo sheria iliyovunjwa atuletee
naamini GREAT THINKERS sio watu wa kubwabwaja tuu bila kuleta huo mkataba wa kimataifa uliovunjwa na serikali ya Iran
Nilishawahi kusema mara kadhaa kuwa sheria zetu (na Muungano wetu) ni legelege a.k.a. dhaifu. Mimi sihalalishi wala kupinga sheria hiyo ya Zanzibar, lakini ipo tangu mwaka 2006 (miaka sita), sasa kwa nini kama ni kosa la "Kimuungano" serikali ya Muungano imenyamaza miaka yote sita?
GREAT THINKERS
Je zanzibar imevunja mkataba upi kwa kimataifa kwenye hili suala?
naomba mwenye hiyo sheria iliyovunjwa atuletee
naamini GREAT THINKERS sio watu wa kubwabwaja tuu bila kuleta huo mkataba wa kimataifa uliovunjwa na serikali ya Iran
kila kitu lazima mabwana zenu waamue na nyinyi mnafuata
USA inaipa ZNZ kiasi gani?
Na kama IRAN imeamua kuwapa 10x more ....i'd say good for ZNZ
Punguza kwanza jazba
Je Zanzibar imevunja mkataba wowote wakimataifa?
Upi na sheria zipi?
Hili ndilo tatizo letu Mkuu. Hii nchi imekuwa ya kila mtu kufanya anachotaka. Katiba yetu sheria zetu zimejaa matundu. Baba wa nyumba hujui au unapuuza kinachofanyika nyumbani mwako mpaka usome kwenye mitandao na vyombo vya habari, tena vya nje.Hapa utapewa jibu kwamba '' hili jambo hata mimi naliona kwenye mitandao, kwa kweli hatukujua, tutamwambia mwanasheria mkuu wa seriali alifuatilie, na tutatoa taarifa'' hili ndio litakuwa jibu...
Sina hakika kama ZNZ inavunja sheria za JMT au la, lakini ninachojua ni kuwa ZNZ walijitungia sheria inayohusiana na jambo hili tangu mwaka 2006 na tangu mwaka 2009 mpaka sasa tayari wameshasajili meli 366 za mafuta na mizigo. Serikali ya Muungano muda wote huo kwa nini inakaa kimya?Zanzibar inavunja sheria kwa kusajili meli kwa sheria za Zanzibar na kutumia bendera ya Jamhuri ya muungano wa Tanzania.Mpaka sasa Zanzibar hawajapata mbinyo wa Marekani na nchi za jumuiya ya Ulaya kwakuwa bendera inayotumika ni mali ya Tanzania.Ifahamike Zanzibar wana bendera yao,wimbo wao wa taifa,Rais na makamu wawili wa Rais ambao hawatambuliwi na katiba ya JMT.
Marekani na umoja wa nchi za ulaya wataibana serekali ya Tanaganyika wakati watenda makosa ni waZanzibar.
SMZ imegoma kufuta usajili LIWALO LIWE. Taratibu mambo yanachangamka.
kazi ipo mdau,,,,,,kwani tanzania na Iran kwa sasa wana deal gani????