BARAZA la Mawaziri Kivuli, Kambi Rasmi ya Upinzani baada ya mabadiliko

Mawaziri ni wale wale, majina yaleyale, wizara walizoshikillia kwa muda mrefu zilezile....tumechoka chadema hawana watu wengine???????????

Labda huwafahamu wa awali. Wafuatao hawapo:
1. John Shibuda
2. Joseph Selasini
3. Mustafa Akunaay
 
Hapo ndipo ninaposhangaa.
Chadema walitoa msimamo wao kuhusu viti maalum kuwa pamoja na vigezo vingine lakin suala la ilmu lilikuwa muhimu sana.

Je katika hizi nafasi za UWAZIRI wametumia vigezo gani? Skuli au kujuana.

Vipi kuhusu Mbilinyi na Nyerere na uwaziri wao.

Wewe kaendeleze tu mradi wenu wa kuchoma makanisa huko Zenji nasikia wajomba zenu huko Oman wameongeza dau.
 
Chadema bana mtu hakiwa hana elimu hakiwa kwao ana busara hakiwa sehemu ingine wanamuita Kilaza.
kama na wewe hujajaliwa kuwa dunia huru huwezi elewa.Labda urudie hotuba ya mch msigwa ,pengine utaelewa ni kwanini ukiwa na elimu zako halafu ukashindwa toka ccm basi utakuwa umeweka elimu mfuko na kuamua kubali akili kidogo iongoze KUBWA.Au pia km Lipumba kuwa CUF.
 
Chadema bana mtu hakiwa hana elimu hakiwa kwao ana busara hakiwa sehemu ingine wanamuita Kilaza.

Ukilaza unakuja pale anaposhindwa kutumia utashi wake kama Lusinde, Mwigulu anaejidai eti ana first class! Hivi hiyo first class anayoisema ipo kichwani au ndio zile zakugawiwa? Ameshauri nini cha maana huko BOT? Mi sijui unatetea nini wakati wewe mwenyewe unaona hali ya maisha ilivo tata kwa ndugu zako wengi, kaa uwafikirie (mama, baba, mjomba, kaka, wadogo, binamu, shemeji, rafiki walio wengi na familia zao, jirani zako......) hayo maisha yanafaa kweli kwa taifa lenye utajiri mkubwa wa rasilimali?
 
Mawaziri ni wale wale, majina yaleyale, wizara walizoshikillia kwa muda mrefu zilezile....tumechoka chadema hawana watu wengine???????????

kikwete juzi ka reshuffle baraza lake,watu wale wale,kwani ccm hawana watu wengine.wakati wanawabunge mia mbli na ushee?
 
Chadema bana mtu hakiwa hana elimu hakiwa kwao ana busara hakiwa sehemu ingine wanamuita Kilaza.

Hebu jiangalie hapo unavyochapia mbaya lakini bila aibu unataka kujiita msomi. Kama kiswahili lugha yenu mama kama mnavyoimba kila kukicha hamuijui, itakuwaje kwenye lugha za kigeni?
Ndio maana mnasaini mikataba ya hovyo kabisa kwa sababu ya umbumbumbu wenu huku mkijiita wasomi.
 
THURSDAY, JUNE 21, 2012



mbowe_1.jpg


No.WIZARA KIVULIWIZARA YA SERIKALIKAMATI HUSIKA YA BUNGEWAZIRI KIVULINAIBU WAZIRI
1.OFISI YA WAZIRI MKUUOFISI YA WAZIRI MKUU-SHERIA NA KATIBA,
-FEDHA ,UCHUMI +MIPANGO
KUB- FREEMAN A.MBOWE
2.
WAZIRI WA NCHI OFISI YA WAZIRI MKUU
1.SERA,URATIBU NA BUNGE
2.UWEKEZAJI NA UWEZESHAJI
3. TAMISEMI-
ELIMU
-TAWALA ZA MIKOA
-do-
DAVID ERNEST SILINDE
-
3.MIUNDOMBINUUJENZI NA UCHUKUZIMIUNDOMBINUSAID ARFIPAULINE GEKUL
4
WAZIRI WA NCHI OFISI YA RAIS
OFISI YA RAIS
1-UTAWALA BORA
2-MAHUSIANO NA URATIBU
3- MENEJIMENT YA UTUMISHI WA UMMA
-SHERIA NA KATIBA.
-FEDHA NA UCHUMI
PROF. KULIKOYELA KAHIGI
-
5.FEDHA UCHUMI NA MIPANGOWIZARA YA FEDHAFEDHA NA UCHUMIZITTO KABWECHRISTINA MUGHWAI
6.KATIBA SHERIA NA MUUNGANOKATIBA NA SHERIA+OFISI YA MAKAMU WA RAIS MUUNGANOSHERIA NA KATIBATUNDU A.LISSU
-
7.MALIASILI,UTALII NA MAZINGIRAMALIASILI NA UTALII+OFISI YA MAKAMU WA RAIS MAZINGIRAMALIASILI NA MAZINGIRAMCH.PETER MSIGWA
-
8.MAMBO YA NDANI YA NCHIMAMBO YA NDANIMAMBO YA NJE ULINZI NA USALAMAVICENT NYERERE
-
9.MAMBO YA NJE NA USHIRIKIANO WA AFRIKA YA MASHARIKIMAMBO YA NJE NA USHIRIKIANO WA KIMATAIFA+ USHIRIKIANO WA AFRIKA YA MASHARIKIMAMBO YA NJE ULINZI NA USALAMAEZEKIAH D.WENJERAYA IBRAHIM KHAMIS
10.ULINZI NA JKTULINZI NA JKTMAMBO YA NJE ULINZI NA USALAMAMCH.ISRAEL NATSE
-
11.MAJI,MIFUGO NA UVUVIMAJI NA UMWAGILIAJI+ MAENDELEO YA MIFUGO NA UVUVIKILIMO ARDHI NA MAJISYLVESTER M.KASULUMBAYI
SABREENA HAMZA

SUNGURA
12.KAZI,HABARI,UTAMADUNI NA MICHEZOHABARI,VIJANA NA MICHEZO+ KAZI NA AJIRAMAENDELEO YA JAMIIJOSEPH O.MBILINYICECILIA PARESSO
13.NISHATI NA MADININISHATI NA MADININISHATI NA MADINIJOHN MNYIKA
-
14.VIWANDA NA BIASHARAVIWANDA NA BIASHARAVIWANDA NA BIASHARAHIGHNESS KIWIA
-
15.AFYA, JINSIA NA JAMIIAFYA NA USTAWI WA JAMII+MAENDELEO YA JAMII JINSIA NA WATOTO-HUDUMA ZA JAMII
-MAENDELEO YA JAMII
DR. GERVAS MBASSACONCHESTA RWAMLAZA
16.ELIMU,SAYANSI NA TEKNOLOJIAELIMU NA MAFUNZO YA UFUNDI + SAYANSI TEKNOLOJIA NA MAWASILIANO-HUDUMA ZA JAMII
-MIUNDOMBINU
SUZAN A.LYIMOJOSHUA NASSARI
17.KILIMO NA USHIRIKAKILIMO, CHAKULA NA USHIRIKAKILIMO, MIFUGO NA MAJIROSE SUKUM KAMILI
-
18.ARDHI,NYUMBA NA MAKAZIARDHI, NYUMBA NA MAENDELEO YA MAKAZIARDHI, MALIASI NA MAZINGIRAHALIMA MDEE
-





 
THURSDAY, JUNE 21, 2012



mbowe_1.jpg


No.
WIZARA KIVULI
WIZARA YA SERIKALI
KAMATI HUSIKA YA BUNGE
WAZIRI KIVULI
NAIBU WAZIRI
1.
OFISI YA WAZIRI MKUU
OFISI YA WAZIRI MKUU
-SHERIA NA KATIBA,
-FEDHA ,UCHUMI +MIPANGO

KUB- FREEMAN A.MBOWE
2.

WAZIRI WA NCHI OFISI YA WAZIRI MKUU

1.SERA,URATIBU NA BUNGE
2.UWEKEZAJI NA UWEZESHAJI
3. TAMISEMI-
ELIMU
-TAWALA ZA MIKOA


-do-
DAVID ERNEST SILINDE

-
3.
MIUNDOMBINU
UJENZI NA UCHUKUZI
MIUNDOMBINU
SAID ARFI
PAULINE GEKUL
4

WAZIRI WA NCHI OFISI YA RAIS

OFISI YA RAIS
1-UTAWALA BORA
2-MAHUSIANO NA URATIBU
3- MENEJIMENT YA UTUMISHI WA UMMA

-SHERIA NA KATIBA.
-FEDHA NA UCHUMI

PROF. KULIKOYELA KAHIGI

-
5.
FEDHA UCHUMI NA MIPANGO
WIZARA YA FEDHA
FEDHA NA UCHUMI
ZITTO KABWE
CHRISTINA MUGHWAI
6.
KATIBA SHERIA NA MUUNGANO
KATIBA NA SHERIA+OFISI YA MAKAMU WA RAIS MUUNGANO
SHERIA NA KATIBA
TUNDU A.LISSU

-
7.
MALIASILI,UTALII NA MAZINGIRA
MALIASILI NA UTALII+OFISI YA MAKAMU WA RAIS MAZINGIRA
MALIASILI NA MAZINGIRA
MCH.PETER MSIGWA

-
8.
MAMBO YA NDANI YA NCHI
MAMBO YA NDANI
MAMBO YA NJE ULINZI NA USALAMA
VICENT NYERERE

-
9.
MAMBO YA NJE NA USHIRIKIANO WA AFRIKA YA MASHARIKI
MAMBO YA NJE NA USHIRIKIANO WA KIMATAIFA+ USHIRIKIANO WA AFRIKA YA MASHARIKI
MAMBO YA NJE ULINZI NA USALAMA
EZEKIAH D.WENJE
RAYA IBRAHIM KHAMIS
10.
ULINZI NA JKT
ULINZI NA JKT
MAMBO YA NJE ULINZI NA USALAMA
MCH.ISRAEL NATSE

-
11.
MAJI,MIFUGO NA UVUVI
MAJI NA UMWAGILIAJI+ MAENDELEO YA MIFUGO NA UVUVI
KILIMO ARDHI NA MAJI
SYLVESTER M.KASULUMBAYI

SABREENA HAMZA

SUNGURA
12.
KAZI,HABARI,UTAMADUNI NA MICHEZO
HABARI,VIJANA NA MICHEZO+ KAZI NA AJIRA
MAENDELEO YA JAMII
JOSEPH O.MBILINYI
CECILIA PARESSO
13.
NISHATI NA MADINI
NISHATI NA MADINI
NISHATI NA MADINI
JOHN MNYIKA

-
14.
VIWANDA NA BIASHARA
VIWANDA NA BIASHARA
VIWANDA NA BIASHARA
HIGHNESS KIWIA

-
15.
AFYA, JINSIA NA JAMII
AFYA NA USTAWI WA JAMII+MAENDELEO YA JAMII JINSIA NA WATOTO
-HUDUMA ZA JAMII
-MAENDELEO YA JAMII

DR. GERVAS MBASSA
CONCHESTA RWAMLAZA
16.
ELIMU,SAYANSI NA TEKNOLOJIA
ELIMU NA MAFUNZO YA UFUNDI + SAYANSI TEKNOLOJIA NA MAWASILIANO
-HUDUMA ZA JAMII
-MIUNDOMBINU

SUZAN A.LYIMO
JOSHUA NASSARI
17.
KILIMO NA USHIRIKA
KILIMO, CHAKULA NA USHIRIKA
KILIMO, MIFUGO NA MAJI
ROSE SUKUM KAMILI

-
18.
ARDHI,NYUMBA NA MAKAZI
ARDHI, NYUMBA NA MAENDELEO YA MAKAZI
ARDHI, MALIASI NA MAZINGIRA
HALIMA MDEE

-







Is your computer made in China kwa udhamini wa Chemba Mlugulu ? I am lost naomba mwingine aweke sawa list tafadhali .
 
Yule Dada aliyeolewa na Nyerere; kaondolewa Uwaziri? Naona ni sababu ya kashfa zake USA?
 
Is your computer made in China kwa udhamini wa Chemba Mlugulu ? I am lost naomba mwingine aweke sawa list tafadhali .

What R you trying 2 say? Acha kashfa kama za CCM to Hoja zako zieleweke, fitina na chuki hazifai
 
Baraza makini kabisa! nilivyosikia mabadiliko ya mawaziri kivuli yanakuja nilipata wasiwasi kuwa mbunge wa Mbulu (Mstapha Akonaay) atakuwepo na ingekuwa aibu sana maake jamaa ni kilaza ile mbaya kumbe hata CDM wanalifahamu hilo! CDM hakikisheni 2015 anapatikana m2 mwingine makini lasivyo jimbo litarudi nyinyiem.
 
Hongera CHADEMA mnaonyesha kuwa mko tayari kwa mabadiliko pale inapobidi bila woga. Hata hivyo baraza bado ni kubwa mno kulingana na majukumu kwa nchi ndogo kama ya Tanzania.
 
Back
Top Bottom