BARAZA la Mawaziri Kivuli, Kambi Rasmi ya Upinzani baada ya mabadiliko

Tumaini Makene

JF-Expert Member
Jan 6, 2012
2,642
6,071
BARAZA LA MAWAZIRI KIVULI NA MABADILIKO YA WIZARA KIVULI
No.
WIZARA KIVULI
WIZARA YA SERIKALI
KAMATI HUSIKA YA BUNGE
WAZIRI KIVULI
NAIBU WAZIRI
1.
OFISI YA WAZIRI MKUU
OFISI YA WAZIRI MKUU
-SHERIA NA KATIBA,
-FEDHA ,UCHUMI +MIPANGO
KUB- FREEMAN A.MBOWE

2.


WAZIRI WA NCHI OFISI YA WAZIRI MKUU


1.SERA,URATIBU NA BUNGE
2.UWEKEZAJI NA UWEZESHAJI
3. TAMISEMI—
ELIMU
-TAWALA ZA MIKOA
-do-​
DAVID ERNEST SILINDE



-​
3.
MIUNDOMBINU
UJENZI NA UCHUKUZI
MIUNDOMBINU
SAID ARFI
PAULINE GEKUL
4


WAZIRI WA NCHI OFISI YA RAIS
OFISI YA RAIS
1-UTAWALA BORA
2-MAHUSIANO NA URATIBU
3- MENEJIMENT YA UTUMISHI WA UMMA
-SHERIA NA KATIBA.
-FEDHA NA UCHUMI
PROF. KULIKOYELA KAHIGI



-​
5.
FEDHA UCHUMI NA MIPANGO
WIZARA YA FEDHA
FEDHA NA UCHUMI

ZITTO KABWE
CHRISTINA MUGHWAI
6.
KATIBA SHERIA NA MUUNGANO
KATIBA NA SHERIA+OFISI YA MAKAMU WA RAIS MUUNGANO
SHERIA NA KATIBA
TUNDU A.LISSU

-​
7.
MALIASILI,UTALII NA MAZINGIRA
MALIASILI NA UTALII+OFISI YA MAKAMU WA RAIS MAZINGIRA
MALIASILI NA MAZINGIRA
MCH.PETER MSIGWA

-​
8.
MAMBO YA NDANI YA NCHI
MAMBO YA NDANI
MAMBO YA NJE ULINZI NA USALAMA
VICENT NYERERE

-​
9.
MAMBO YA NJE NA USHIRIKIANO WA AFRIKA YA MASHARIKI
MAMBO YA NJE NA USHIRIKIANO WA KIMATAIFA+ USHIRIKIANO WA AFRIKA YA MASHARIKI
MAMBO YA NJE ULINZI NA USALAMA
EZEKIAH D.WENJE
RAYA IBRAHIM KHAMIS
10.
ULINZI NA JKT
ULINZI NA JKT
MAMBO YA NJE ULINZI NA USALAMA

MCH.ISRAEL NATSE
-​
11.
MAJI,MIFUGO NA UVUVI
MAJI NA UMWAGILIAJI+ MAENDELEO YA MIFUGO NA UVUVI
KILIMO ARDHI NA MAJI
SYLVESTER M.KASULUMBAYI
SABREENA HAMZA​
SUNGURA​
12.
KAZI,HABARI,UTAMADUNI NA MICHEZO
HABARI,VIJANA NA MICHEZO+ KAZI NA AJIRA
MAENDELEO YA JAMII
JOSEPH O.MBILINYI
CECILIA PARESSO
13.
NISHATI NA MADINI
NISHATI NA MADINI
NISHATI NA MADINI
JOHN MNYIKA

-​






14.
VIWANDA NA BIASHARA
VIWANDA NA BIASHARA
VIWANDA NA BIASHARA
HIGHNESS KIWIA
-​
15.
AFYA, JINSIA NA JAMII
AFYA NA USTAWI WA JAMII+MAENDELEO YA JAMII JINSIA NA WATOTO
-HUDUMA ZA JAMII
-MAENDELEO YA JAMII
DR. GERVAS MBASSA
CONCHESTA RWAMLAZA
16.
ELIMU,SAYANSI NA TEKNOLOJIA
ELIMU NA MAFUNZO YA UFUNDI + SAYANSI TEKNOLOJIA NA MAWASILIANO
-HUDUMA ZA JAMII
-MIUNDOMBINU
SUZAN A.LYIMO
JOSHUA NASSARI
17.
KILIMO NA USHIRIKA
KILIMO, CHAKULA NA USHIRIKA
KILIMO, MIFUGO NA MAJI
ROSE SUKUM KAMILI
-​
18.
ARDHI,NYUMBA NA MAKAZI
ARDHI, NYUMBA NA MAENDELEO YA MAKAZI
ARDHI, MALIASI NA MAZINGIRA
HALIMA MDEE

-​
 
Asante ila ungetusaidia zaidi kama ungetuambia katika hayo mabadiliko nani kahamishwa na nani kaachwa.I mean mabadiliko ni yapi?
 
Wamepunguza sana ukubwa wa cabinet. Hongera zao! Kwangu Mimi Gekule Alistahili Waziri kamili.
 
Mtanange umeanza sasa,kazi ipo jana nilisema wakabisha eti ooh hakuna mabadiliko yako wp
 
Baraza lina watu 22 tu. safi sana. Nimefurahishwa sana na uteuzi wa Rose Kamili kuangalia kilimo na mifugo.
 
Bora form four na form six failure wanafanya kazi na wanajua wanachochangia kuliko wenu Dr na Prof ila wanachangia ***** na kuunga mkono mpaka mambo ya kipuuzi

Mkuu wangu, mimi nimewapa hongera tu, pamoja na weupe wa elimu wamepata nafasi kubwa za maamuzi.
 
Mawaziri ni wale wale, majina yaleyale, wizara walizoshikillia kwa muda mrefu zilezile....tumechoka chadema hawana watu wengine???????????
 
hongera kwa kummwaga selasini sababu yeye na shibuda mawazo yao hayatofautiani na magamba
 
Hapo ndipo ninaposhangaa.
Chadema walitoa msimamo wao kuhusu viti maalum kuwa pamoja na vigezo vingine lakin suala la ilmu lilikuwa muhimu sana.

Je katika hizi nafasi za UWAZIRI wametumia vigezo gani? Skuli au kujuana.

Vipi kuhusu Mbilinyi na Nyerere na uwaziri wao.
 
Mkuu wangu, mimi nimewapa hongera tu, pamoja na weupe wa elimu wamepata nafasi kubwa za maamuzi.


I dont think so
It was just a joke kwao ndo maana nikasema hivyo
Bora mtu awe na elimu ndogo ila awe na busara na kujua anafanya nini na anachangia nini
Kuliko kuwa na title kubwa eti wewe ni Prof au Dr au una Masters yako ila uchangiaji wako ni wa ajabu sawa na yule ambaye hajaenda shule
Elimu ya darasani na matumizi yake kwenye real life ni vitu viwili tofauti
 
I dont think so
It was just a joke kwao ndo maana nikasema hivyo
Bora mtu awe na elimu ndogo ila awe na busara na kujua anafanya nini na anachangia nini
Kuliko kuwa na title kubwa eti wewe ni Prof au Dr au una Masters yako ila uchangiaji wako ni wa ajabu sawa na yule ambaye hajaenda shule
Elimu ya darasani na matumizi yake kwenye real life ni vitu viwili tofauti

Naunga mkono ,hakuna watu wenye maamuzi mabovu kama hawa wanaoitwa wasomi ....watu wenye elimu za wastani ni wachapakazi wazuri mno.wanashaurika,wanauelewa na wanamchango mzuri hasa kwenye masuala ya kijamii sawa au zaidi ya wasomi.kwa hili la kutanguliza elimu kwenye uteuzi halina mashiko sana mathalani elimu ya mteuliwa ni ya wastani inayoweza kupambanua mambo.
 
Hapo kwa KUB nashauri awe na naibu na kwa Silinde pia. TAMISEMI inataka usimamizi wa kina zaidi.
 
Back
Top Bottom