Duble Chris
JF-Expert Member
- May 28, 2011
- 3,481
- 564
kwa hiyo unasemaje mkuu???Kuna Waziri Mmoja Kivuli wa Chadema darasa la 7..
kwa hiyo unasemaje mkuu???Kuna Waziri Mmoja Kivuli wa Chadema darasa la 7..
Chadema bana mtu hakiwa hana elimu hakiwa kwao ana busara hakiwa sehemu ingine wanamuita Kilaza.[/QUOT
Shame on you brother... Kiswahili hiki umesoma shule gani ? Hakiwa=akiwa, mhandishi wa habari...tena
Mko wengi sana humu mnaopenda kuweka h sehemu isiyo takiwa.
Kuna Waziri Mmoja Kivuli wa Chadema darasa la 7..
Nilitamani awe Waziri, suala nani atoke Hilo Lao. Baraza Lina mfumo dume sana.
Kuna Waziri Mmoja Kivuli wa Chadema darasa la 7..
Bora darasa la saba anaechapa kazi kuliko hao maprofesa na maDR wanaoboronga kila kukicha hamna la maanaKuna Waziri Mmoja Kivuli wa Chadema darasa la 7..
Mimi nilidhani unaangalia ungependekeza kulingana na uchapakazi wao kumbe we umeangalia katika sura nyingine. Kwa upande wangu kiongozi wa kambi ya upinzani amepanga kikosi kizuri sana.
Mr Rocky,
I dont think so
It was just a joke kwao ndo maana nikasema hivyo
Bora mtu awe na elimu ndogo ila awe na busara na kujua anafanya nini na anachangia nini
Kuliko kuwa na title kubwa eti wewe ni Prof au Dr au una Masters yako ila uchangiaji wako ni wa ajabu sawa na yule ambaye hajaenda shule. Elimu ya darasani na matumizi yake kwenye real life ni vitu viwili tofauti
Kuna Waziri Mmoja Kivuli wa Chadema darasa la 7..
Kwani ni mwanachama wa CDM?...
Shibuda tena hayumo?
Baraza makini kabisa! nilivyosikia mabadiliko ya mawaziri kivuli yanakuja nilipata wasiwasi kuwa mbunge wa Mbulu (Mstapha Akonaay) atakuwepo na ingekuwa aibu sana maake jamaa ni kilaza ile mbaya kumbe hata CDM wanalifahamu hilo! CDM hakikisheni 2015 anapatikana m2 mwingine makini lasivyo jimbo litarudi nyinyiem.