Sasa kuna haja ya wabunge nao kupeleka hoja kwa Rais kuhusu Ubutu wa PM na Spika..maana hata wao ni Gamba na ndio chanzo cha yote haya.
Mwacheni mteuliwa wa wananchi yeye ndiyo mwenye maamuzi ya mwisho: Viva CCM Viva Kikwete chaguo la Watanzania na mlezi wa Taifa letu, HAKUNA RAIS KAMA KIKWETE AFRICA, CCM IMARA TAIFA IMARA.
Kituko kingine hiki. Makinda anahoji uwezo wa mawaziri? Vipi tukihoji uwezo wake.
Ipo kazi kati ya wakuu wetu hawa wawili. kuna majina ya wateule watatu JK amelazimisha wawepo ndani ya baraza. Pinda amegoma kwa kuwa ni mizigo kwa Taifa. JK ameahirisha zoezi kwa muda apate muda wa ku digest hao aliopendekeza mtoto wa mkulima. Mizengwe Pindu amechoka na anaweza kuleta seke seke kama Mkuu atalazimisha.
1. Mkulo - aendelee lkn Afrika mashariki
2. Zakhia -wnawake Jinsia na watoto (ustawi wa jamii)
3. Migiro - Fedha (Pinda amepinga kupewa wizara nyeti)
Majadiliano yao yataendelea baada ya late siesta. Kuna mshauri wake JK anampeleka anakotaka. Pinda anazidi kuwa mbogo. amechoka kupelekwa kama mbuzi wa mnadani!
Source: RIZ 1 - State House