BARAZA JIPYA LA MAWAZIRI - Spika, Waziri Mkuu wamuonya Kikwete

uyo mama wa UN hatumhitaji hapa tz, maisha yake yote hana chochote anachoweza kudeliver kwa watz...kwanini jk anakuwa kipofu jamani? au kuna interest binafsi?, Mkulo na wenzake waondolewe kabia aende kulima mikatani kule kilosa.....kama hawatafanya hivyo, nitakuwa tayari kuandamana na watz wenye nia njema. tuandae maandamano kabisa kupinga wezi na vibogoyo wa uongozi kurudishwa tena kwenye uongozi kwa kubadilishwa eneo...kwani hakuna watz wengine kabisa jamani? au ndo hawataki kutupana kwenye manetwork yao
 
Pinda si kaona mfano wa Lowassa? hasara ya kuya mezea makosa ya kikwete na hatimaye mizigo, lawama na matusi atabeba yeye kama lowassa, kwa hiyo mpaka kieleweke Pinda nakupa big up!
 
Source yako ndiyo inatisha!!!!

tatizo so source inatisha, uteuzi unaofanywa na Mkuu ndo unatisha mkuu!

hili ndo linaloendelea pale magogoni. Riz1 anatupa nyepesi manake nae ana wasiwasi sana na kitengo nyeti - Fedha! anasema akiwekwa huyo Mizengwe anaempendekeza basi yy ni Kushnei!
jamani wana JF, huwezi kuamini kama hata Mtoto wa JK anaweza influence uteuzi! wacha tu awe tajiri
 
Meghji yule yule aliyesema wakati akiwa waziri kuwa hajui hata alidanganywaje na mafisadi hadi wakachukua fedha!!!
TANZANIA KUSHINE.
 
sijawahi kuona watu wasio na vichwa wanavyopasua vichwa vya watu wenye vichwa.
 
hivi kwanini mawaziri wa zamani warudishwe tena wizarani...si wameiba vya kutosha wawaachie na wengine nao wajenge mahekalu...eeh kutesa kwa zamu jamani:smile-big:

Mama Mkwe tumemchoka aaaaaagh kwani hakuna wengine?
 
Ipo kazi kati ya wakuu wetu hawa wawili. kuna majina ya wateule watatu JK amelazimisha wawepo ndani ya baraza. Pinda amegoma kwa kuwa ni mizigo kwa Taifa. JK ameahirisha zoezi kwa muda apate muda wa ku digest hao aliopendekeza mtoto wa mkulima. Mizengwe Pindu amechoka na anaweza kuleta seke seke kama Mkuu atalazimisha.

1. Mkulo - aendelee lkn Afrika mashariki
2. Zakhia -wnawake Jinsia na watoto (ustawi wa jamii)
3. Migiro - Fedha (Pinda amepinga kupewa wizara nyeti)

Majadiliano yao yataendelea baada ya late siesta. Kuna mshauri wake JK anampeleka anakotaka. Pinda anazidi kuwa mbogo. amechoka kupelekwa kama mbuzi wa mnadani!

Source: RIZ 1 - State House
Kuliko kumpa Migiro wizara ya Fedha bora hata wampe Mzee wa Mapete Makubwa- Nasera Hotel Morogoro
 
Asije akwarudisha mawaziri vihoja kama waliopita. Waziri anasafiri na Laptop sita, blackberry bold 4, AK 47, 1m dola cash etc.. Mawaziri kama hawa hawafai katika zama hizi..
 
  • Thanks
Reactions: FJM
Kamanda JF huwa member hawanaga mambo ya kiaina ni 85% hili laweza likawa true!
Piga kimya wadau watakuja na news zaidi!

liverpoolFC, nashukuru kwa kujua hilo. tulisema hapa kabla ya hukumu ya Mhe. Lema na Fisadi Mahanga kuwa hukumu zao zitakuwa vipi. matokeo yakawa kama yalivyoandikwa na wana JF. hapa Janvini kuna source reliable sana. hatujuani lakini serikalini tuko wengi ingawa tuna mirengo tofauti. aminia mkuu wangu!
 
sijawahi kuona watu wasio na vichwa wanavyopasua vichwa vya watu wenye vichwa.

hutaki kuamini hadi usome gazeti. fanya networking za kutosha utapata hizi habari. otherwise kila habari kwako itakuwa breaking news
 
Ipo kazi kati ya wakuu wetu hawa wawili. kuna majina ya wateule watatu JK amelazimisha wawepo ndani ya baraza. Pinda amegoma kwa kuwa ni mizigo kwa Taifa. JK ameahirisha zoezi kwa muda apate muda wa ku digest hao aliopendekeza mtoto wa mkulima. Mizengwe Pindu amechoka na anaweza kuleta seke seke kama Mkuu atalazimisha.

1. Mkulo - aendelee lkn Afrika mashariki
2. Zakhia -wnawake Jinsia na watoto (ustawi wa jamii)
3. Migiro - Fedha (Pinda amepinga kupewa wizara nyeti)

Majadiliano yao yataendelea baada ya late siesta. Kuna mshauri wake JK anampeleka anakotaka. Pinda anazidi kuwa mbogo. amechoka kupelekwa kama mbuzi wa mnadani!

Source: RIZ 1 - State House

Juu wagaba chini Riz1 tuna wasiwasi na utambulisho wako
 
Hivi kati ya watanzania ~50,000,000 inabidi tumsubiri Asha na Megji??????????????????? wote hatuna akili, uwezo na uzalendo?????????????????? Mbona kuna akina Mtikila, Rwaitama, Mkinga, Kibamba, Nkya na wengine tuliopo lakini hatuvumi????????
 
Mkuu sikukatalii lakini akibaki Mkulo basi na JK ajiandae kwa uasi dhidi yake.
 
Back
Top Bottom