BARAZA JIPYA LA MAWAZIRI - Spika, Waziri Mkuu wamuonya Kikwete

Labda wameongeza Wizara ya matusi na Kejeli ambayo itaingizwa na Lusinde
 
Sasa kuna haja ya wabunge nao kupeleka hoja kwa Rais kuhusu Ubutu wa PM na Spika..maana hata wao ni Gamba na ndio chanzo cha yote haya.

Spika si ndo analea umbumbumbu na upumbavu pale bungeni? Iweje alaumu anachokilea?
 
Manunda wote, hakuna kiongozi katika jengo la ze comedy (bunge); spika hana uwezo kabisa, bunge halina mtu kabisa, ikiwa spika anatetea ufisadi hadi kubanwa ndio agenue meno kweli hatuna viongozi. Iweje aipotezee hoja ya kuhusu kujiuzulu kwa mawaziri wale 8 siku ya kufunga kikao cha bunge? Hili ni gamba no 1 na mp 2
 
Mwacheni mteuliwa wa wananchi yeye ndiyo mwenye maamuzi ya mwisho: Viva CCM Viva Kikwete chaguo la Watanzania na mlezi wa Taifa letu, HAKUNA RAIS KAMA KIKWETE AFRICA, CCM IMARA TAIFA IMARA.

Matatizo ya kuchanganya pombe na chai!!
 
Ipo kazi kati ya wakuu wetu hawa wawili. kuna majina ya wateule watatu JK amelazimisha wawepo ndani ya baraza. Pinda amegoma kwa kuwa ni mizigo kwa Taifa. JK ameahirisha zoezi kwa muda apate muda wa ku digest hao aliopendekeza mtoto wa mkulima. Mizengwe Pindu amechoka na anaweza kuleta seke seke kama Mkuu atalazimisha.

1. Mkulo - aendelee lkn Afrika mashariki
2. Zakhia -wnawake Jinsia na watoto (ustawi wa jamii)
3. Migiro - Fedha (Pinda amepinga kupewa wizara nyeti)

Majadiliano yao yataendelea baada ya late siesta. Kuna mshauri wake JK anampeleka anakotaka. Pinda anazidi kuwa mbogo. amechoka kupelekwa kama mbuzi wa mnadani!

Source: RIZ 1 - State House
 
Hakuna malaika, kila mtu ana mapungufu yake. Cha msingi mtu asiwe na mapungufu mengi zaidi ya mazuri afanyayo
 
nchi hii ina vichekesho sana..yaani Pinda na Bi kiroboto kweli wanaweza wakakaa wanaona wenzao mbumbumbu wana uwezo mdogo?? hivi kuna mtu mwenye mediocre thinking kama Spika?? kuna mtu wa hovyo kwenye kufikiri kama Pinda jamani....??? kheee ngoja nipite mie nisije pigwa BAN bure hapa nkashindwa kushusha vigongo mara baraza likitangazwa
 
hivi kwanini mawaziri wa zamani warudishwe tena wizarani...si wameiba vya kutosha wawaachie na wengine nao wajenge mahekalu...eeh kutesa kwa zamu jamani:smile-big:
 
aaaaaarrrgggghhh.....!!!! all of these are folks hawafaiiiii....
ooohhh.... JK hivi kuna many capable, intelligent, unashindwa kuwa nominate unahangaika na hawa old dead folks....hawa utendaji = 00%

Ipo kazi kati ya wakuu wetu hawa wawili. kuna majina ya wateule watatu JK amelazimisha wawepo ndani ya baraza. Pinda amegoma kwa kuwa ni mizigo kwa Taifa. JK ameahirisha zoezi kwa muda apate muda wa ku digest hao aliopendekeza mtoto wa mkulima. Mizengwe Pindu amechoka na anaweza kuleta seke seke kama Mkuu atalazimisha.

1. Mkulo - aendelee lkn Afrika mashariki
2. Zakhia -wnawake Jinsia na watoto (ustawi wa jamii)
3. Migiro - Fedha (Pinda amepinga kupewa wizara nyeti)

Majadiliano yao yataendelea baada ya late siesta. Kuna mshauri wake JK anampeleka anakotaka. Pinda anazidi kuwa mbogo. amechoka kupelekwa kama mbuzi wa mnadani!

Source: RIZ 1 - State House
 
Mods hii ni mara ya pili mtu huyu analeta hizi TETESI hapa!

Muangalieni!
 
Back
Top Bottom