Baraza Jipya la Mawaziri hili hapa...

anasema wananchi wanataka baraza linaloweza kuondoa kero za watz [sic] ....KIbonde
 
Wakati tukimsubiri JK kulitaja baraza lake, sio vibaya mkijua, waandishi waliitwa wawepo pale toka saa 4:00 asubuhi, wengine ili wasichelewe, wakawahi toka saa 3 asubuhi, saa hizi inakwenda saa 6:30!, hii ndio timeliness ya rais wetu!


unadhani mkwere na wapambe wake wanalijua hilo? ukiwauliza kuhusu muda nadhani watakushangaa
 
Namuona rafiki yangu Ephraim Kibonde akiongea, kusema ukweli, anavyoongea leo, anaonekana kama ni mtu mwenye akili nzuri kabisa, huwezi amini kile kichwa kimejaa maji tupu!, nadhani kusema ukweli Ephraim Kibonde ana akili nzuri tuu, ila anapozidisha jokes, watu tunamuona kama chizi fulani mpaka inafikia anapozungumza setrious kama leo, ndio tunamuona ana jipretend serious kwa vile jokes ndio his way.
 
Duh ngoja tusikie uozo atakaotuletea mkuu wa kaya... Please Pasco endelea kutuhabarisha..
 
Back
Top Bottom