Baraza Jipya la Mawaziri hili hapa...

mbona simuoni jf moderator au hakualikwa?

Ala MS kumbe leo uko thread hii, sio siri, wewe ni mmoja wa Wana jf wachache ambao wananifurahisha sana, kwani una bahati sana, ulibakiza kidogo tuu, uokote makopo!, CCM kweli ni mkombozi wako!.
 
Hivi kwani ni lazima tuwe ma mawaziri? kwanini wasiwepo tu makatibu wa wizara na wawe wanaingia bungeni kuiwakilisha serikali, mawaziri ni mzigo tu
 
Ala MS kumbe leo uko thread hii, sio siri, wewe ni mmoja wa Wana jf wachache ambao wananifurahisha sana, kwani una bahati sana, ulibakiza kidogo tuu, uokote makopo!, CCM kweli ni mkombozi wako!.

Ha Ha Ha Pasco banaa
 
Hivi kwani ni lazima tuwe ma mawaziri? kwanini wasiwepo tu makatibu wa wizara na wawe wanaingia bungeni kuiwakilisha serikali, mawaziri ni mzigo tu

Mbona siku mbili tatu hizi hakukua na mawaziri na mambo yanaenda fresh tu kuliko wakiwepo!
 
hey nyie msilete masihara kwenye inshu muhimu...hembu tuambieni huko kinasemwa nini,achaneni na habri za kina kibond..plse
 
Pasco, you are one of the best journalists I know, but ndio vile tena kwenye nchi yetu hiyo industry hailipi unless uwe kanjanja na ukubali kulamba viatu vya mafisadi, lakini hongera kwa kufanya kazi nzuri kwenye mazingira magumu ya Tanzania.
Asante sana Deodat, na kusema ukweli, ukiwa mkweli na msimamo, there is a price to pay, nami nimeilipa, japo lazima nikiri kuwa bado ni masikini, lakini niko proud na kuwa masikini jeuri, unalala na njaa kwa huzuni mwilini na furaha moyoni, kuliko kulamba viatu vya mafisadi.
 
mbona kibonde anaonekana ana wasiwasi sana na anaona aibu? anajua tunamwandika huku nini?
 
...Tatizo la STAR TV ni watangazaji wake kupenda mno Kuuza Sura! Vituo vya TBC, ITV tayari viko live ukumbini lakini wao bado wanabwabwaja tu! AARRGH! :rant:
 
Back
Top Bottom