Barafu

Ramso11

Member
Jun 5, 2011
62
22
Baba mkwe mmoja kutoka bush alingia mjini. Akakuta wajukuu zake wanagombania barafu .akawapora akijua labda ni ndio almasi akauze. akaweka katika mfuko. Baada ya muda wakiwa pamoja. Watoto wakasema baba si unasema sisi vikojozi mbona baba yako amejikojokea mchana mbele yetu. Yule mzee akakimbilia chumbani akakuta maji yanachuruzika. Na suruali imeloa akabadili. Alhporudi watoto wakasema sisi tukikojoa kitandani tunaogja na kubadili nguo mbona babu umejikojolea ukavaa nguo hizo hizo. Babu akaona aibu. Akaondoka bila ya kuaga alipofika kwa mtoto mkubwa akamweleza kisa. Mtoto wake mwanga haibiwi kimsifia Akaambiwa yaani unaiba hadi maji hapa si utatuua . Akaenda kwa mtoto mwingine kesho tutaendelea .
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom