engmtolera
JF-Expert Member
- Oct 21, 2010
- 5,150
- 1,437
lini haya mambo yataisha Tanzania? kwanini watu hawana huruma na watanzania?
Sema wewe...manake wengine tushajikatia tamaa.....wanatafuniwa lakini hata kumeza wanaona tabu coz wamejioteshea matonsilitis kooni......yaani wananiboa kufa.
lini haya mambo yataisha Tanzania? kwanini watu hawana huruma na watanzania?
Ungetulia kama sekunde moja tu nina uhakika ungepata jibu kana tuna serikali au la.
Ndio maana watawala wanatumia muda mwingi na rasilimali ili mtu asiyefahamu vizuri mtandao wao asitie maguu yake madarakani!
usiku huwa napenda kutembeatembea humu jukwaani nkaiona hii!
!
Anko umeufukua wapi Huu uzi
usiku huwa napenda kutembeatembea humu jukwaani nkaiona hii lakini sijaelewa ngoja wahusika waje!
!
Anko umeufukua wapi Huu uzi
usiku huwa napenda kutembeatembea humu jukwaani nkaiona hii lakini sijaelewa ngoja wahusika waje