Elections 2010 BANG! Wamuidhinisha JK kwa Urais...Ikoje Hii?

Article 18 of the Constitution guarantees every Tanzanian the right to freedom of opinion and expression. However, the Newspaper Act of 1976 allows authorities within the government-including the president-the power to prohibit publications that might be deemed to not be in the nation's best interest. Additionally, the 1993 Broadcasting Services Act provides that private broadcasters are only allowed to send their signals to 25 percent of the country.

Hapo ndio MWANANCHI na MWANA HALISI wanapotishiwa,ila hawa BANG! Aaa hawakoseagi...according to Gaijin

kwa hiyo unataka kusema kumpendekeza mgombea (ikiwa ni kikwete, slaa, lipumba, au mwengineo) kuna kwenda kinyume na nation's best interest?

Yap ...according to Gaijin kwa mujibu wa sheria hiyo uliyoinukuu BANG bado hawajakosea labda kuwe na sheria nyengine.
 
crap .... teh teh teh ... just kidding (Invisible please usinifungie)
 
Nimelipitia toleo la mwezi huu na kukuta mmiliki wake akisema wao kama gazeti wanampitisha JK kuwa mgombea anayefaa.

Kisheria hii ni sawasawa kweli au haya magazines hayabanwi na sheria kama ya manyuzpepaz?

Jama tusiwe wanafiki..
Hivi hapa JF wanavosema Slaa ndo raisi wao 2010 - 2015 wanatofautiana na hao wa Bang!

Mi naona kila mtu ana haki ya kujielezea hisia zake. Au JF wao ndo wana haki zaid ya wengine???

I'M DARE TO TALK OPENLY
 
sheria ya uchaguzi inakataza chombo chochote kutangaza mtu ni mshindi na ni kosa la jinai. kama una uhakika na ushahidi peleka kwenye tume ya uchaguzi watachuliwa hatua but with culture of impunity itapotezewa...
 
Uganga njaa na kujipendekeza ndio vinatuuwa nchi hii! Kwa jema lipi unaweza kum-endorse JK kama sio kutibu njaa! Ubinafsi na unafiki ndio vinatwala mioyo yenu! Hatuhitaji kuanza- peruse mema ya JK miaka 5 iliyopita! Kwa mema yafichwe na umatonya, ushikaji, ufisadi, na kuporomoka kwa elimu kama kweli yapo!

Halafu ki-dudumtu na shibe yake ya maandazi kinaibuka na huyo ndio anatufaa! 3-0!!!!!!
 
Kwanza bange yenyewe inasomwa na kina nani? Huwa naliona tu. Labda linajiendesha kwa ruzuku ya ikulu
 
Jama tusiwe wanafiki..
Hivi hapa JF wanavosema Slaa ndo raisi wao 2010 - 2015 wanatofautiana na hao wa Bang!

Mi naona kila mtu ana haki ya kujielezea hisia zake. Au JF wao ndo wana haki zaid ya wengine???

I'M DARE TO TALK OPENLY

Kina nani hao wanaosema hivyo? Waendeshaji wa JF au wachangiaji mijadala kwenye JF?
 
Nimelipitia toleo la mwezi huu na kukuta mmiliki wake akisema wao kama gazeti wanampitisha JK kuwa mgombea anayefaa.

Kisheria hii ni sawasawa kweli au haya magazines hayabanwi na sheria kama ya manyuzpepaz?

Biashara zingine zinajimaliza zenyewe. Kujiuza kupita kiasi.
 
Is too early for this magazine kujiingiza kwenye politics,imelda watch this will cost u in future....
 
Tuko milioni 40 jamani. Hatuwezi kuwa wazima wote; lazima waweko vichwa maji wachache.

Ikumbukwe vile vile mirija ya watu iko mashakani. Kuna panick ya kutisha ya mabwanyenye na makabaila yaliyozoea kunyonya Watanzania miaka yote hii. Kisu chao ni Slaa, na kiko karibu sana!
 
Mimi nilishaacha kulisoma zamani ...hakuna jipya , full of spelling mistakes, broken english, kutwa kubandika picha zao tumbo mtupu.
Ndio hayo mambo ya kudandia treni kwa mbele...sasa Imelda na siasa wapi kwa wapi. Unajua hawa watoto wa mafisadi wakikutana beach wanajiona wako juu saa then wanaaza "kujikuza". Aliandika article mmoja kuhusu January....nikasema ama kweli tumeingiliwa hakuna kitu.....blah blah.
Imelda concentrate kwenye entertainment....mambo ya politiki waacjie wapolitiki....kwa hiyo kama ume muendorse JK ina maana sisi wa Chadema tusinunue gazeti lako?
 
Hivi mmiliki wa BANG ni mwandishi wa habari? I doubt! Kama kumbukumbu zangu ziko sahihi anayofani ya mambo ya HRM na sio Mass Com! I stand to be corrected!

BaBa Enock tupo pamoja mimi sishangai kwa kuwa mmiliki wa jarida la Bang (IMELDA MWAMANGA) kitaaluma sio mwandishi wa habari ila ni HRM kwa hiyo anajiandikia kwa ushabiki nafikiri anajua yeye mwenye atapata maslahi gani hapo baadae.
 
failedview.jpg Akili yao ni kama jamaa,karidhika kabisa
 
Back
Top Bottom