Elections 2010 BANG! Wamuidhinisha JK kwa Urais...Ikoje Hii?

Safari_ni_Safari

JF-Expert Member
Oct 5, 2007
23,268
17,097
Nimelipitia toleo la mwezi huu na kukuta mmiliki wake akisema wao kama gazeti wanampitisha JK kuwa mgombea anayefaa.

Kisheria hii ni sawasawa kweli au haya magazines hayabanwi na sheria kama ya manyuzpepaz?
 
kwanza gazeti lenyewe ni BANGE!!!! waandishi wa habari wake ndo wale wale ....unategemea nini..yale yale ya Clouds kumuandalia JK bethdei
 
MWANANCHI likitoa front page ya umati wa Dr Slaa linatishiwa kufungiwa lakini Daily News na Bang! yakiandika uchochezi yanaachwa tu...IPo siku na siku iyo haiko mbali sana!!!
 
Kiranga angesema 'wamempendekeza' lol. Licha ya hivyo sioni ubaya wa bang kumuunga mkono jk
 
Huyu editor wa Bang si ndiyo hawa walikuwa wanalialia kuwa oooh Uncle wetu hajapewa uwaziri naona wamehakikishiwa sasa. poleni sana.

Kumbuka kuwa hata waliofirisi kiwanda cha magunia Dr atawamulika!
 
Halafu ndani wameweka makala za wake za wanasiasa...mke wa Mwambalaswa...mke wa Mwandosya na mke wa Mbowe....huyu wa Mbowe wakamwandika Mrs Lilian Mtei Mbowe...hao wengine majina ya baba zao hayakutumika kabisaa
 
BANG ni gazeti lililojaa waandishi wachanga katika fani!! Au tuseme waandishi voda fasta! Hawajui ethics za kazi zao!! Kwa hiyo mimi siwashangai!!!

Wao wanaamini kwenye kijupendekeza kwa watawala! Kama radia Clouds ilivyo!! Ni vichaa wasiofaa katika jamii.
 
Duh!kweli duniani hakuna haki,ingekuwa wamefanya hivyo kwa vyama vya upinzani ungesikia wanavyolalama!!!!!!!!!!!!!
 
Hivi mmiliki wa BANG ni mwandishi wa habari? I doubt! Kama kumbukumbu zangu ziko sahihi anayofani ya mambo ya HRM na sio Mass Com! I stand to be corrected!
 
.. naona aliyelisajiri hili gazete kwa jina ambalo kisheria ni kosa:Bang..i.
 
ingewekuwa against ccm, ungekisia Attorney General, anaenda mahakamani, Shombo nae anaongea, Kiligati nae anaongea, na Amuli Jeshi kuu nae anaongea kwa Chama fulani kutofuata sheria na kutaka kuvunja Amani, ni sawa sawa na huu ubaguzi ulivyo aanza hivi hivi walikaa kimyaa, tatizo lilivyo anza kuwa kubwa ikawa shida
 
naona kuna haja ya sisi kugomea bidhaa za wote wanaoipendekeza, kama clouds, bangi (sorry bang) magazine, habari leo, zoote hizo km wananchi tunaweza kuwaodoa ktk business! tukiamua na inawezekana, tudeal na ccm pamoja na vibaraka wake wote
 
BANG ni gazeti lililojaa waandishi wachanga katika fani!! Au tuseme waandishi voda fasta! Hawajui ethics za kazi zao!! Kwa hiyo mimi siwashangai!!!

Wao wanaamini kwenye kijupendekeza kwa watawala! Kama radia Clouds ilivyo!! Ni vichaa wasiofaa katika jamii.

Hapo kaka/dada mimi nakushangaa, umekuwa kama mwana ccm, mtu anakosea halafu unasema wewe haushangai. Yakupasa ushangae sana, kwani mtu kutokujua sheria ndio ana haki ya kuivunja?

Hao BANG ni masista du wanaojipendekeza kwa Riz 1 na JK, siku zao zinahesabika...
 
Hakuna ubaya wa Bang kumu-endorse JK, they have their own reasons... Kumbukeni nature ya gazeti la bang, watumiaji na network ya clouds, THT, matozi wa bongo etc...

they ahve expressed their rights

Ningeshangaa kama MAsa angemuendorse JK
 
Nimelipitia toleo la mwezi huu na kukuta mmiliki wake akisema wao kama gazeti wanampitisha JK kuwa mgombea anayefaa.

Kisheria hii ni sawasawa kweli au haya magazines hayabanwi na sheria kama ya manyuzpepaz?
Pole ndugu nimepitia maoni ya wenzetu, hawajajibu swali. Na mie nilitamani kujua inaruhusiwa au la? Anayejua tusaidie jamani
 
Back
Top Bottom