Baina ya CUF na CHADEMA kipi CCM-B? - hoja ya matusi

Nani anakumbuka kuwa CDM ilishawahi kuolewa na CUF?! Seriously mwaka 2000, Chadema ilikuwa inaning'iniza bendera zake chini ya bendera ya CUF kwenye milingoti!

 
CUF ilipoteza sifa ya kuwa chama cha upinzani tangu walipoungana na CCM kuunda serikali ya umoja wa kitaifa Zanzibar. kwa maana hiyo hii mada haina mantiki hapa. Hata mwanzisha mada anaonekana uwezo wake wa kuchambua mambo umefikia kikomo kwa kufananisha CHADEMA na CUF.

Mfano mdogo ni issue ya katiba mpya.Wabunge wa CUF waliungana na wale wa CCM kupitisha rasimu ya uundaji wa katiba mpya MBOVU NA ISIYO NA MASILAHI kwa watanzania masikini ndani ya TANZANIA TAJIRI mwishoni wakaja kuumbuliwa na mwenyekiti wa ccm taifa kwa kukubali walichokuwa wanadai CHADEMA hadi wakasusia vikao vya bunge
TAFAKARI NA CHKUA HATUA. HII MADA NI YA KINAFIKI NA KISHABIKI ZAIDI.

Tunahitaji mawazo ya great thinkers hapa na sio waropokaji na wakurupukaji

NAWASILISHA
 
Kwani kati ya shehe Sharifu na Dr Slaa yupi ni makamu wa rais ZNZ nyambafu toa upuuuuuuuuzi wako umu.
 
Back
Top Bottom