adrenaline
JF-Expert Member
- Jun 17, 2015
- 2,887
- 4,386
"in the heart of the sea"Unaposoma habari za maajabu ya bahari kuna mambo mengi mno ya kutisha ambayo hayajulikani na wengi na hayana tafsiri kamili juu ya uhalisia wake na malengo yake
"in the heart of the sea"Unaposoma habari za maajabu ya bahari kuna mambo mengi mno ya kutisha ambayo hayajulikani na wengi na hayana tafsiri kamili juu ya uhalisia wake na malengo yake
Nikiendelea kubishana na mtu aliyejaa pumba kichwani kila mtu atanishangaa.
Well observed trojan. I would also advise mshana Jr to follow suit.mshanna msimjibu huyu mtu.labda ni jini lina lengo la kutuamisha kwenye mada.siku izi nayo yapo humu jf mengi tu
Hapana hakuna ukweli wowote kuhusu hilo ile ni freemason ya magazeti ya udaku ambayo ndio wengi wanaifahamu TzMshana Jr.Je kuna ukweli wowote kuhusu habari iliyotapakaa kuhusu kifo ya Muigizaji Steven Kanumba?kwamba alikuwa mfuasi wa "Free Mansons?". Na kwamba alimuagiza mtu atangaze hivyo baada ya kifo chake ili kuvunja maagano na nguvu za hao "free Mansons?"
nasikia majini ndio wanatawala bahari,je hawana ushirikiano na wachawi?na majini si ndio huwa wanaitwa mapepo?mwaga mambo hapo ili tukupate vyemaKuna njia kuu tatu zinazotumiwa na mwanadamu kwa ajili ya usafiri yani kutoa sehemu moja mpaka nyingine nazo ni maji anga na ardhi .
Lakini kwa mchawi ni mbili anga na ardhi , majini wengi wanaikwepa na kuiogopa hasa na wale wachache wanaitumia ni mpaka wapate kibali cha ufalme wa majini .
Mchawi atatumia ungo-hii ni advanced tech ya usafiri na inajumuisha mambo mengi ila ni salama na ni ya haraka zaidi kama ulivyo usafiri wa ndege za kawaida pia ni usafiri wa masafa marefu
Usafiri mwingine ni wa ardhini huu hauna hatari nyingi na gharama pia ni ndogo , chombo chake kwa sehemu kubwa ni Mnyama fisi, tatizo moja la huu usafiri ni inland routes tena za masafa mafupi na wachawi daraja la chini .
Lakini ni mara ngapi umeshasikia usafiri wa wachawi baharini? Ni aghalabu kusikia hii kitu hata kutumia mazao bahari kama makombe na samaki kwenye shughuli za kiganga ni mara chache mno.
Sababu moja kuu ni kwamba maji ndio yanayotajwa la dunia robo tatu ya uso wa dunia ni maji na hata mwili wako pia, kwahiyo ufalme wa maji kwa maana ya majini ndio ufalme wa giza wenye nguvu zaidi na sophisticated zaidi kiasi kwamba ufalme wa giza wa ardhini unapwaya na kugwaya kwa ufalme wa maji .
Ndio maana huwezi kusikia hata siku moja eti mchawi kaanguka baharini au kuna chombo kinachotumiwa na wachawi kusafiria baharini.
ukweli ni upi??hebu kidogo tudadavulie kwa mifano haiHapana hakuna ukweli wowote kuhusu hilo ile ni freemason ya magazeti ya udaku ambayo ndio wengi wanaifahamu Tz
Juha ni wewe Mpumbavu unayeshinda jf kutwa nzima.Troojan majini ni viumbe wa juu mno huyu muite juha nitakuelewa
Wewe mpumbavu ulikuja spidi ulifikiri ni rahisi,umedandia treni kwa mbele mwisho umeamua kuachia! Siku nyingine jipange kwanza sio kukurupuka kama Kichaa aliyesikia honi ya treni.Nikiendelea kubishana na mtu aliyejaa pumba kichwani kila mtu atanishangaa.
Tulia wewe Mama,bado unafikra ya kuwa kuandika English ndio kujua?! I told u ukishindana na mimi na huo upuuzi wako na vineno vya kike hapa patakuwa pachungu kwako.As if you know the meaning of it....queen.!
Majini na mapepo ni jamii moja wa nguvu kiasili kwakuwa wao ni roho wakati wachawi ni binadamu wanaojaribu kutengeneza roho za kishirikinanasikia majini ndio wanatawala bahari,je hawana ushirikiano na wachawi?na majini si ndio huwa wanaitwa mapepo?mwaga mambo hapo ili tukupate vyema
kwahiyo majini wanaoitwa na wachawi ni tofauti?katika kundi hilo majini bahari hawamo?Majini na mapepo ni jamii moja wa nguvu kiasili kwakuwa wao ni roho wakati wachawi ni binadamu wanaojaribu kutengeneza roho za kishirikina