BAD NEWS: Coastal V Yanga kugeuka mechi ya kirafiki?

Nadir haroub canavaro alipewa kadi nyekundu (strait red card) na refa Israel mkongo kwa kosa la vurugu wakati wa mechi yanga na azam .kamti ya ligi ikamuadhibu kutocheza mechi 6,ingawa kamati ya tibaigana ikasimamisha adhabu hiyo kwa muda na kutaka ibakie adhabu ya refa wakati rufaa inashugulikiwa,sasa ufafanuzi ni huu:
*SHERIA za tff (hata fifa) mchezaji akipewa kadi nyekundu kavu (strait red card ) adhabu yake ni kukosa mechi2.
*Mchezaji akipewa yello + yellow=red card atakosa mechi moja.
Kanuni za adhabu:
*mchezaji akiwa amepewa strait red card kwa kucheza rafu mbaya atakosa mechi 2.
*mchezaji akipewa red card kwa kwa kutukana kumpiga mchezaji mwenzie, kuonesha ishara mbaya au kwa VURUGU adhabu ni kukosa mechi zisizopungua3 au zaidi (canavaro alingukia hapa)
@BUT TFF Ndo wanaoamua mchezaji anaangukia katika kipengere kipi cha kanuni kupitia vikao vyao na kuiarifu club kua mchezaji atakosa mechi ngapi..
¤REMEMBER kikao cha kamati ya ligi kilimuhukumu canavaro mechi 6.but kamati ya tibaigana ilicansel hiyo adhab,so hicho kipengere kikawa hakipo active kwa canavaro ,so canavaro akawa anatumikia SHERIA (sio kanuni) ambayo inamzui kukosa mechi2..asanteni!
 
Tatizo kubwa la watu hapa ni Ushabiki uliopitiliza. Mtu pekee anayethibitisha adhabu za wachezaji uwanjani ni waamuzi kupitia report zao. Mfano refa anaponyoosha mkono juu kuonyesha kadi iwe njano au nyekundu anapaswa kuweka kwenye ripoti ili iwe adhabu. Refa akionyesha kadi kwa mchezaji lakini kwenye report ikaonyesha kuwa alikusudia kumuonyesha mchezaji mwingine basi automatically inafutika kwa yule ambaye alionyeshwa kadi kimakosa.

Haya Great thinkers mmepata report ya marefa, na kamisaa mpaka mbishane? Israel alisikika akisema kuwa kutomuonyesha kadi nyekundu mwasika ilikuwa ni kughafirika tu. Vipi kama report yake imemupa mwasika kadi nyekundu na kuifuta kwa cannavaro? Hamuwezi kutumia akili kidogo kujiuliza kwa nini Yanga wakamuacha Mwasika na kumchezesha canavaro?

Nawataadharisha msifuate utumbo wa watangazaji wetu walioingia kwenye utangazaji kwa sababu ya njaa zao bila hata kuwa na ujuzi. Mtangazaji anadiriki kutangaza kitu bila hata kufanya research kidogo tu.
 
....inaelekea unaujua mchezo wa gombe sugu sio soka !! Eti mechi ya kwanza inayohesabika ni hiyo hiyo aliyopewa kadi...? Hii ni BS ya mwaka huu.....!

marafiki wa simba mna taabu sana,tatizo wengi mmeingia kwenye soka kwa kukurupuka bila kujifunza kwanza sheria za mchezo mnaoupenda(soka). Ngoja nitoe darasa kidogo kwa faida yako na mbumbumbu wengine wa sheria mpya za soka.

Iko hivi,mchezaji akipewa straight red card ni kweli anakosa mechi tatu,ila immediately anaanza kutumikia adhabu hiyo ya mechi tatu katika mchezo ambao ndio siku hiyo amepewa kadi nyekundu,it means mchezo huo aliopelewa kadi unahesabika kama ndio mchezo wa kwanza kwa mchezaji husika kutumikia adhabu ya kukaa nje michezo mitatu,hivyo mchezo husika unapomalizika anakua amebakiza michezo miwili ya kukaa nje ya dimba kati ya mitatu.

Hivyo canavaro sijui mwasika na pamoja na salum aboubakar wa azam,mchezo wao wa kwanza kutumikia adhabu ya michezo mitatu ulikuwa ni ule wa azam na yanga!
 
ni kwamba yanga imenyang'anywa pointi tatu za mechi yake dhidi ya coastal union ya Tanga kwa kumchezesha mchezaji mwenye kadi nyekundu Cannavaro. Source sports extra clouds FM.
 
hatimaye yanga yapokonywa point 3,na magoli 3,dhidi ya coastal kwa kosa la kumchezesha beki canavaro huku wakijua fika adhabu yake ya ku2mikia kadi nyekundu,aliyoipata walipokuwa wanacheza na timu ya azam,na inasemeka viongozi wa tff,waliwaonya mapema,ila uongozi wa yanga ukawa mgumu,kila m2 anatafsiri kanuni anavyojua yeye.poleni wanajangwani.
 
hatimaye yanga yapokonywa point 3,na magoli 3,dhidi ya coastal kwa kosa la kumchezesha beki canavaro huku wakijua fika adhabu yake ya ku2mikia kadi nyekundu,aliyoipata walipokuwa wanacheza na timu ya azam,na inasemeka viongozi wa tff,waliwaonya mapema,ila uongozi wa yanga ukawa mgumu,kila m2 anatafsiri kanuni anavyojua yeye.poleni wanajangwani.source clouds fm.
 
wazee wataenda kwenye luninga kuonyesha makali yao na kuwa wako karibu na utawala.
 
hatimaye yanga yapokonywa point 3,na magoli 3,dhidi ya coastal kwa kosa la kumchezesha beki canavaro huku wakijua fika adhabu yake ya ku2mikia kadi nyekundu,aliyoipata walipokuwa wanacheza na timu ya azam,na inasemeka viongozi wa tff,waliwaonya mapema,ila uongozi wa yanga ukawa mgumu,kila m2 anatafsiri kanuni anavyojua yeye.poleni wanajangwani.source clouds fm.
Hizi habari nyingine za kipuuzi siyo hadhi ya JF, Yanga iliifunga Coastal goli 1 tu sasa hayo magoli matatu yanatoka wapi? this thread is total nonsense.
 
Hizi habari nyingine za kipuuzi siyo hadhi ya JF, Yanga iliifunga Coastal goli 1 tu sasa hayo magoli matatu yanatoka wapi? this thread is total nonsense.

Realy? Kakosea idadi ya magoli tu ila pointi tatu yuko sahihi.
 
White wizard.Sports extra gani hiyo?, au ya kenya nimesikiliza hicho kipindi mwanzo hadi mwisho sijaskia hicho kitu.waombe radhi wanajf!
 
Realy? Kakosea idadi ya magoli tu ila pointi tatu yuko sahihi.
Am not interested with this story.......kama hii habari ni kweli nitapata tu taarifa na habari through reliable source maana muanzisha thread ametengeza mazingira ya kutoaminiwa.
 
saa nyingine timu inashinda kwa idadi kubwa ya magoli so kama yanga ina magoli 20 yanapunguzwa matatu yanabaki 17. kumbukeni hata magoli ni ushindi. timu zinalinganisha point wanaangalia idaidi ya magoli ya kufunga na kufungwa.vilevile wanaweza ongezewa faini ya milioni 5 hapohapo.
 
Am not interested with this story.......kama hii habari ni kweli nitapata tu taarifa na habari through reliable source maana muanzisha thread ametengeza mazingira ya kutoaminiwa.

sitaki kuamini kama leo ni wajingaday,nimesikiliza kipindi mwanzo hadi mwisho sijaskia hicho kitu.namuomba mod aipeleke híi kwenye jokes
 
Back
Top Bottom