BAD NEWS: Coastal V Yanga kugeuka mechi ya kirafiki?

sitaki kuamini kama leo ni wajingaday,nimesikiliza kipindi mwanzo hadi mwisho sijaskia hicho kitu.namuomba mod aipeleke híi kwenye jokes
mkuu nikweli clouds fm wame tangaza kua yanga wamenyang'anywa point 3 na magoli3 kama wamekosea niwao watangazaji ila nikweli wametanganza mwishoni kabisa mwa kipindi chao cha michezo,nimesikia wala sijasimuliwa.
 
kwa hili suala la canavaro viongozi wa yanga ndo wa kubeba lawama zote.sitaki kuamini kuwa hakuna kiongozi wa yanga anayejua sheria za soka.sio siri wametuangusha sana wapenzi wa yanga!
 
haiwezekani yanga kupokwa point 3.kamanda T alishawaruhu kumtumia
 
Ni kikao gani kimeamua hayo mambo ? Coast ndo kwanza wamepeleka rufaa yao leo (source: sports ya capital radio)
 
Hizi habari nyingine za kipuuzi siyo hadhi ya JF, Yanga iliifunga Coastal goli 1 tu sasa hayo magoli matatu yanatoka wapi? this thread is total nonsense.
Mkuu na hii sheria ya mpira wa mguu huifahamu?!kawaida timu inapobainika imefanya kosa juu ya mchezo husika timu pinzani hupewa point 3,na magoli 3,ndio hivyo dunia nzim a,hata kama mlitoka sare ya bila kufungana sheria ndio inasema hivyo na cio tenga.
 
sitaki kuamini kama leo ni wajingaday,nimesikiliza kipindi mwanzo hadi mwisho sijaskia hicho kitu.namuomba mod aipeleke híi kwenye jokes
Kuwa serious kaka!uliza mtu yeyote aliyekuwa makini kusikiliza kipindi cha michezo clouds fm,hii iliingia kama habari mahususi,atakwambia,ila sio vibaya kujipa moyo.
 
haiwezekani yanga kupokwa point 3.kamanda T alishawaruhu kumtumia

Kamanda T,alisimamisha kwa muda adhabu zote zilizotolewa na kamati ya ligi 2,ila akasema adhabu zilizotolewa na mwamuzi(kadi nyekundu/njano)zinabakia pale pale bila kutenguliwa,mi sioni utata unatoka wapi!
 
sitaki kuamini kama leo ni wajingaday,nimesikiliza kipindi mwanzo hadi mwisho sijaskia hicho kitu.namuomba mod aipeleke híi kwenye jokes
Kuwa serious kaka!uliza mtu yeyote aliyekuwa makini kusikiliza kipindi cha michezo clouds fm,hii iliingia kama habari mahususi,atakwambia,ila sio vibaya kujipa moyo.
 
Hizi ndiyo dalili za ubabaishaji, yaani badala ya kutupa official Link ya TFF source inakuwa ni hivi viblog uchwara!!....hii ni nchi ya ajabu sana hapa hata sijui msemaji wa TFF ni nini kazi yake.

We unaetaka taarifa rasmi kwenye web ya tff subiri mwenzi ujao waki updates, lakini huo ndio ukweli umenyang'anywa pointi 3 na magoli 3! Pole yeboyebooooooooo! Mmezoea vya kunyongaaa!
 
hivi ni kwa nini clouds or shafi dauda ndio vyombo vya habari vinavyokuwa vya kwanza kujua habari hizi? au clouds na tff wanafanya kazi pamoja? wana yanga tunahitaji kuonyesha ujasiri dhidi ya clouds fm. na hizi point wamenyanganywa na kamati ipi wakati ile ya ligi mwenyekiti alishajiudhulu. namchukia shafi mno!
 
Viongozi wa Yanga wajiuzuru tu maswala madogo kama haya kwa nn wanaingiza siasa? Kulikuwa kuna umuhimu gani wa kumchezesha canavaro?
 
Tibaigana ndie kawahujumu Yanga, walidhani mwenzao kumbe adui yao pole Yanga ccm
Unajua Yanga hawakuwa na sababu ya kuwachezesha wachezaji wote ambao walishapewa adhabu ili kuwa safe lakini vile vile inawezekana walipata barua ya kuwachezesha hata huyo Cannavaro kama Tibaigana alizingatia kwamba alipewa kadi kimakosa kwani aliyempiga refa si yeye ni Mwasika hivyo kwa kuzingatia hilo na kama ndiyo ilikuwa kosa lilopelekea cannavaro kupewa kadi nyekundu atalizungumzia hilo kesho kwa kumuadhibu refa na kuipeleka kadi nyekundu inapositahili na refa naye kupewa kibano chake.Otherwise Yanga watakuwa wamechemsha na hawakuwa waangalifu.Tusubiri tuone kipi kitajiri kwenye Kamati ya Nidhamu A.K.A Kamati ya Tibaigana.
 
Hizi habari nyingine za kipuuzi siyo hadhi ya JF, Yanga iliifunga Coastal goli 1 tu sasa hayo magoli matatu yanatoka wapi? this thread is total nonsense.

Kama hujui kitu uliza au nyamaza kimya? Hata kama mmetoka draw ya 0-0 timu inayokata rufaa hupewa point 3 na magoli ma 3.
 
Hizi ndiyo dalili za ubabaishaji, yaani badala ya kutupa official Link ya TFF source inakuwa ni hivi viblog uchwara!!....hii ni nchi ya ajabu sana hapa hata sijui msemaji wa TFF ni nini kazi yake.

ukishawapa kazi wafu fm ujue hakuna kinachoendelea naona simba ndio wamelishikia kidete kweli soka la bongo simba na yanga na kwanini wasingekataa kucheza ili huyo canavaro asipangwe kazi ipo..
 
White wizard.Sports extra gani hiyo?, au ya kenya nimesikiliza hicho kipindi mwanzo hadi mwisho sijaskia hicho kitu.waombe radhi wanajf!

only83 alipata kunena kuwa kombe la mataifa ya afrika limefika subirini uongo wa kina shaffih dauda kama bado una wafuatilia imekula kwako..
 
Back
Top Bottom