Hata Kama hiyo Meli haipo,lakini huyu Mzee anahitajii ulinzi na sio ulinzi wa kitoto......Kuna hatari kama ni kweli dawa yake inaponya matatizo hayo na bila kuwarudia wagonjwa...Huoni kuwa kuna hatari ya bishara za watu kufa!!! Kwa mfano UKIMWI... hivi hujui kama UKIMWI ni mradi mkubwa sana Duniani ambao umeajirii mamilioni ya watu na hao watu wanafamilia zao ambazo pia zinategemea huu mradi wa UKIMWI. Ipo haja kubwa kwa huyu Mzee kupewa ulinzi hasa.....