Babu wa loliondohatarini kufa!!!!

Livanga

JF-Expert Member
Apr 15, 2010
469
148
Habari zilizonifikia muda si mrefu zinasema babu wa loliondo amesema kuna meli inakuja na ndani yake kuna watu amba sio wazuri wanata kumzuru.

Naomba mwenye data kamili za uhakika atufahamishe tafadhali.
 
Hata Kama hiyo Meli haipo,lakini huyu Mzee anahitajii ulinzi na sio ulinzi wa kitoto......Kuna hatari kama ni kweli dawa yake inaponya matatizo hayo na bila kuwarudia wagonjwa...Huoni kuwa kuna hatari ya bishara za watu kufa!!! Kwa mfano UKIMWI... hivi hujui kama UKIMWI ni mradi mkubwa sana Duniani ambao umeajirii mamilioni ya watu na hao watu wanafamilia zao ambazo pia zinategemea huu mradi wa UKIMWI. Ipo haja kubwa kwa huyu Mzee kupewa ulinzi hasa.....
 
Mwenyewe nimekuwa nikiwaza sana juu ya ulinziwake ingawa ana ulinzi kidogo wa wanakijiji lakini hautoshi serikali itabidi iliangalie hili swala kwa jicho la ziada before its too late kama kweli amesema hivyo na kweli kuna watu wana nia hiyo nina imani itakuwa ni pigo kubwa kwa walimwengu wengi waliokuwa wamepanga kwenda huko kwa tiba yake na pia ninawiwa kuamini kwamba kuna watu hawamtakii mema coz kuwepo kwake kunawaweka watu katika haki mbaya pamoja na watanzania wengi tu ambao wameajiri kwenye maorganization mbalimbali ambayo yanahusika na magonjwa husika na tiba yake.
Hata Kama hiyo Meli haipo,lakini huyu Mzee anahitajii ulinzi na sio ulinzi wa kitoto......Kuna hatari kama ni kweli dawa yake inaponya matatizo hayo na bila kuwarudia wagonjwa...Huoni kuwa kuna hatari ya bishara za watu kufa!!! Kwa mfano UKIMWI... hivi hujui kama UKIMWI ni mradi mkubwa sana Duniani ambao umeajirii mamilioni ya watu na hao watu wanafamilia zao ambazo pia zinategemea huu mradi wa UKIMWI. Ipo haja kubwa kwa huyu Mzee kupewa ulinzi hasa.....
 
Kama ni tetesi basi nasi tuna tetesi kuwa babu alirudisha wazungu fulani toka SA ambao walikuwa wanajidai kuwa walikwenda kunywa dawa lakini lengo lilikuwa ni kudhuru watu na dawa ili watu waathirike na hiyo dawa. Alipowastukia akadai waondolewe haraka.
Khabari ya pili inawezekana kuundiwa njama za mauaji maana hata dada yetu waziri wa pale kenya amemtaka waziri wa afya wa tz amkamate babu na afungwe!
 
nilishaskia pia tetesi izo mkuu kwamba kuna meli ztakuja itakuwa na wabaya wake
 
Ingekuwa busara kwa mamlaka husika kuhakikisha wageni wote kutoka nje ya nchi wanakaguliwa kabla ya kumfikia babu.
Maana kama kweli dawa ya babu inatibu hayo maradhi aliyoyataja, hili ni pigo kubwa kwa watu binafsi au makundi yaliyowekeza katika matatizo ya watu.
.
 
Ni kweli. Taasisi kama TACAIDs na zile lukuki zinazotoa ushauri nasaa zitakufa kifo cha mende!
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom