BABU: Sitakufa kabla ya CCM kufa!

Huyo kajichuria mwenyewe.

Nakumbuka katika kusherehekea miaka 75, Nyerere alisema hana sababu ya kufa kabla hajafika 100 kwani mama yake kafika.

Baada ya mwaka na alipokwisha jijua kuwa ana leukemia akabadili msemo akasema kisha pitisha muda wa kuishi ulioandikwa kwenye biblia.

Mungu hakajeliwi. Ni yeye tu ajuaye saa na dakika.
 
CCM ife mara ngapi? Ukitaka kujua inakufaje fuatilia majimbo inayopoteza kila uchaguzi unzpofanyika
 
Huyu mzee ni mtabiri wakimataifa japo mungu ndo anajua ck ya kufa m2 lakini watanzania tnajua ck ilipokufa ccm
 
Mzee hiyo ndio imekufa mwache FF angaike jf tena nataka yule mkwele afanyiwe kama mbarack wa Egypt.
 
Ana frustration yule babu kacheza ujanani maisha yamempiga!

Yule mzee (marehemu sasa) Yahaya Hussein alikuwa akitabirr mnaamin,babu leo ametabiri mmegoma kisa ameigusa ccm,teh teh teh naomba babu afe mapema kwani mda huo ccm itakuwa imekufa na imeshaoza kabisa
 
Huyo kajichuria mwenyewe.

Nakumbuka katika kusherehekea miaka 75, Nyerere alisema hana sababu ya kufa kabla hajafika 100 kwani mama yake kafika.

Baada ya mwaka na alipokwisha jijua kuwa ana leukemia akabadili msemo akasema kisha pitisha muda wa kuishi ulioandikwa kwenye biblia.

Mungu hakajeliwi. Ni yeye tu ajuaye saa na dakika.
ahahaha....hivi yule ustaadhi aliyepata mic dakika za mwishoni akazungumzia kushirikishwa kwa chuo cha ccm cha kiislam morogoro ni malaria sugu au sokomoko?? mnaniacha hoi nyinyi watumwa!
 
CCM ife mara ngapi? Ukitaka kujua inakufaje fuatilia majimbo inayopoteza kila uchaguzi unzpofanyika

Wishful thinking, nna uhakika hakuna chama cha kibinaadam kitacho baki milele duniani, lakini kwa sasa CCM bado, hakuna upinzani wa maana wa kukiua hivi karibuni. Wapinzani wenyewe ndio wale wanafanya "u chale" wakiwa bungeni? Unanchekesha!
 
Wishaful thinking, nna uhakika hakuna chama cha kibinaadam kitacho baki milele duniani, lakini kwa sasa CCM bado, hakuna upinzaani wa maana wa kukiua hivi karibuni. Wapinzani wenyewe ndio wale wanafanya "u chale" wakiwa bungeni? Unanchekesha!
ahaha ...uliona mdahalo eeehn......sasa ule ndo mtazamo wa watanzania wengi tu wanyonge.....! ni suala la mda tu! hujanijibu swali ...yule ustaadhi aliyechangia kizushi kuhusu kushirikishwa kwa chuo cha ccm cha kiislam morogoro halafu akapotezewa kiaina ni malaria sugu au sokomoko?
 
Huyo babu ni shujaa wa ukweli kwani amekua jasiri kuyasema mambo ambayo wazee wengi hawawezi kuyasema wakihofia kupoteza maisha yao mapema zaidi.
Hongera babu kwa ujasiri wako!
 
ccm lazima ife ndio watanzania tujipatie katiba mpya, mzee wetu na nabii wetu ameshatutabiria kuwa hata kufa kabla ya ccm kufa! Na ukweli kwa hali ya ccm ilivyo sasa naifananisha na 'mzee mgonjwa' aliye zeeka kushinda hata mzee wetu wa leo! Hivyo mzee wetu hatakufa kabla ya sisi kufanya matanga ya chama cha magamba(ccm)
 
<br /> <br / tangu ccm ya wahuni ilipogeuza nyundo ni yakuwaua watanzania na jembe kuwachimbia makaburi tofauti na dhana nembo ya bendera ya ccm ilivyomaanishwa na nyerere kw jembe inawakilisha kilimo na nyundo kwa wafanyakazi. do you catch me??
 
ahaha ...uliona mdahalo eeehn......sasa ule ndo mtazamo wa watanzania wengi tu wanyonge.....! ni suala la mda tu! hujanijibu swali ...yule ustaadhi aliyechangia kizushi kuhusu kushirikishwa kwa chuo cha ccm cha kiislam morogoro halafu akapotezewa kiaina ni malaria sugu au sokomoko?
<br />
<br />

Mkuu, huyu hawezi kukujibu !
Swala ni: yule mzee ka'bore walio wengi ndiyo maana akapotezewa...mambo yasiyo na msingi kama yale yasingeweza kupoteza mda ambao ni lulu kwa muda ule
 
Wishaful thinking, nna uhakika hakuna chama cha kibinaadam kitacho baki milele duniani, lakini kwa sasa CCM bado, hakuna upinzaani wa maana wa kukiua hivi karibuni. Wapinzani wenyewe ndio wale wanafanya "u chale" wakiwa bungeni? Unanchekesha!
umemuona BASHIRU ALLY?? Basi dadangu ukienda shule hata kidogo tu..utakuwa na fikra pevu kama zile! siyo kujifunika sura kama maninja na wengine kuishia kufuga ndevu nyingi na kuvaa vipedo!! uzuri ni kwamba ..upepo huu wa mabadiliko ni kama makokoro.....utawasomba hata nyinyi watumwa msiokubali kubadilka!
 
Back
Top Bottom