Mhh je huyo msichana alikuwa analala hapo kwenu na je mlikuwa mnampa siku ya kutoka akatembee na kukutana na vijana wenzie?? kwa umri aliokuwa nao ni lazima damu inachemka labda alianza kuonyesha dalili, tafuteni mtu aongee na mzazi wenu asimulie ilivyokuwa, msisikilize kesi ya upande mmoja
Dah mbombo ngafu hapa mpaka nimeishiwa maneno
:israel:
Kwa utaratibu akiingia ndani hatoki mpaka aende likizo kwao. Ila kuna vijana wengine - dereva na hausiboi. Sitaki kufikiri alijilengesha, angelalamika nini sasa?
Yeah. She deserves the best care in the whole world. Kwa sasa ana hasira sana. Mimi pia nina hasira sana kwa kweli I rally hope she is not pregnant na hana hayo maradhi.
Its true wazazi wamekuwa na ups and downs zao. Ila hili jamani, aibu sana. Wanawake wote hao huko nje, na hela unazo, who rape someone?
very simple je alimrazimisha au ilikuwa ndo tabia yao ila baada ya bi mkubwa kushtukia ndo anajidai kwenda polisi? au kulikuwa na kutokuelewana baina ya mama na baba ndo akafanya hiyo ishu?
Pole sana mkuu.
fikiri chukua hatua, fanya maamuzi..:A S cry:
Wadau wa JF.
Hiki ni kisa cha ukweli kilichotokea wiki iliyopita. Ninakiandika kwa huzuni sana na aibu kubwa. Nilikuwa safarini na niliporudi nimekuta kesi hii inafukuta ikiwa imetokea kama siku 2 kabla ya mimi kuwasili.
Baba yangu ana umri wa miaka 70 plus. Mama yangu yupo Mid 60s. Ilitokea kwamba wana housegirl wa umri wa miaka 18 hivi toka maeneo ambayo hutoa wasichana wengi wa jinsi hii.
Bila kupamba jambo hili, baba yangu amembaka huyu msichana wakati mama hayupo. Msichana alitaka kwenda kushitaki polisi ila aliombwa sana na ndugu zangu asifanye hivyo.
Jambo hili limeleta vurugu kubwa sana nyumbani. Hakuna anayetaka kungea na mzee na mama amesema anafunga mizigo yake arudi kwao (at that age?). Watoto tumebaki tunashangaa hatujui la kufanya maana wale ni wazazi wetu na tunaona aibu hata ku-share na spouses wetu (tunaogopa kumbe nyiye ndivyo mlivyo). Pia watu wa dini unaanzaje kuwaelezea? Tunajiuliza kama huyo binti amepata ujauzito je? Kama akiamua kushitaki polisi je?
Yani sijawahi kupata fedheha kama hii. Hata sisi kwa sisi hatutaki kulizungumzia jambo hili.
Tumsaidieje mama?
Tuokoeje ndoa yao? Mzee hataki kukaa nyumbani safari za hapa na pale haziishi!
Tumsaidieje yule binti wa watu na trauma hiyo?
Naombeni msaada, bila matusi tafadhali. Mbakaji akiwa mbali rahisi kusema - afungwe, ila baba yako unasemaje?

Kwanza kabisa naweza kusema wewe mtoa mada hii ebu niangalie jina lako kwanza... Ooh Chupaku, HUNA ADABU hata kidogo tena naweza kusema umemkosea adabu Mzee wako (I mean Baba yako Mzazi), napata wasi wasi kama huyo uliye muelezea hapa ni baba yako kweli au ni baba wa kambo au wa Kufikia.
Haiwezekani jambo kama ili la kifamilia mshindwe kulizungumzia uko uko nyinyi kwa nyinyi, mpaka ulilete hapa hadharani, kwani unafikiria watu hawakujui wewe Chupaku ni nani? Nikiangalia IP tu hapa najuwa unaandika kutokea wapi na unatumia mtandao gani.
Hivi uko kwenu ukufunzwa adabu na heshima? Ukuambiwa kuwa mambo yanayo husu familia huwa yanatatuliwa kifamimilia!? Hakuna wazee kwenye ukoo wenu, au mzee aliye baki hai ni Baba na Mama Chupaku tu!?
Siku mkeo akikunyima unyumba pia utaleta humu JF ili kupata ushauri? Grow up my friend, this is not funny.
Alafu unadai eti nanukuu "...aibu hata ku-share na spouses wetu (tunaogopa kumbe nyiye ndivyo mlivyo)...."
Sasa unataka kosa la mtu mmoja kuhumiwa ukoo mzima, unacho kiogopa kuongea na wake zenu nini na unacho kifanya hapa ni nini.
Yaani hapa unataka kudhihirisha kuwa wewe unamini watu walioko JF kuliko spouses wenu, familia yako wewe na ndugu zako na hata wazee wa Ukoo wanu.
Maybe you better think twice next time my friend before you just post mambo ya kifamilia.
Hivi umenisoma kweli au umekurupuka kwa hasira kujibu kile nilichokibandika hapa...? Rejea tena kusoma bandiko langu.Nashukuru kwa ushauri wako. Kwa sababu haukuwa na la kuchangia basi pita tu na kwaheri. Hiyo ni siri basi? anajua hausiboi, dereva, mama, baba, watoto, may be hata ,majirani. Ubake halafu udhani ni siri na wanao wafiche siri yako? Nimetaja jina hapa?
Ila sikulaumu maana najua kuna watu wana desturi hizi nazo ni mambo ya kawaida sana. siku yakikukuta ficha hiyo siri, hata ikiwa ni mwanao, nyamaza kimya muoze kwa aliyembaka.