Baadhi ya sababu za kukataa kuoa, hoja zangu ni katika mtazamo wa kukataa kuuishi Ujinga na Upumbavu

Shalom,

Kama mdau wenu mimi Wadiz naandika yafuatayo katika Hali ambayo naamini ndiyo ipasayo katika hoja mbalimbali zenye mashiko na kulinda uhalali wa baadhi ya wenye kukataa kuoa.

Na katika hili sipo hapa kusema msioe bali iwe ni afya kujadili na kutambua haki ya kila mtu kupanga na kuchagua atakalo katika namna bora na utashi makini wenye kuangazia hoja za msingi.

Kuoa na kuolewa ni kusudi na kusudi hilo yapaswa kubebwa katika dhana iliyojaa uweledi

Hizi ni baadhi ya fikra hai na thabiti katika kukataa kuoa japo sipingi wengine kuoa. Ukikubali hoja walau 5 kati ya hizi 17 basi una ufahamu ya kwamba kuoa ni kujivika ujinga na upumbavu.

Hivyo maamuzi ya kukubali ujinga na upumbavu ni hiari haipaswi kuwa shuruti.

1.Mwanaume hana uhakika wa kuwa juu muda wote na mwanamke anapenda kuzidiwa hataki kufanana ama kuwa sawa.
2. Wanawake ni viraka katika mahusiano wanakaa popote.
3. Wanawake hawana urafiki wa kudumu
4. Wanaweka hawatumii akili kwenye mapenzi
5. Wanawake ni viumbe wapenda ushindani na wanapenda kushinda.
Wanawake hawanaga hali ya kujizatiti.
6. Wanawake ni viumbe wa majira au msimu
7. Wanawake wanajua mwanzo wa safari ila hawajuagi wanakoenda.
8. Wanawake hawana akili ya kujua kusudi la Mungu katika ndoa.
9. Wanawake siku ya kuolewa wanaona wamepata mafanikio wakati ndio kwanza safari ya maisha inaanza.
10. Ndoa nyingi wanaume wameoa maadui zao.
11. Mwanamke ni kiumbe wa masengenyo.
12. Wanawake wengi hawatunzi Siri za ndoa zao. Na hawana uwezo wa kutunza siri
13. Mwanamke hupendezwa na kitu kisicho cha mazoea kwake hivyo si watu wenye kujenga urafiki wa kudumu.
14. Wanawake wengi kusudi lao la ndoa ni kupata watoto, kupata hifadhi ya kuishi na kuishi huko wapate mlo na maisha mazuri.
15. Mwanamke amepewa akili za kitoto kwa hio tarajia maajabu siku yoyote.
16. Mwanamke ni kiumbe mwenye nafsi ya viumbe kama nyoka na Simba jike.
17. Wanawake hawajui kuhusu kuanzisha ukoo na makazi mapya hivyo hawaishi kusudi la kudumu katika ndoa.

Yapo mengi sana sitaki kuwachosha nikibarikiwa nguvu ya fikra na maarifa ntaendelea na mengineyo

Ni hayo tu

Wadiz
Tote uliyotaja ni kweli tupu, hayajaaanza Leo, tangu kale, Sisi ni wanadamu, sio maraika, ukisema hii gari inatoa Moshi, na Ina magurudumu, siitaki! Sasa unategemea gari iwe na nini! Miguu! We tafutq maraika uishi nae,
Swali langu kwako, kama uoi,mbadala wake ni nini? Je utazaa na mwanamke kila MTU aishi kivyake kama Mond? Je Una maanisha hutafanya ngono kabisa, au, ngono unafanya, lakini hakuna kuleta watoto duniani?
 
Such cases ni udhihirisho wa huo ujinga na upumbavu. Exploit ur brain potential and you will purely settle with our perspective ya kwamba kuoa ni ujinga na upumbavu
Wanawake huwa hawana shida na kusubiri. Utafika 60 hizi mbwembwe za ujana zitaondoka kichwani na hicho hicho kingereza chako ndo utakitumia kutongozea mke hapo sijui presha mara kisukari vinakunyemelea.
 
Tote uliyotaja ni kweli tupu, hayajaaanza Leo, tangu kale, Sisi ni wanadamu, sio maraika, ukisema hii gari inatoa Moshi, na Ina magurudumu, siitaki! Sasa unategemea gari iwe na nini! Miguu! We tafutq maraika uishi nae,
Swali langu kwako, kama uoi,mbadala wake ni nini? Je utazaa na mwanamke kila MTU aishi kivyake kama Mond? Je Una maanisha hutafanya ngono kabisa, au, ngono unafanya, lakini hakuna kuleta watoto duniani?
Hoja ni kuoa sio kuzaa au ngono, ngono ni huru kuzaa ni huru na haina ufungamano wa lazima na kuoa.
Ngono ni ngono
Kuzaa ni kuzaa
Kuoa ni kuoa
Hakuna upacha wowote katika hayo wenye upekee
 
Wanawake huwa hawana shida na kusubiri. Utafika 60 hizi mbwembwe za ujana zitaondoka kichwani na hicho hicho kingereza chako ndo utakitumia kutongozea mke hapo sijui presha mara kisukari vinakunyemelea.
kaa kwa kutulia tumia akili ongea hoja acha utumwa.
 
kaa kwa kutulia tumia akili ongea hoja acha utumwa.
Hupangiwi kuoa, ila kufikiri wazee wa kale waliokuja na mfumo wa ndoa ni wajinga na wapumbavu hapo ndo ulipojianika kuwa una mihemko tu ya ujana.
 
Bado hoja zako hazitoshi kuuthibitishia ulimwengu kwamba kuoa ni kuuishi ujinga na upumbavu, sanasana zimejikita katika mtazamo wako
Na imekaa wazi nimesema ni mtazamo be sharp with your eyes
 
19. Mwanamke kichwani kwake ana uhakika wewe mwanaume ndo utaanza kufa hivyo anajiweka mkao wa kuhakikisha documents za mali zenu majina yanaeleweka na ajue zote mahali zilipo!
NDOA NI UTAPELI NA ULAGHAI KWA WANAUME
KATAA NDOA
KATAA NDOA
 
Ni kweli kuwa wanawake ni very complex beings, yaani itakuchukua maisha yako yote kujua nini hasa wanataka, ila principle ni moja tu, use common sense to mingle around them. Huwezi kuwakimbia wala huwezi kuishi bila mwanamke unless you're impotent or faggot.
 
Back
Top Bottom