Baada ya Wana Mbeya Kumkataa Sugu na Kumkumbatia Dkt.Tulia, Maendeleo yaanza kumiminika

Majimbo mengi tuu miradi inapelekwa.

Hapo Mbeya kuanzia meya Hadi Mbunge walikuwa ni Chadema pesa wanakusanya wao kwani walikuwa wanazipeleka wapi kiasi kwamba miaka 10 hakuna Cha maana Cha kuonesha?
Kama hawakufanya lolote msingemchagua awamu ya pili .
Afu nchi nzima miradi inaendelea so sio ishu ya mbunge hiyo
 
Ujenzi wa Stand Mpya ya Mabasi Mbioni kuanza.
Screenshot_20240124-052852.jpg
 
Back
Top Bottom