Baada ya Lowassa kuhama CCM hali ilivyo Monduli

Mimi kidogo nipate pressure siku ile Mzee Lowassa amekatwa maana mawazo ya kukatwa mzee na huku mpenzi wangu tuligombana! yaan ilikuwa balaa sana...nimeamini pressure inaweza kukupata wakati wowote kama utashindwa kuji-control
 
Mkuu mimi hali ilikua tete kama sio baba yangu kunifariji basi mngekua mnakuja kunisalimia hospital.
Nilikua nahisi kama naota, sitaki kukumbuka zile kejeli Kikwete alizokua anamfanyia Lowassa kwenye ule mkutano mkuu.
Sasa tutamuonesha kwa kujaribu kuzuia chaguo letu wananchi.

Tutaheshimiana tu mwaka huu.
 
Mimi kidogo nipate pressure siku ile Mzee Lowassa amekatwa maana mawazo ya kukatwa mzee na huku mpenzi wangu tuligombana! yaan ilikuwa balaa sana...nimeamini pressure inaweza kukupata wakati wowote kama utashindwa kuji-control
Mimi ilikua kidogo ni R.I.P! Penda Lowassa sana mimi.
 
the only golden chance to end CCM.CHAMA AMBACHO MWENYEKITI WAKE HAJUI KWA NN SISI NI MASIKINI
 
Tuache kabisa kuhubiri utengano,mkifanya hivyo ni kuonyesha wazi mlivyo wachanga katika game,na mwisho wake si mzuri.
Akuna mtanzania mwemawazo ya ukanda wala ukabila subirini muone ccm ikifa kifo cha mende
 
Niko geita pamoja na kuwa maskani ya makufuli lkn ni balaa balaa gani yaan, ful shangwe. UKAWA IKULU Moja kwa moja
 
Mi nlikuwa kwenye bar moja hivi arusha nikashangaa wateja wote wanaimba wacha waisome namba eeee ukawa mbele kwa mbele yan ni ful shangwe huku Kila kona
 
Dah Watanzania na siasa za kibongo...
tuna pelekeshwa huku na huku kama kondoo vile, Sasa leo hata sijui nimpe kura yagu nani..Ni uchafu juu ya uchafu tu
 
Back
Top Bottom