Royals
JF-Expert Member
- Nov 19, 2011
- 1,466
- 378
Yeye kuhamia Chadema ni haki yake. Kuhan kwake kuna faida kubwa sana kwa chama anachohamia. Kuanza kuhama kwa kutskuws nduo mwanzo wa kumefuka kwa mwamba mkuu wa zamani zile. Kwa watu wa zamani zile wanajua ile " Kidumu chama cha Mapinduzi" kisha watu wote wanaitikia Kdumuuuu!