Baada ya kumjua kuwa kumbe Adui Mkubwa wa Simba SC ni Mwekezaji Mo Dewji nawaomba Msamaha 'Mangungu' na 'Try Again'

Mo Dewji Wewe kweli ni wa Kutufanyia haya Sisi wana Simba SC? Yaani una bahati nimekuja kuyanza Maisha mapya huku Kampaa Uganda ila hakyanani ningekuwa huko Dar es Salaam Tanzania ungenitambua. Yaani Mo Dewji Wewe leo ni wa kuipa Simba SC Shilingi 185 za Operations kwa Mwezi badala ya zile Shilingi 870 ulizosema Mkutanoni kuwa huwa unatoa na utaendelea kutoa hadi Mchakato wa Uwekezaji utakapokamilika?

Baadae nakuja na Uzi MAALUM wa kusema Mo Dewji TUACHIE SIMBA SC yetu na naamini nitaungwa sana tu mkono. Na nichukue pia nafasi hii kuwaomba sana Radhi Viongozi akina Murtaza Mangungu na Salim Abdallah Mhene 'try again' kwa Kuwashambulia mara kwa mara hapa JamiiForums nikidhani Wao ndiyo Wabaya ndani ya Klabu.
 
Wahuni sio watu wazuri ,special appearance ikawachanganya na wapiga kura badala wampigie wakili wakamweka mangungu Tena tunachokipata ndicho tumestahili
We angalia tu viongozi wa Simba wanavyocheza na akili za mashabiki, na wapo after money, timu mbovu lakini watafanya propaganda wajaze uwanja,mechi zilizobaki wataenda wachache,ikikaribia tar 20 mechi na Yanga utaona wanavyobembeleza kwamba bila nye sisi hatuwezi,utaona hii mechi na Yanga itakavyokuwa platform ya kujisafisha.
 
NO NO NO. MO Dewji ni kirusi kikali sana. Post nyingi za kumtuhumu Mangungu anazifadhili MO Dewji. Kisa ni kuwa kwenye kugombea nafasi ya Mwenyekiti wanachama wa Simba walimpa kura nyingi Mangungu kuliko yule mgombea aliyekuwa na sapoti ya MO Dewji. Kwa mtazamo wake huyu anayejiita mfadhili ni kuwa Simba wakifungwa basi wanachama watachachamaa wamwondoe Mangungu madarakani, Ushahidi wa kimazingira unaonyesha kuwa Dewji alihusika Simba kufungwa goli 5 na Yanga. Simba aliifunga Yanga kombe la hisani. Akacheza na El Ahly African Football League mechi mbili japo alitolewa lakini aliiheshimisha Simba. Ghafla anakuja MO eti anaunda mkamati ya kumsaidia kuiongoza Simba siku chache kabla kucheza na Yanga. Matokeo tunayajua. Ile kamati haijasikika tena. Na wajumbe wa ile kamati ni mashabiki wa yule mgombea aliyeshindwa na Mangungu kwenye uchaguzi. Tahadhari wapewe viongozi wa Simba kuwa kama ni msaada wote kwa timu autoe ila kamwe wasomruhusu MO na watu wake kwenda kambini kabla ya mechi na Yanga. MO anataka Simba ipate aibu kubwa zaidi ili iwe sababu kumwondoa Mangungu
Sasa mangungu anafaida gani pale simba
 
IMG-20240410-WA0136.jpg
 
Acha visingizio kupigwa mtapigwa tu..TULIA MKUU ,UTALIWA TU...MNAMSINGIZIA MUDI ,WAKATI MNAMPIGA KWA TEN PERCENT ZA USAJILI...MNAFIKIRI YEYE ZWAZWA
 
NO NO NO. MO Dewji ni kirusi kikali sana. Post nyingi za kumtuhumu Mangungu anazifadhili MO Dewji. Kisa ni kuwa kwenye kugombea nafasi ya Mwenyekiti wanachama wa Simba walimpa kura nyingi Mangungu kuliko yule mgombea aliyekuwa na sapoti ya MO Dewji. Kwa mtazamo wake huyu anayejiita mfadhili ni kuwa Simba wakifungwa basi wanachama watachachamaa wamwondoe Mangungu madarakani, Ushahidi wa kimazingira unaonyesha kuwa Dewji alihusika Simba kufungwa goli 5 na Yanga. Simba aliifunga Yanga kombe la hisani. Akacheza na El Ahly African Football League mechi mbili japo alitolewa lakini aliiheshimisha Simba. Ghafla anakuja MO eti anaunda mkamati ya kumsaidia kuiongoza Simba siku chache kabla kucheza na Yanga. Matokeo tunayajua. Ile kamati haijasikika tena. Na wajumbe wa ile kamati ni mashabiki wa yule mgombea aliyeshindwa na Mangungu kwenye uchaguzi. Tahadhari wapewe viongozi wa Simba kuwa kama ni msaada wote kwa timu autoe ila kamwe wasomruhusu MO na watu wake kwenda kambini kabla ya mechi na Yanga. MO anataka Simba ipate aibu kubwa zaidi ili iwe sababu kumwondoa Mangungu
Ila hii ya kusema Mo hamtaki Mangungu hii kwangu kdg ni km siamini vile..katika uchaguzi ule mie nilikua timu Kaluwa , sikuona dalili zq Mo kumtaka Kalua ..ktk vikao vyote vya kampeni
 
Mangungu alishindwa uchaguzi ule, isipokuwa kura mlizohesabiwa pale ni feki zile mlizopiga ziliondolewa.
Mangungu ana genge la wahuni na watoto wa mjini chini ya Backup ya Msoga Gang na sasa wanamtumia kama Remote ndani ya Simba ili baadae apitishwe Ubunge wa kwao Lindi huko
 
Najua alishindwa ule uchaguzi na hata matokeo yalichelewa sana..ila sikua najua kuwa Mo alikua team kalua
 
Mo Dewji Wewe kweli ni wa Kutufanyia haya Sisi wana Simba SC? Yaani una bahati nimekuja kuyanza Maisha mapya huku Kampaa Uganda ila hakyanani ningekuwa huko Dar es Salaam Tanzania ungenitambua. Yaani Mo Dewji Wewe leo ni wa kuipa Simba SC Shilingi 185 za Operations kwa Mwezi badala ya zile Shilingi 870 ulizosema Mkutanoni kuwa huwa unatoa na utaendelea kutoa hadi Mchakato wa Uwekezaji utakapokamilika?

Baadae nakuja na Uzi MAALUM wa kusema Mo Dewji TUACHIE SIMBA SC yetu na naamini nitaungwa sana tu mkono. Na nichukue pia nafasi hii kuwaomba sana Radhi Viongozi akina Murtaza Mangungu na Salim Abdallah Mhene 'try again' kwa Kuwashambulia mara kwa mara hapa JamiiForums nikidhani Wao ndiyo Wabaya ndani ya Klabu.
Leo ndiyo umejidhihirisha kumbe wewe ni empty set. Haya fukuzeni Mo tuone kama Mangungu ana uwezo wa kulipa hata mshahara wa mchezaji mmoja mzawa. Tatizo la Simba kuongozwa na watu wasio wa mpira. Wanachama waliomrudisha Mangungu madarakani kwa kuletewa Manzoki kama campaign manager ndiyo wa kulaumiwa.
 
Back
Top Bottom