Baada ya jaribio la Mbowe kuwafukuza Komu na Kubenea kushindikana, Uchaguzi wa Mwenyekiti CHADEMA kuahirishwa

Benson Mramba

JF-Expert Member
Oct 29, 2013
644
1,482
Katika chaguzi tatu mfululizo ndani ya CHADEMA (ukiwepo wa awamu hii) ambazo Mbowe amekuwa akishiri kama Mgombea wa nafasi ya Mwenyekiti, amekuwa akitumia mbinu ya kutangaza tarehe ya mapema ya uchaguzi (Mwaka mmoja kabla) ili apate fursa ya kujua nani anayetaka kugombea nafasi ya Mwenyekiti apate muda wa kumshughulikia.

Katiba ya CHADEMA inasema Mwenyekiti atakaa madarakani miaka mitano ila Mbowe amekuwa akijenga hoja inayoshawishi lakini yenye hila kubwa ndani yake kuwa ni vyema uchaguzi wa ndani ya chama ufanyike mwaka mmoja kabla ya kuelekea chaguzi za kiserikali ili kupata muda wa kujiandaa na chaguzi hizo za kiserikali pia kutibu majereha yanayotokana na uchaguzi wa ndani ya Chama.

Kutokana na hali hiyo uchaguzi wa mwaka 2009 ulitangazwa kuwa ungefanyika mwaka 2008 lakini mwisho wa siku ukafanyika mwaka 2009 kwasababu ya Zitto na wa BAVICHA ulifutwa kabisa baada ya Kafulila kushinda ukafanyika miaka miwili baadae kwa hoja kuwa CHADEMA ya wakati ule ilikuwa ni vijana sasa Mbowe akiwa na Mwenyekiti wa BAVICHA wa kambi ya Zitto angeshindwa kuongoza Chama. Uchaguzi wa mwaka 2014 nao ulitangazwa kufanyika 2013 lakini Zitto alipoonyesha tena nia ya kugombea kwa hoja kuwa mwaka 2009 Wazee wa Chama walimshauri amwachie Mbowe amalizie kipindi chake cha pili, uchaguzi ule ulikuja kufanyika 2014 baada ya Zitto kuhama Chama na Timu yake kufukuzwa uanachama (Mwingamba, Prof Kitila na wengineo waliofukuzwa au kuamua kumfuata Zitto)

This time around uchaguzi ulitangazwa kufanyika mwaka huu wa 2018. Ni azimio la Mkutano Mkuu, Baraza Kuu na Kamati Kuu pia. Baada ya kutangazwa kwa uchaguzi na ratiba kutolewa kumeibuka kundi linalotaka Lissu awe Mwenyekiti wa CHADEMA. Vinaza wa kundi hilo inasemekana ni Komu na Kubenea na Wabunge wa Majimbo wenye dhamana ya Wananchi (Viti Maalum sio wengi ama hawajionyeshi kwa kuhofia nafasi zao) kama ilivyokuwa kwa Mwigamba na Prof Kitila Mkumbo. Ghafla figisu za kushughulikia mtandao wao kupitia zoezi la CHADEMA ni msingi kama kawaida linaendelea.

Katibu Mkuu amekatazwa kujihusisha kwa lolote na Kamati ya CHADEMA ni msingi inayoongozwa na Mwenyekiti mwenyewe. Yeye anapaswa kuwafacilitate tu ila report zote wanampa Mwenyekiti. Mpaka leo naamini ukimuuliza Mashinji kuhusu hii Kamati na ripoti zake hawezi kukujibu. Infact Kamati ya CHADEMA ni Msingi ni Chama ndani ya Chama, Uongozi juu ya Uongozi. Wakikukuta unampinga Mwenyekiti basi unaondolewa na wale viongozi wa CHADEMA ni Msingi ndio wanakuwa viongozi wa Chama kwenye ngazi husika. Wamefanya hivyo miaka iliyopita kwenye chaguzi zote na mwaka huu walianza na Ukonga na Segerea Waitara na Uongozi mzima wa Ukonga na Segerea wako CCM wamekimbia. Ukikimbia Mbowe anahesabu huo ni ushindi wa KO kama ingekuwa ni ndondi.

Wabunge wa majimbo wanaompinga Mwenyekiti wanapewa kila aina ya frustration ili wahame Chama kurahisisha ushindi wa Mwenyekiti na kumpisha njia. Komu na Kubenea wanajua nia hiyo ya Mwenyekiti wao maana nao miaka ya nyuma walikuwa kwenye timu za mipango na CHADEMA ni Msingi. Wao wameshaweka bayana hawahami Chama watapambana ndani ya Chama. Hawa wanamkosesha Mbowe usingizi sana.

Komu na Kubenea kama nilivyowahi kusema awali wana ushawishi mkubwa kwenye vikao vyote vya Chama kuliko Mbowe mwenyewe. Kuthibitisha hili ni maamuzi ya siku za karibuni ya Kamati Kuu na habari ya uchunguzi iliyoandikwa na gazeti la RAIA mwema. Mbowe alitaka wafukuzwe ili awe amemaliza vita yake ya madaraka. Kitendo cha Kamati Kuu kuwalinda kinaonyesha mambo mawili kwanza ni mpasuko mkubwa uliopo ndani ya Chama lakini pia ni nguvu ndogo ya Mbowe kwasasa au nguvu kubwa inayompinga ndani ya Kamati Kuu ya CHADEMA.

Busara inamtaka Mbowe kujiuzulu kwa heshima ila abaki kwenye historia ya Taifa letu. Ila kwa sisi tunaomjua akili yake na washauri wake WAJINGA kinachofuata sasa ni

1. Kuhujumu zoezi la uchaguzi ili tarehe isogezwe mbele kwa kisingizio kuwa uchaguzi wa ngazi za chini haujakamilika kwa zaidi ya 50% kama katiba ya CHADEMA inavyotaka.

2. Kuwatungia makosa mapya Komu na Kubenea ili wafukuzwe uanachama ili kurahisisha njia ya uenyekiti. Kwasababu tayari wako chini ya uangalizi na kama wataendelea na agenda yao ya kumtoa Mbowe itakuwa rahisi kuwapata na makosa mengine ya hila. Au waamue ku surrender .

Nayaandika haya ili yanapotokea tusifanywe wajinga kwa press conference na propaganda za mitandaoni.

Benson Mramba
 
Nahis huwa mnalipwa maana nyie kila siku ni kupaluana tu mbowe mbowe mbowe kila siku mbowe mbowe njoon na story nyingine japo za maendeleo tumewachoka
 
  • Thanks
Reactions: PNC
Nahis huwa mnalipwa maana nyie kila siku ni kupaluana tu mbowe mbowe mbowe kila siku mbowe mbowe njoon na story nyingine japo za maendeleo tumewachoka
Beira unakaa kumfuatilia Zuzu! We soma thread zake nenda zako.
 
Mnisamehe
Ndgu zangu
Nataka kumjua zaidi
Mwandishi wa Bandiko hili ni Jinsia gani?
Maana inachosha sana
Kila andiko lke ni yeye na Mbowe tu
Je anamtaka nini Mbowe
Mimi sio mwanasiasa ila hili linanishangaza
 
Katika chaguzi tatu mfululizo ndani ya CHADEMA (ukiwepo wa awamu hii) ambazo Mbowe amekuwa akishiri kama Mgombea wa nafasi ya Mwenyekiti, amekuwa akitumia mbinu ya kutangaza tarehe ya mapema ya uchaguzi (Mwaka mmoja kabla) ili apate fursa ya kujua nani anayetaka kugombea nafasi ya Mwenyekiti apate muda wa kumshughulikia.

Katiba ya CHADEMA inasema Mwenyekiti atakaa madarakani miaka mitano ila Mbowe amekuwa akijenga hoja inayoshawishi lakini yenye hila kubwa ndani yake kuwa ni vyema uchaguzi wa ndani ya chama ufanyike mwaka mmoja kabla ya kuelekea chaguzi za kiserikali ili kupata muda wa kujiandaa na chaguzi hizo za kiserikali pia kutibu majereha yanayotokana na uchaguzi wa ndani ya Chama.

Kutokana na hali hiyo uchaguzi wa mwaka 2009 ulitangazwa kuwa ungefanyika mwaka 2008 lakini mwisho wa siku ukafanyika mwaka 2009 kwasababu ya Zitto na wa BAVICHA ulifutwa kabisa baada ya Kafulila kushinda ukafanyika miaka miwili baadae kwa hoja kuwa CHADEMA ya wakati ule ilikuwa ni vijana sasa Mbowe akiwa na Mwenyekiti wa BAVICHA wa kambi ya Zitto angeshindwa kuongoza Chama. Uchaguzi wa mwaka 2014 nao ulitangazwa kufanyika 2013 lakini Zitto alipoonyesha tena nia ya kugombea kwa hoja kuwa mwaka 2009 Wazee wa Chama walimshauri amwachie Mbowe amalizie kipindi chake cha pili, uchaguzi ule ulikuja kufanyika 2014 baada ya Zitto kuhama Chama na Timu yake kufukuzwa uanachama (Mwingamba, Prof Kitila na wengineo waliofukuzwa au kuamua kumfuata Zitto)

This time around uchaguzi ulitangazwa kufanyika mwaka huu wa 2018. Ni azimio la Mkutano Mkuu, Baraza Kuu na Kamati Kuu pia. Baada ya kutangazwa kwa uchaguzi na ratiba kutolewa kumeibuka kundi linalotaka Lissu awe Mwenyekiti wa CHADEMA. Vinaza wa kundi hilo inasemekana ni Komu na Kubenea na Wabunge wa Majimbo wenye dhamana ya Wananchi (Viti Maalum sio wengi ama hawajionyeshi kwa kuhofia nafasi zao) kama ilivyokuwa kwa Mwigamba na Prof Kitila Mkumbo. Ghafla figisu za kushughulikia mtandao wao kupitia zoezi la CHADEMA ni msingi kama kawaida linaendelea.

Katibu Mkuu amekatazwa kujihusisha kwa lolote na Kamati ya CHADEMA ni msingi inayoongozwa na Mwenyekiti mwenyewe. Yeye anapaswa kuwafacilitate tu ila report zote wanampa Mwenyekiti. Mpaka leo naamini ukimuuliza Mashinji kuhusu hii Kamati na ripoti zake hawezi kukujibu. Infact Kamati ya CHADEMA ni Msingi ni Chama ndani ya Chama, Uongozi juu ya Uongozi. Wakikukuta unampinga Mwenyekiti basi unaondolewa na wale viongozi wa CHADEMA ni Msingi ndio wanakuwa viongozi wa Chama kwenye ngazi husika. Wamefanya hivyo miaka iliyopita kwenye chaguzi zote na mwaka huu walianza na Ukonga na Segerea Waitara na Uongozi mzima wa Ukonga na Segerea wako CCM wamekimbia. Ukikimbia Mbowe anahesabu huo ni ushindi wa KO kama ingekuwa ni ndondi.

Wabunge wa majimbo wanaompinga Mwenyekiti wanapewa kila aina ya frustration ili wahame Chama kurahisisha ushindi wa Mwenyekiti na kumpisha njia. Komu na Kubenea wanajua nia hiyo ya Mwenyekiti wao maana nao miaka ya nyuma walikuwa kwenye timu za mipango na CHADEMA ni Msingi. Wao wameshaweka bayana hawahami Chama watapambana ndani ya Chama. Hawa wanamkosesha Mbowe usingizi sana.

Komu na Kubenea kama nilivyowahi kusema awali wana ushawishi mkubwa kwenye vikao vyote vya Chama kuliko Mbowe mwenyewe. Kuthibitisha hili ni maamuzi ya siku za karibuni ya Kamati Kuu na habari ya uchunguzi iliyoandikwa na gazeti la RAIA mwema. Mbowe alitaka wafukuzwe ili awe amemaliza vita yake ya madaraka. Kitendo cha Kamati Kuu kuwalinda kinaonyesha mambo mawili kwanza ni mpasuko mkubwa uliopo ndani ya Chama lakini pia ni nguvu ndogo ya Mbowe kwasasa au nguvu kubwa inayompinga ndani ya Kamati Kuu ya CHADEMA.

Busara inamtaka Mbowe kujiuzulu kwa heshima ila abaki kwenye historia ya Taifa letu. Ila kwa sisi tunaomjua akili yake na washauri wake WAJINGA kinachofuata sasa ni
1. Kuhujumu zoezi la uchaguzi ili tarehe isogezwe mbele kwa kisingizio kuwa uchaguzi wa ngazi za chini haujakamilika kwa zaidi ya 50% kama katiba ya CHADEMA inavyotaka.

2. Kuwatungia makosa mapya Komu na Kubenea ili wafukuzwe uanachama ili kurahisisha njia ya uenyekiti. Kwasababu tayari wako chini ya uangalizi na kama wataendelea na agenda yao ya kumtoa Mbowe itakuwa rahisi kuwapata na makosa mengine ya hila. Au waamue ku surrender .

Nayaandika haya ili yanapotokea tusifanywe wajinga kwa press conference na propaganda za mitandaoni.

Benson Mramba
Kijana unaonyesha unashindana na Musiba wa Tanzanite kutafuta kutambulika kama Mjinga nambari one Kitaifa. Tabiahii ya kwako haitofautiani na wale mabinti Wema Sepetu au Amber rutt1 ya kufanya jambo la uchafu hadharani ukujua ni uchafu lakini lengo ni watu wakuone
 
Hivi ni nani ambaye hutangaza tarehe ya uchaguzi Chadema? Naomba ujibu swali hili kama mtu mwenye akili timamu halafu tuendelee...
 
Tunaochangia thread zake ndio tunampa kichwa, ebu tufanye mengine tumpuuze kuanzia leo!!
 
Huyu ni wa kumpuuza. Amen
 
Sawa zuzu tumekusikia. We kila mada Mbowe, Mbowe, Mbowe... Huna cha kuandika kingine zaidi ya Mbowe. Nahisi una stress za maisha, unaishi maisha magumu sana, kijana, pesa ya kula huna, unategemea teuzi na Jiwe kafunga vioo. Umekaa kumtaja Mbowe ili wakuone hahahahaaa fanya kazi bwana mdogo acha upuuzi
 
Back
Top Bottom