Baada ya Azam TV Kuingia mkataba na TFF Wa Miaka 10, naona wamepandisha Bei za vifurushi vyao

kazi iendelee.... tuupige mpaka utoke nje ya uwanja ...nikuupiga tu .
 
Kuna mijitu inajibu Kama Haina akili
Basi kalipie uwe miongoni mwa wasimuliaji wetu wa matukio uliyoyaona live. Sisi akina Mitomingi saizi tupo tunapukuta redio zetu zilizokuwa zimekoga vumbi kwa kutelekezwa😂😂😂
 
So Kisa ni bizinezi za Watu basi wasiwe regulated? Sasa ni Wakati upi mlaji anakuwa secured na Serikali?
Kila sekta ina utaratibu wake, kwenye sekta ya mawasiliano, TCRA, kwenye pay tv, hana mamlaka ya kumpangia mtoa huduma bei, ndio maana huwezi sikia eti dstv, anaambiwa shusha bei, kama ni zile local channels sawa, ndio maana ziko bure, lakini hizo kama za azamu za michezo serikali haiwezi kumpangia bei, kwani na yeye hizo haki anazinunua pia, bali ni soko ndio litamuongoza, ukiona itv, startv, chanel 10, eatv, umelipishwa piga kelele unaibiwa, lakini huko kwingine huna haki hiyo!!!
 
Hiyo elfu 5 iliyoongezeka itakuwa ni tozo ya serikali

Watuwekee mchangunuo wa malipo ili tujue tunachangia shs katika serikali yetu pendwa
 
Safi Sana wapenda mpira hua Ni Kama misukule sometimes hata uwafanye nini watalipia tu.

Azam wafanye tsh.50,000 kwa kifurushi Cha Bei ya chini.
 
Tunapokwenda hata mtu akijikwaa njiani atamlaumu Rais! Kama huna uwezo wa kumiliki king'amuzi cha azam na kulipia si nenda kibandani!
 
Chief hangaya
IMG-20211001-WA0013.jpg
 
Back
Top Bottom