Ligi ya NBC kwenye TV3 kivip wakati Mkataba ni wa Azam TV

Jojo123

JF-Expert Member
Jan 31, 2013
432
694
Wana Jamii

Kuna hawa jamaa wa Startimes wanatu tangazia kuwa tu lipie kifurushi cha Mambo cha 17,000/= ili kupata TV3 inayo onyesha Ligi ya NBC ambayo mimi nijuavyo Azam TV ndio wenye mkataba wa kurusha.. sasa Nashindwa kujua.. Tunaingizwa mkenge ili kulipia vifurushi aua hii TV3 watarusha Ligi nzima kweli?

Je kuna mabadiliko ya ule mktaba wa Azam wa kurusha wao tu.. au Startimes wana tutega tulipie vifurushi?
 
Screenshot_20230922-193730~2.jpg

wakikupa majibu ulete mrejesho usikute wanataka kupiga watu.
 
Wana Jamii..
Kuna hawa jamaa wa Startimes wanatu tangazia kuwa tu lipie kifurushi cha Mambo cha 17,000/= ili kupata TV3 inayo onyesha Ligi ya NBC ambayo mm nijuavyo Azam Tv ndio wenye mkataba wa kurusha.. sasa Nashindwa kujua.. Tunaingizwa mkenge ili kulipia vifurushi aua hii TV3 watarusha Ligi nzima kweli??

Je kuna mabadiliko ya ule mktaba wa Azam wa kurusha wao tu.. au Startimes wana tutega tulipie vifurushi?
Ni NBC CHAMPIONSHIP NA SIO PREMIER LEAGUE
 
Embu tu fafanulie Champion ship Vs Premier ligi..
Maana wwngine hatufuatilii sana ndio tuna taka tuanze kufuatilia ligi ukubwani..

Je hizo za champion ship.. Simba n Yanga zipo au ni timu za daraja la chin tu??
Championship hapo nyuma ilikuwa ikifahamika kama ligi daraja la kwanza. Inahusisha timu za madaraja ya chini. Timu tatu toka huko zinapanda ligi kuu yaani nbc premier league
 
Embu tu fafanulie Champion ship Vs Premier ligi..
Maana wwngine hatufuatilii sana ndio tuna taka tuanze kufuatilia ligi ukubwani..

Je hizo za champion ship.. Simba n Yanga zipo au ni timu za daraja la chin tu??
Huko ni shule ya msingi wapo akina mbao, stand, ruvu shouting wanapambana kwenda sekondari.
 
Back
Top Bottom