B test ya Afroit tech Suite

Kilongwe

JF-Expert Member
Feb 7, 2008
423
115
Baada ya kupotea kwa muda mrefu leo nimerudii na habari njema,kama tulivyowaahidi kuwa tutailauch Afroit Tech Suite kwa test ya kwanza leo hivyo nimekuja kuwataariofu hilo.
unaweza kuitest HAPA

Muhimu
1.Tuna siku kumi za majaribio ili kuangalia ufanyaji kazi,mpangilio wa makundi,ubora wa materials nk
2.Tumetumia testing url(http://made.com.idc027.cn/) ili kuepuka kuwachanganya watumiaji ambao bado wanatumia forums(http://www.afroit.com)

2.Links na categories zote zinatakiwa ziwe zinafanya kazi,hivyo kama sio basi ni bug

Michango
1.Kwakuwa hii ni testing phase,tunategemea tutapata feedback toka kwenu,feedback either ni ufanyaji kazi usioridhisha,matatizo madogomadogo,errors, uboreshaji,(Tungependa watu muichimbe kadri muwezavyo kwani mara nyingi watu wa nje huweza kung'amua makosa zaidi ya aliye ndani)

2.Lengo la kuiweka online kabla ya final release ni kupata maoni na michango yenu juu ya nini kibadilishwe,nini kiongezwe na wapi tuendeleze,kumbuka Open source nyingi huwa zinakuwa powerful kutokana na uwezo wa watu kuchangia mawazo hivyo basi nasi tujumuike katika kuchangia mawazo ili kujenga Jamii Imara ya ICT hapa nyumbani

3.bado tunakaribisha watu ambao kwa njia moja au nyingiine wangependa kushirikiana nasi,

Mwisho napenda kutanguliza shukran kwa wadau wote,toka pande mbalimbali za dunia ambao walipoteza muda wao,kuna wakati hadi saa za asubuhi ili kuhakikisha Afroit inakuwa hewani

Kilongwe-Afroit Admin
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom