AZSKY G6 rise of the fallen and Qsat come back

munjy1

JF-Expert Member
Mar 30, 2012
564
139
Nachukuwa nafasi hii kuintroduce Website yangu mpya pata habari muhimu kuhusiana na azsky na qsat na huduma nyengine zinazohusiana na donggles na Mpeg4 decoders
http://www.munjy1.com/habari-muhimu.html

sitajibu comment yeyote
 
Attachments

  • munjweb.jpg
    munjweb.jpg
    101.5 KB · Views: 114
Nachukuwa nafasi hii kuintroduce Website yangu mpya pata habari muhimu kuhusiana na azsky na qsat na huduma nyengine zinazohusiana na donggles na Mpeg4 decoders
http://www.munjy1.com/habari-muhimu.html

sitajibu comment yeyote

ndio tabia za kitapeli hizo.. waoga wa maswali siku zote
 
kwa kweli sijataka kucomment ili watu wapige simu kwa maelezo zaidi watakapo shindwa kuelewa nilichoandika katika website yangu, ila leo naomba JF inisamehe kwa sababu nitakwita jina MPUMBAVU kwa makusudi na kukutukana hadharani na sio kwa bahati mbaya, wewe ndio wale niliokuwa nikiwatafutia sababu tu ili na mimi nijulikane kama najuwa kutukana na sio kukubali kutukanwa tu na mtu mjinga na mpumbavu kama wewe, nyinyi ndio wale mliokuwa mkisema kuwa nimewatapeli na nikapandisha bei za account za azsky G6, sasa Account zinauzwa na wauzaji wa Tanzania tsh 40,000-50,000 kwa miezi 6 mimi nimeamua kuuza tsh 25,000 kwa sababu duniani kuna watu wajinga kama wewe ambao mumezoea kutukana watu bila ya sababu, bei 25,000 miezi 7 na MBWA wewe sijaona hata sms yako kuwa unataka account. BARADHULI WA KIUME.
Na naongezea zaidi hata ukitaka nikupe Bureee account nitafute kwa njia simu WALLAHI nitakupa BUREEEEE mbwa mkubwa we. Ila sisi PUNDA shukurani zetu ni mateke, PUNDA MKUBWA WE.
 
MKUU UTAWEZAJE KUZIUZA BIDHAA HIZI NA MITUSI HII ULIYOMWAGA?? OK NGOJA TUTAYASIKIA YA KUTOSHA TOKA KWA Ur POTENTIAL CUSTOMERS
 
Tofuta post za nyuma uone yeye na wezake wawili walivyokuwa wakitukana. Then utajua kwa nini nimeshindwa kuwastahamilia mara hii na niliiweka hii post kwa lengo la kuwatafutia hawa watu sababu ya kuja kulipiza kisasi maana mie niliwaambia kuwa Qsat haitakata kombe la dunia na azsky hautamaliza 2014 itarudi hewani sasa wao bado ni watukanaji. Yaani kama Tz kama ina watu wa aina kama hii 10 tu ndani ya bunhe basi ni vita na ngumi kila siku. Huyu jamaa ni mjinga sana i wish unhekuwepo mwanzo wa game ukaona ujinga wake.
 
Back
Top Bottom