uttoh2002
JF-Expert Member
- Feb 3, 2012
- 14,851
- 26,936
Hivi umesoma mada umeilewa au unaleta unaaa??
Unajua wakati mwingine unaweza kuwa mjinga na haujui hilo, umewahi kufanya Biashara? Azam media ina miaka mingi sana Tanzania, na sasa ni brand inayoelewa, sasa:
1. Unajua Kenya imeanza lini?
2. Unajua Uganda imeanza lini?
3. Unajua taratibu za kodi za Uganda?
4. Unajua tararibu za kodi za Kenya?
5. Unanua strategy za kuingia kwenye soko?
Inawezekana kabisa Azam anauza kwa hasara Kenya na Uganda ili kuliteka soko, unataka na Tanzania afanye kwa Hasara?