Azam TV wanatuuzia vifurushi (package) bei ghali ukilinganisha na majirani zetu

Hivi umesoma mada umeilewa au unaleta unaaa??

Unajua wakati mwingine unaweza kuwa mjinga na haujui hilo, umewahi kufanya Biashara? Azam media ina miaka mingi sana Tanzania, na sasa ni brand inayoelewa, sasa:

1. Unajua Kenya imeanza lini?
2. Unajua Uganda imeanza lini?
3. Unajua taratibu za kodi za Uganda?
4. Unajua tararibu za kodi za Kenya?
5. Unanua strategy za kuingia kwenye soko?

Inawezekana kabisa Azam anauza kwa hasara Kenya na Uganda ili kuliteka soko, unataka na Tanzania afanye kwa Hasara?
 
Wewe ni mwerevu saana but you cant master everything!! Rudi juu kasome bandiko langu na nimeweka evidence!! Kama tatizo ni kodi, wateja tuambiwe!! Kama tatizo ni kukomaa kwa bihashara tujue!! Kwanini tusiwekane wazi??
Almost 90% ya channel za azamtv.co.tz ni free to air!! Kwanini tulipe 35,000?? Kwanini? Wakati kuna channel zinamlipa Azamtv.co.tz kustreem channel zao??
Does it make sense atuumize sisi wateja wake then aende kuwafurahisha vilabu vya mpira kwa kuvipa bonus kila mwezi na mwisho wa legue?? Nani aliwaambia kila mtumiaji wa azamtv.co.tz ni shabiki mandazi wa Yanga na Simba??

Azamtv.co.tz PUNGUZENI BEI YA VIFURUSHI

NB: Mod aliyepeleka uzi wangu kwenye jukwaa la michezo naomba hautoe haraka!! Hii mada haiusiani na michezo!!

Cc
JamiiForums
Paw
Wand
Active
Fang
Cookie
Maxence Melo

Naomba mtoe uzi huu kwenye jukwaa la michezo
 
Mod sometimes huwa ni vichwa maji sana. Sasa huu uzi unahusu malipo ya Azam Tv wanaupeleka kwenye michezo.
 
Wewe ni mwerevu saana but you cant master everything!! Rudi juu kasome bandiko langu na nimeweka evidence!! Kama tatizo ni kodi, wateja tuambiwe!! Kama tatizo ni kukomaa kwa bihashara tujue!! Kwanini tusiwekane wazi??
Almost 90% ya channel za azamtv.co.tz ni free to air!! Kwanini tulipe 35,000?? Kwanini? Wakati kuna channel zinamlipa Azamtv.co.tz kustreem channel zao??
Does it make sense atuumize sisi wateja wake then aende kuwafurahisha vilabu vya mpira kwa kuvipa bonus kila mwezi na mwisho wa legue?? Nani aliwaambia kila mtumiaji wa azamtv.co.tz ni shabiki mandazi wa Yanga na Simba??

Azamtv.co.tz PUNGUZENI BEI YA VIFURUSHI

NB: Mod aliyepeleka uzi wangu kwenye jukwaa la michezo naomba hautoe haraka!! Hii mada haiusiani na michezo!!

Cc
JamiiForums
Paw
Wand
Active
Fang
Cookie
Maxence Melo

Naomba mtoe uzi huu kwenye jukwaa la michezo

Bei za Azam in relation to Service wanayotoa is actually cheap, kama kwamo ni kubwa switch to alternatives, unataka nani akuitie press conference kukuelezea kuhusu bei? Rubbish kabisa.
 
Tumia akili yao vizuri vinginevyo watoto wako watajuta kua na mama kama wewe,mleta uzi kawasilisha malalamiko yake kwa Azam ambae ni mteja wao wewe unataka aachane nao tena,ajabu sana hii

Sent from my Infinix X650B using JamiiForums mobile app
 
Hoja yangu umeielewa au ndo mvurugano wa DP World??
Nimekuelewa mkuu na acha kulalama, kama Azam TV wanakuzingua hamia DSTV!,sio vema kuja humu na kuharibu brand zilizojengwa bila ya cent moja yako, lalama kuhusu TBC hao ndio wanakula tax yako, jiulize why management ya Azam iliruhusu Yanga watumie uwanja wao kwa friendly game wakati within 5 days walitakiwa wacheze na Azam FC kwenye uwanja huo huo?ni business mkuu
 
Tumia akili yao vizuri vinginevyo watoto wako watajuta kua na mama kama wewe,mleta uzi kawasilisha malalamiko yake kwa Azam ambae ni mteja wao wewe unataka aachane nao tena,ajabu sana hii

Sent from my Infinix X650B using JamiiForums mobile app
Kizazi cha kulalama, Azam TV wakikuzingua nenda kwa service providers wengine, acha kulalama kwa kitu ambacho unaweza ku push back, chukua pesa yako peleka sehemu utakayo feel the value of your money
 
Bei za Azam in relation to Service wanayotoa is actually cheap, kama kwamo ni kubwa switch to alternatives, unataka nani akuitie press conference kukuelezea kuhusu bei? Rubbish kabisa.
Tumia akili yao vizuri vinginevyo watoto wako watajuta kua na mama kama wewe,mleta uzi kawasilisha malalamiko yake kwa Azam ambae ni mteja wao wewe unataka aachane nao tena,ajabu sana hii

Sent from my Infinix X650B using JamiiForums mobile app
Kusoma hajui na picha haoni!! Kuna kosa gani mteja kumlalamikia mtoa huduma?? Anatumia nguvu nyingi kuninyamazisha lakini hana hoja!!
 
Uhitaji (Demand) wa Azam Tv hapa Tanzania ni mkubwa zaidi kuliko hizo nchi nyingine ndio maana ni bei sana hapa kwetu,

1. Azam Tv ina channel nyingi za kitanzania, huku kwetu utabadili channel kwa raha zako, ni tofauti na Kenya na Uganda unakuta channel za nchi zao ipo moja au mbili tu.

2. Mpira wa Tanzania una fatiliwa sana, kuna watu wamelipia azam kwajili ya mpira tu, huko nchi nyingine hata vibanda vya kuonyeshea mpira hawanaga habari na ligi zao wanaonyesha mpira wa ulaya tu.

3. Azam kawekeza zaidi Tanzania, ni mamia ya mabilioni yamewekezwa, hii ligi ya mpira tu azam kaweka bilioni 250 na kila timu unayoiona kwenye ligi kuu inapewa milioni 50 kila mwezi ndio mana huwezi kusikia sikuhizi team imekosa usafiri au malazi, hizi channels za kiswahili zumewekewa mabilioni kwajili ya mishahara, camera, usafiri, kutafsiri muvi, n.k.

Bei zipo fair kabisa wala tusilalamike,
Unadhani huko uganda na kenya nao wanaangalia UTV na machaneli utitiri ya kibongo??
Huko hukuti channels nyingi za bongo wanaweka za huko kwao.

Hiyo point yako ya kwanza si kweli.

Na unadhani hizi 25k zetu ndo zinatoa hizo M50 kwa kila timu na hayo mazaga mengine?? Haiko hivyo ndgu.

Na wewe mteja pima bei ya huduma na huduma unayopat kama vinarandana. Mambo ya kuidhamini ligi na kulipa wafanyakazi wake wewe mteja inakuhusu nini? Faida ikipatikana anakupa!??
Hii ni biashara mkuu.
 
Nimekuelewa mkuu na acha kulalama, kama Azam TV wanakuzingua hamia DSTV!,sio vema kuja humu na kuharibu brand zilizojengwa bila ya cent moja yako, lalama kuhusu TBC hao ndio wanakula tax yako, jiulize why management ya Azam iliruhusu Yanga watumie uwanja wao kwa friendly game wakati within 5 days walitakiwa wacheze na Azam FC kwenye uwanja huo huo?ni business mkuu
Mbona unatoa mifano isiyoendana na mada??? Sasa friendly match ya yanga inahusika vipi na subscription za Azam Tv?? Au ndo yule mods aliyehamisha uzi wangu? Pathetic
 
Kizazi cha kulalama, Azam TV wakikuzingua nenda kwa service providers wengine, acha kulalama kwa kitu ambacho unaweza ku push back, chukua pesa yako peleka sehemu utakayo feel the value of your money
🪣🪣🪣🪣🪣🪣🪣
 
Unadhani huko uganda na kenya nao wanaangalia UTV na machaneli utitiri ya kibongo??
Huko hukuti channels nyingi za bongo wanaweka za huko kwao.

Hiyo point yako ya kwanza si kweli.

Na unadhani hizi 25k zetu ndo zinatoa hizo M50 kwa kila timu na hayo mazaga mengine?? Haiko hivyo ndgu.

Na wewe mteja pima bei ya huduma na huduma unayopat kama vinarandana. Mambo ya kuidhamini ligi na kulipa wafanyakazi wake wewe mteja inakuhusu nini? Faida ikipatikana anakupa!??
Hii ni biashara mkuu.
Hawa ni wale wanaleta ushabiki wa mpira kwenye huduma ya Tv!! Kisa ni shabiki wa Rambaramba fc thou kila kitu cha Azam anatetea
 
Ndo ivo mkuu, analeta huruma wakati yeye anaumia.
Ajabu zaidi anamuonea huruma tajiri mwenye utitiri wa uwekezaji nchi kibao.
 
Back
Top Bottom