Avatar ya The Boss

im glad i am nt u! yaani mumeo looks like this?
u shld start a modeling co,lol!
muulize the boss pm box yake, kila siku ina-jam,hehehe
Kwako ze boss, Natumaini umzima na unajiandaa vema na weekend! Isingekuwa mbaya kama ningekualika futari siku moja tukiwa na familia yangu pamoja na mme wangu mpendwa! Nia hasa ya message hii naomba uirudishe avatar yako ya zamani kabla ya hii ya sasa, maana kila nikiiona nahisi nimemuona mme wangu mpendwa! Good day na Ramadhan Kareem. Jamani msiniparamie mtatengua swaumu yangu bure nimefunga mie
 
katika vitu ambavyo sifikirii kufanya katika maisha yangu yote ni kubadili avatar yangu. labda Mods waichoke, siku hiyo ndo mwisho wa kuwa member JF, teh teh teh teh teh teh..
 
im glad i am nt u! yaani mumeo looks like this?
u shld start a modeling co,lol!
muulize the boss pm box yake, kila siku ina-jam,hehehe
Hivi king'asti inakuwaje mtu ana fall na avatar ya mtu? je huyo mtu akiamua kumpenda wakakutana akawa kiktu cha ajabu anafanyaje kwa mfano,au ndio mambo ya kuweka mfano wa picha? hahaaaaahaha
 
wonders will never cease, sweetheart! kama mtu anaweza kudondokea namba tu ya simu na kung'ang'ana kuonana! there ar freaks out there,lol

Hivi king'asti inakuwaje mtu ana fall na avatar ya mtu? je huyo mtu akiamua kumpenda wakakutana akawa kiktu cha ajabu anafanyaje kwa mfano,au ndio mambo ya kuweka mfano wa picha? hahaaaaahaha
 
mie napendaga comments zake,sio avatar......avatar hata akiweka ya kizee bado comments zake zitanizuzua!
 
Hivi king'asti inakuwaje mtu ana fall na avatar ya mtu? je huyo mtu akiamua kumpenda wakakutana akawa kiktu cha ajabu anafanyaje kwa mfano,au ndio mambo ya kuweka mfano wa picha? hahaaaaahaha

Shantell nilikuwa najizuia tu......hiyo avatar yako makes my heart singing........
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom