Avatar ya The Boss

laussane

JF-Expert Member
Oct 8, 2009
255
131
Kwako ze boss, Natumaini umzima na unajiandaa vema na weekend! Isingekuwa mbaya kama ningekualika futari siku moja tukiwa na familia yangu pamoja na mme wangu mpendwa! Nia hasa ya message hii naomba uirudishe avatar yako ya zamani kabla ya hii ya sasa, maana kila nikiiona nahisi nimemuona mme wangu mpendwa! Good day na Ramadhan Kareem. Jamani msiniparamie mtatengua swaumu yangu bure nimefunga mie
 
<br />
<br />
uko swaumu huku unatamani waume za watu? Hahahahaaa! So amuzing
 
Mbona ni mtu yule yule sasa? Denzel Washington. Avatar ya mwanzo alikua kijana, hii ya sasa kidogo amekua senior ila ni sawa uanze kupata picha ya mumeo atakavyo kua in 10 to 15 years to come.
 
Sijawai kuona uko katika positive way always uko negative seems counseling issue inahitajika haraka hapa

Utakuwa umekosa cha kufanya mpaka unafikilia AVATAR?

are you jobless, widow or umeachika???
 
sio kila kichaka lazima unye,vingine unapigia picha tu.Nakushauri ukamweleze na mmeo juu ya hii observation yako.

Mkulu mr anafanana sana na ile avatar ya mwanzo ata alipoiona kw mara ya kwanza he was like aaah wat baada ya kuitafakuri kw makini ndio akagundua si yeye ila wanafanana sana
 
IMO Avatar ya saizi ya Boss ni nzuri kuliko ya mwanzo (mo' HB in an elderly way...)
BUT naona ya kwanza inaendana saana na the name The Boss... ile pose, ile kofia,
na ile minimal swagger... as if the world can not go round akiamua...lol... Na as if he
does not give a damn of what is happening....

Hii ya saizi kweli asipobadilisha he will have to live up to his new image - for anaonekana
sasa he gives a damn, and very responsible.... hivo not a married bachelor any mo'
 
AshaDii uwapi wewe jamani, ebu kula thanks kwanza then uji wa muhogo saa moja kasoro

IMO Avatar ya saizi ya Boss ni nzuri kuliko ya mwanzo (mo' HB in an elderly way...)
BUT naona ya kwanza inaendana saana na the name The Boss... ile pose, ile kofia,
na ile minimal swagger... as if the world can not go round akiamua...lol... Na as if he
does not give a damn of what is happening....

Hii ya saizi kweli asipobadilisha he will have to live up to his new image - for anaonekana
sasa he gives a damn, and very responsible.... hivo not a married bachelor any mo'
 
PM for further details...lol... sikataagi mwaliko hasa kama Ramdhani
hata ndege nitapanda...

Nitakupm lakini nahisi km AshaDii wa London vileeee nimeotea hapo uwongo uwongo!!!!!!!!! nakupunguzia gharama nitakutumia nusu kilo ya unga wa muhogo, ukwaju na pilipili mtama sawa mamy
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom