Aunt Ezekiel na Kanumba katika love scene

Afadhali anatizamika ,sema matiti tayari yamesha Tepwereka kwa kushikwa shikwa ,mkono wa mwanamume ni kama sumu unaposhika shika matiti ni lazima yatanguka kama yanavyonekana ya huyo izekel
 
Ndugu yangu hii ni kazi kama zilivyo kazi nyingine mfano, ualimu, karani, nesi na soldier n.k kama mkeo akitaka kumegwa atamegwa tuu "mahali popote sio lazima kwa kazi"! Ila kama anajua yupo kazini na yupo komited kwako sidhani kama tajaribu kufanya upuuzi huu.
 
Na huyu Aunty jina lake halimruhusu hata kuigiza upuuzi wa namna hii hata kama anatafuta pesa.Mnajua anaitwa GWANTWA maana ya jina hili halifanani kabisa na hii tabia.

Na inaonyesha anapenda sana sehemu hizi maana hata uvaaji wake Mmh!
 
Na huyu Aunty jina lake halimruhusu hata kuigiza upuuzi wa namna hii hata kama anatafuta pesa.Mnajua anaitwa GWANTWA maana ya jina hili halifanani kabisa na hii tabia.

Na inaonyesha anapenda sana sehemu hizi maana hata uvaaji wake Mmh!
maana ya GWANTWA ni nini Kizito
 
Sihaba !! Vutu Kajaliwa la kukata kwa shoka ,Upewe nini tena Kanumba?mkaa na maiti hawachi kulia lia.







 
Hii imekaaje wakuu?? Hapa wanapiga picha ya kava la filamu ya Young Billionaires

Picture_ 005.jpg
 
huyo ndio yule indian anaependa madafu au? hhahha mfunyukuzi kumbe wewe ni paparazi ?
 
aloongelea matiti yamelala hajakosea! kulikoni bi dada!.....hapa ilikuwa ufanye kaa wanavyofanya wenzio wa ulaya, wanavaa hizo swim suit zenye kwapa fupi. kwa hiyo matiti yanavutwa juu yakitaka yasitake ....HOLLA!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom