Aunt Ezekiel na Kanumba katika love scene

Lucchese DeCavalcante

JF-Expert Member
Jan 10, 2009
5,471
733
Hizi ni baadhi ya love scene za THIS IS IT movie ambayo itatoka soon
leo-9.jpg
leo-6.jpg
leo-4.jpg

Mhh scene zingine zinatia kishawishi sana

This is it?!
yaani tunashindwa kubuni hata jina mpaka tuige!!! aggggr
 
Wakimaliza kuigiza hapa, wanaanza kufanyana kweli., hivi hali kama hii, mke wako unaweza kumkubalia awe muigizaji?
 
hiyo ya 3 kifua kumbe ni kandambili? kweli jeki zinasaidia!
 
Hiyo ya mwisho mh? Alikuwa anataka kumpaka sun lotion nini? upaja huooo! Huyu binti naye atakuja kuporomoka fasta walikuwepo wakina Nora, Sinta, Johari na wengine wapii bana
 
Hiyo ya mwisho mh? Alikuwa anataka kumpaka sun lotion nini? upaja huooo! Huyu binti naye atakuja kuporomoka fasta walikuwepo wakina Nora, Sinta, Johari na wengine wapii bana

hivi wapogo wapi hao jamani, nilikuwa nawapenda kweli...
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom