Ziada Mwana
JF-Expert Member
- May 20, 2011
- 201
- 22
Hiyo kura moja ingefanya nini?
kwani kura mbili zilianza na ngapi?
Hiyo kura moja ingefanya nini?
Si nimeweka source hapo? ifuatilie uisome
binafsi nime msikia akisema "HAPANA" fuatilia hansard za bunge jana, acheni uzushi....eti mmesha mpa na sababu kisa posho,kwa nini msi muulize? achanei uhuni wa kuandika andika tu
Sosi ya gazeti na sosi ya kuona live ipi tuiaminiiii
hata hiyo ya gazeti iliona live. kumbe hizi sosi munazikubali pale tu zinapokuwa upande wenu,zikiwaponda munazikana kuwa si sosi.
Ki ukweli Mrema hakupiga kura, mimi niliangalia live, wakati kura zinataka kuanza kuhesabiwa Mrema akatoka nje, tena Spika akasema waheshimiwa msitoke nje tunataka kupiga kura lakini still alitoka, na akamulikwa hadi anafungua mlango na kutoka nje
Kwanza mtu mwenyewe mnayejadiliana naye ndio walewale kundi la Nape, wamefungulishwa account JF kwa lazima na Nape ili walete hoja za kipuuzi kulishushia heshima jamvi, lakini tumekushtukia na watu wameishakupiga source za uhakika mwanaizaya mkubwa weee.
We mkubwa mzima utatumiwaje na Nape kutuletea vihoja visivyo na kichwa wala miguu. Hakuna uhusiano kati ya Mrema au mbunge mwingine kukataa bajeti na posho za wabunge. Mfano wabunge wote wa CUF wamejiweka pembeni na mjadala wa posho lakini bajeti waliipinga. Na hata Mrema kupinga bajeti haimaanishi anaunga mkono wabunge kuacha kutuibia kodi zetu kwa posho za vikao. Sisi tunaokatwa kodi katika mshahara kwa mwezi inayolingana na posho ya wabunge 15 tunaumia tunataka hizo hela zikajenge barabara na hospitali na sio zitumike kuwapa ombaomba pale nje ya mjengo kama alivyosema baba yako Pinda. nape kasomea ngumbaru ndio maana amekudanganya ujiunge JF kuleta vurugu nawe ukakubali. Sera yenu ya Magamba ya kujikomba ili ikombolewe itafikia mwisho tu where kila mtu atatakiwa kuishi kwa jasho lake na kipato cha halali.kumbe wewe ulifikiri Nape hana watu? na heshima gani inayoshushwa kwa kuwa pamoja na nape? unataka jamvi lijadili mambo ya upande mmoja tu? nini basi maana ya majadiliano? pole sana. Nape ana nguvu.
Ki ukweli Mrema hakupiga kura, mimi niliangalia live, wakati kura zinataka kuanza kuhesabiwa Mrema akatoka nje, tena Spika akasema waheshimiwa msitoke nje tunataka kupiga kura lakini still alitoka, na akamulikwa hadi anafungua mlango na kutoka nje
aaaaah.....ziada....unanihusisha na upande wangu???????mbona mimi sina upande nachokijua jana alipiga kura kumbe wewe hukuangalia live......mimi sina upande nachojua as iam nina upande wa kulia na kushoto kwangu......acha mawazo mkorogo
we mkubwa mzima utatumiwaje na nape kutuletea vihoja visivyo na kichwa wala miguu. Hakuna uhusiano kati ya mrema au mbunge mwingine kukataa bajeti na posho za wabunge. Mfano wabunge wote wa cuf wamejiweka pembeni na mjadala wa posho lakini bajeti waliipinga. Na hata mrema kupinga bajeti haimaanishi anaunga mkono wabunge kuacha kutuibia kodi zetu kwa posho za vikao. Sisi tunaokatwa kodi katika mshahara kwa mwezi inayolingana na posho ya wabunge 15 tunaumia tunataka hizo hela zikajenge barabara na hospitali na sio zitumike kuwapa ombaomba pale nje ya mjengo kama alivyosema baba yako pinda. nape kasomea ngumbaru ndio maana amekudanganya ujiunge jf kuleta vurugu nawe ukakubali. sera yenu ya magamba ya kujikomba ili ikombolewe itafikia mwisho tu where kila mtu atatakiwa kuishi kwa jasho lake na kipato cha halali.
mleta mada ndiyo wale viwavi wa nape ambao baada ya kushindwa kuietetea ccm na kuibomoa cdm sasa wamebadili mbinu ya mashambulizi kwa kuleta ubishi usio na mashiko na hoja za kipuuzi ili hatimaye ionekane kuwa jf ni jukwaa la kipuuzi, na kiasi wanaanza kufanikiwa kwani hivi sasa watu wengi wanaanza kukosa mvuto na jukwaa hili kwani kutwa nzima utakuta thread za kitoto kabisa.
Hata mimi nilishuhudia. Aliitwa yeye kwanza akasema "Hapana".Akafuata Zitto na wengine....wewe na wenzako ni waongo wakubwa. Mrema alipiga kura ya hapana wala hakutoka ukumbini