Augustine Lyatonga Mrema: Ni popo, si ndege si mnyama

Hata kama ni wachache lakini kuna haja ya kuonyesha msimamo kwa vitu ambavo havina tija na Taifa letu. wingi sio hoja!!
 
Aaaaah.....ziada....unanihusisha na upande wangu???????mbona mimi sina upande nachokijua jana alipiga kura kumbe wewe hukuangalia live......mimi sina upande nachojua as iam nina upande wa kulia na kushoto kwangu......acha mawazo MKOROGO
hata hiyo ya gazeti iliona live. kumbe hizi sosi munazikubali pale tu zinapokuwa upande wenu,zikiwaponda munazikana kuwa si sosi.
 
Ki ukweli Mrema hakupiga kura, mimi niliangalia live, wakati kura zinataka kuanza kuhesabiwa Mrema akatoka nje, tena Spika akasema waheshimiwa msitoke nje tunataka kupiga kura lakini still alitoka, na akamulikwa hadi anafungua mlango na kutoka nje
 
Kwanza mtu mwenyewe mnayejadiliana naye ndio walewale kundi la Nape, wamefungulishwa account JF kwa lazima na Nape ili walete hoja za kipuuzi kulishushia heshima jamvi, lakini tumekushtukia na watu wameishakupiga source za uhakika mwanaizaya mkubwa weee.
 
Heri wewe umesema.
 
kumbe wewe ulifikiri Nape hana watu? na heshima gani inayoshushwa kwa kuwa pamoja na nape? unataka jamvi lijadili mambo ya upande mmoja tu? nini basi maana ya majadiliano? pole sana. Nape ana nguvu.
 
Acheni kupoteza muda kumjadili Mrema....kwa mtu yeyote ambaye ni critical hawezi kupoteza muda katika hili..Mrema anaeleweka wazi jinsi alivo popo....his support to CCM or CDM won't add anything to these two parts.We have a lot to discuss na sio Mrema.
 
kumbe wewe ulifikiri Nape hana watu? na heshima gani inayoshushwa kwa kuwa pamoja na nape? unataka jamvi lijadili mambo ya upande mmoja tu? nini basi maana ya majadiliano? pole sana. Nape ana nguvu.
We mkubwa mzima utatumiwaje na Nape kutuletea vihoja visivyo na kichwa wala miguu. Hakuna uhusiano kati ya Mrema au mbunge mwingine kukataa bajeti na posho za wabunge. Mfano wabunge wote wa CUF wamejiweka pembeni na mjadala wa posho lakini bajeti waliipinga. Na hata Mrema kupinga bajeti haimaanishi anaunga mkono wabunge kuacha kutuibia kodi zetu kwa posho za vikao. Sisi tunaokatwa kodi katika mshahara kwa mwezi inayolingana na posho ya wabunge 15 tunaumia tunataka hizo hela zikajenge barabara na hospitali na sio zitumike kuwapa ombaomba pale nje ya mjengo kama alivyosema baba yako Pinda. nape kasomea ngumbaru ndio maana amekudanganya ujiunge JF kuleta vurugu nawe ukakubali. Sera yenu ya Magamba ya kujikomba ili ikombolewe itafikia mwisho tu where kila mtu atatakiwa kuishi kwa jasho lake na kipato cha halali.
 
Ki ukweli Mrema hakupiga kura, mimi niliangalia live, wakati kura zinataka kuanza kuhesabiwa Mrema akatoka nje, tena Spika akasema waheshimiwa msitoke nje tunataka kupiga kura lakini still alitoka, na akamulikwa hadi anafungua mlango na kutoka nje

Alikwenda msalani na akarudi kupiga kura
 
aaaaah.....ziada....unanihusisha na upande wangu???????mbona mimi sina upande nachokijua jana alipiga kura kumbe wewe hukuangalia live......mimi sina upande nachojua as iam nina upande wa kulia na kushoto kwangu......acha mawazo mkorogo

nashukuru kama hauna upande,lakini hata baadhi ya maoni humu yanaonesha kuwa hakupiga,je nao si sosi?
 
Mleta mada ndiyo wale viwavi wa Nape ambao baada ya kushindwa kuietetea CCM na kuibomoa CDM sasa wamebadili mbinu ya mashambulizi kwa kuleta ubishi usio na mashiko na hoja za kipuuzi ili hatimaye ionekane kuwa JF ni jukwaa la kipuuzi, na kiasi wanaanza kufanikiwa kwani hivi sasa watu wengi wanaanza kukosa mvuto na jukwaa hili kwani kutwa nzima utakuta thread za kitoto kabisa.
 
we mkubwa mzima utatumiwaje na nape kutuletea vihoja visivyo na kichwa wala miguu. Hakuna uhusiano kati ya mrema au mbunge mwingine kukataa bajeti na posho za wabunge. Mfano wabunge wote wa cuf wamejiweka pembeni na mjadala wa posho lakini bajeti waliipinga. Na hata mrema kupinga bajeti haimaanishi anaunga mkono wabunge kuacha kutuibia kodi zetu kwa posho za vikao. Sisi tunaokatwa kodi katika mshahara kwa mwezi inayolingana na posho ya wabunge 15 tunaumia tunataka hizo hela zikajenge barabara na hospitali na sio zitumike kuwapa ombaomba pale nje ya mjengo kama alivyosema baba yako pinda. nape kasomea ngumbaru ndio maana amekudanganya ujiunge jf kuleta vurugu nawe ukakubali. sera yenu ya magamba ya kujikomba ili ikombolewe itafikia mwisho tu where kila mtu atatakiwa kuishi kwa jasho lake na kipato cha halali.

hakuna vurugu kaka yangu, ni hoja tu tunazozileta jf zijadiliwe.nape hanifahamu hata kidogo kama ilivyo wewe hao unaowasapoti huenda pia hawakufahamu japo wewe unawafahamu.kubali matokeo
 
mleta mada ndiyo wale viwavi wa nape ambao baada ya kushindwa kuietetea ccm na kuibomoa cdm sasa wamebadili mbinu ya mashambulizi kwa kuleta ubishi usio na mashiko na hoja za kipuuzi ili hatimaye ionekane kuwa jf ni jukwaa la kipuuzi, na kiasi wanaanza kufanikiwa kwani hivi sasa watu wengi wanaanza kukosa mvuto na jukwaa hili kwani kutwa nzima utakuta thread za kitoto kabisa.

shukran kwa kutambua mafanikio hayo, kuhusu mvuto si kweli kwani hivi sasa jf inazidi kupata wanachama na wasomaji wake wameongezeka sana,hayo pia ni mafanikio makubwa ya jf,tena ogopa sana kusema jf inakosa mvuto.huenda woga wako wa hoja unakufanya uiogope jf. Unataka hoja zile za kukusapoti tu. Hutaki chalenji. Kumbe wewe si mwana jf shupavu
 
Back
Top Bottom