Athumani Ally Maumba aliyetikisa miaka ya 1980s kwa kulawiti wanafunzi yupo wapi?

Sara Martin Simbaulanga aka Hadija Ally Mkimbau. Vere biutifuu. Hata wakuu wa magereza walishindwa kuvumilia mpaka wakazaa nae.
Enzi za kifo cha Shafi Bora
Ilikuwa shaffii au Ahmed bora alie uwawa pale upanga sikumbuķi uzuri khabari hii!
 
Majina haya yalikuwa maarufu miaka ile ya tisini.Je kijana wa zamani unaposikia Maumba au Kihiyo unakumbuka nini?BTW haya ni majina ya watu ambapo baada ya watu hao kufanya matukio fulani yakageuka kuwa ni "sifa" badala ya "jina"
Stori ya Maumba ilikuwa maarufu sana miaka ya nyuma....aliwaharibu kwa kuwalawiti watoto wadogo waliokuwa shule ya Msingi Jamhuri...ofisi za za ufundi cherehani zilikuwa pale karibu na Benki ya NBC tawi la Mnazi Mmoja.
 
Huyo kihiyo alifanyaje yeye na maumba?
Maumba alikuwa fundi cherehani na aliwalawiti watoto wa shule. Alifungwa, kama sikosei atakuwa ameshatoka jela.
Kihiyo alifoji cheti cha kitaaluma cha Dar Tech na kugombea ubunge wa Temeke. Ilikuwa ni kesi ya aina yake kati yake na Tambwe Hizza. Wakati huo Wakili Msomi Lamwai yuko kwenye chati, alimuuliza maswali Kihiyo mpaka ikawa aibu. Kihiyo kama sikosei alikuwa na wadhifa serikalini.
Kihiyo alithibitika hakuwahi kusoma Dar Tech na hivyo alipatikana na kosa la kufoji cheti akavuliwa ubunge. Ndio maana mtu yeyote amabaye anajifaragua wakati elimu yake ni ndogo huitwa Kihiyo.
 
Asante kwa maelezo nadhani enzi hizo licha ya cheo ulikuwa ukikutwa na kosa mahakamani lazima, sasa kihiyo ame replasiwa na bashite
 
Kihiyo alijipa Elimu ya Chuo cha UFundi Dsm yaani Dar Tech, kwenye CV yake alijiita Fundi Mchundo au Technician, na alipoulizwa mahakamani kuwa Wakati anasoma pale Dar Tech alikuwq Stream gani akajibu mahakamani kwamba hajui "stream" Ina maana gani
 
Ukolomije ulianza siku nyingi
 
Back
Top Bottom