Athumani Ally Maumba aliyetikisa miaka ya 1980s kwa kulawiti wanafunzi yupo wapi?

Majina haya yalikuwa maarufu miaka ile ya tisini.Je kijana wa zamani unaposikia Maumba au Kihiyo unakumbuka nini?BTW haya ni majina ya watu ambapo baada ya watu hao kufanya matukio fulani yakageuka kuwa ni "sifa" badala ya "jina"
Ongeza na Sarah simbaulanga na mohamed toroha wakati umekwenda wapi?
 
Back
Top Bottom