Pape
JF-Expert Member
- Dec 11, 2008
- 5,488
- 79
Asante mzee mwanakijiji!Kuna uwezekano mkubwa dege "lenu" lililoanguka huko Mwanza
Asante mzee mwanakijiji!Kuna uwezekano mkubwa dege "lenu" lililoanguka huko Mwanza
Well said Byasel. Kama mkataba wa ATCL na mkodishaji ulikuwa mzuri, basi ATCL wanatakiwa kupatiwa ndege nyingine ASAP au kulipwa fidia ya kukosa uzalishaji. Lakini hili hatujalisikia likinenwa pengine halipo.Naomba nifafanue kidogo. Ndege iliyopata ajali Mwanza ni ndege ya kukodi (leased aircraft).Sio mali ya ATCL. La hasha. Ndege hiyo ina bima(insurance ) ya kiwango fulani. Ajali ilipotokea mwenye ndege na watu wa bima wamekwenda Mwanza na kuona jinsi ndege ilivyoharibika. Baada ya assesment inaonekana gharama ya kuitengeneza hiyo ndege inakuwa kubwa sana kuliko gharama ya bima (insured value) ya ndege. Gharama inakuwa kubwa kwa sababu imeharibikia Mwanza ambako hakuna vifaa na karakana (kama DAR) hivyo mobilazation ya vifaa inakuwa ya juu sana.
Baada ya kutafakari mwenye ndege na watu wa bima (sio ATCL) wamekubaliana mwenye ndege alipwe bima yake na hivyo ndege itabaki mikononi mwa kampuni ya Bima (Insurance company) ambayo itajua jinsi ya kufanya lakini sana sana ile ndege itauzwa kama scrap kwa ajili ya spea kwa kutangaza tender. This has nothing to do with ATCL. Ni jambo la kwaida sana kwenye mambo ya ndege. ATCL inaweza kukodi ndege nyingine au kununua. Hii ndio maana ya Bima.
Well said Byasel. Kama mkataba wa ATCL na mkodishaji ulikuwa mzuri, basi ATCL wanatakiwa kupatiwa ndege nyingine ASAP au kulipwa fidia ya kukosa uzalishaji. Lakini hili hatujalisikia likinenwa pengine halipo.
Injinia,
How will they bring it from Mwanza to Shaaban Robert Street?
Ilitengenezwa 1987
zaidi hata ya 25Ndege huwa inakaa maximam ya miaka mingapi?
Mtazamaji,Do weed need STATUS? ATCL inaleta watalii wangapi nchini? ATCL inahudumia watanzania wangapi nchini?ATC inashindania wateja na Precision.Ile package waliyopewa kunuanua mindege kwa nn wasingepewa TRL shirika amablo lina weza kuwa na poteantial Kubwa kwa uchumi na influence yetu afrika mashariki.
If i was a minister/PS wa miundombinu ningeondoa headache ya ATCL kichwani mwangu kwa kuiza na kupeleka akili na effort zangu zote kufufua na kuimarisha Reli.
Inawezekana ukweli huu haupendezi masikioni lakini ndio ukweli utakaotufikisha tunakoota kufika.