Askofu Zakaria Kakobe: Tanzania siyo nchi ya chama kimoja! Amtaka Rais Magufuli atubu

Kwenu ccm na vibaraka wa kujipendekeza Mungu sio wa mzaha hata kidogo ana utaratibu wake.

Kwa ufupi kama hujatubu na kuungama dhambi na kuziacha hata uombewe na nanii ni kazi bure

Sasa kila siku unataka uombewe na unazungula kuomba uombewe ikimaanisha toka uanze kuonbewa hujajibiwa ndio maana unasisitiza kuombewa.

Formula ya Mungu hasa kwa imani ya kikristu kama hujatubu maombi yako ni bure unapoteza mda tu.

Sasa jana umekumbushwa kuwa unatakiwa utubu naona kuna watu wameibuliwa kusikojulikana na matusi na kebehi bila kuelewa lengo ni lipi ila kwa kuwa katajwa mtu fulani anayependa sifa na utukufu imekuwa nongwa.

Mungu hadhihakiwi

Luka 13.3 - Kama hawakutubu, hivyo kupotea wote.
...wewe ndo unasajili toba na misamaha !?
 
Nyani kumkoma dila,kkisu kimefika kwenye mfupa kwa maneno ya Kakobe!!

Tusubiri watabomoa kanisa ama ataitwa na migration kuchenjua uraia wake!!!
 
...wewe ndo unasajili toba na misamaha !?
Alichokifanya ni kuwakumbusha kanuni za kibiblia kuhusu kuombewa. Kwamba lazima upate toba ndio maombi ya watu au yako yapokelewe.
Ila inavyoonyesha Magu kamwelewa Kakobe, bali wapambe na wachumia tumbo ndio wanapigana ili ukweli huo uonekane ni matusi na kuwa ni siasa za kumchafua huy binadamu ambaye wao wanamuona hakosei au wanajilazimisha kumuona hivyo ili awafae kwa kuwaona kwenye nafasi zilizopo.
 
haya madini yenu kufeni nayo wenyewe huko.....
yaaani ni vile baba yako anakwambia niombee nawe unamwambia nenda katubu kwanza uje ulete uthibitisho kuwa umetubu ndipo nikuombeee,acheni kujihesabia haki sana je wewe unayejifanya unamwambia mwingine akatubu wewe una uhakika u msafi to that extent??unahisi wewe ni mwema zaidi ya huyo anayeomba na kujinyenyekeza aombewe kila siku??
 
Vichwa ngumu sana hawa wadudu sijui kama watakuelewa dhidi ya mfalme wao, yaani hawa hata wako tayari kinyesi cha mfalme kuita makande
 
Askofu huyu aliwahi tusadikisha kuwa Rais Kikwete na CCM wamefika mwisho na akatoa ushahidi wa barua yenye nukuu ya maneno ya 'mungu' kwa rangi nyekundu. YALITOKEA?.... mtawajua kwa matendo yao...!
Mwisho wao ufike mara ngapi mkuu?
 
Kwa hasira ya makinikia unamimina marisasi kwa binadamu mwenzio halafu unaambiwa utubu watu wengine wanakuja juu wakati nchi yetu wote
 
Mkuu wahuni, wezi, wauaji, watoa rushwa, mafisadi huwa hawajioni kama wanafanya makosa na hivyo kustahili kutubu mbele ya Mwenyezi Mungu.

Siku zote maovu yao wao huyaona ni sawa mbele ya uso wa dunia yetu.

Kwenu ccm na vibaraka wa kujipendekeza Mungu sio wa mzaha hata kidogo ana utaratibu wake.

Kwa ufupi kama hujatubu na kuungama dhambi na kuziacha hata uombewe na nanii ni kazi bure

Sasa kila siku unataka uombewe na unazungula kuomba uombewe ikimaanisha toka uanze kuonbewa hujajibiwa ndio maana unasisitiza kuombewa.

Formula ya Mungu hasa kwa imani ya kikristu kama hujatubu maombi yako ni bure unapoteza mda tu.

Sasa jana umekumbushwa kuwa unatakiwa utubu naona kuna watu wameibuliwa kusikojulikana na matusi na kebehi bila kuelewa lengo ni lipi ila kwa kuwa katajwa mtu fulani anayependa sifa na utukufu imekuwa nongwa.

Mungu hadhihakiwi

Luka 13.3 - Kama hawakutubu, hivyo kupotea wote.
Mithali 28.13 - ambao inashughulikia makosa yake hatafanikiwa, lakini kila mtu anayekiri hadharani na kuhama yao utakuwa huruma.
Warumi 6,15-16 - Naam, sisi dhambi wakati sisi si chini ya sheria bali chini ya neema? Hakuna njia! Je, hamjui kwamba wakati kumtumikia mtu, una kumsikiliza? Wewe kuwa watumishi, wanao kusikiliza, kama wa dhambi ni kifo, au utii na haki.
 
By Mwanakijiji Lugusi

Nimeshtushwa na kada mmoja wa ccm kuibuka na kumkosoa kakobe bila kuweka vifungu gan vya katiba alivyokosea dhidi ya MTUKUFU WETU binafs naona Kakobe yuko sahihi kama mtanzania huru na katiba inamruhusu kuhoji na kutoa mawazo yake,wewe unayemtukana na kumuona hana maana ndy zuzu na usiyejielewa!!!!nani mwenye hati miliki na nchi hii kama co mimi,wewe na yeye?changamkeni musome katiba na mtoke gizani muache uvivu wa kufikiri na kuingilia uhuru wa mtu mwingine wewe ukiridhika na utendaji wa magufuli unafanya vema kwa kuwa tunatofautiana uwezo,fikra,upeo na vipawa.Na ukiona hafanyi vizuri mahali fulani ni wajibu wako kupaza sauti na kusema nooo!!!kisha unaeleza ni wapi unsona kiongozi anakosea na arekebishe wapi.

Huo ndy uzalendo halisi na utakaodumisha amani,umoja na mshikamano na kujiletea maendeleo chanya.lkn ukiwa mlevi wa kumpenda mtu kuliko ht maisha yako na taifa lako na kizazi chako basi wewe ni sawa maiti mochwari.

Penda nchi na kiongozi anayeheshimu na kufuata katiba ya nchi ambayo ni sauti na maagizo ya wananchi kwa chama chochote kinachounda serikali na si kuapa kuilinda halafu akishaingia ikulu tu anaipiga teke,je hamjui binadamu si malaika?akibadilika ghafla na kuanza kutoa maagizo yasiyozingatia katiba na sheria mfano polisi wachape watu wanaochelewa kufika nyumbani kabla ya saa 12 jioni mtafurahi tu eti BULDOZA hoyee?
Mtu anahoji kakobe ni nani!!!huyu ni lofa kabisa hujui kiongozi wa kiroho na mtanzania na anaushawishi na ndiyo role model ya kuombea amani kama viongozi wa dini wanaosimama kwa niaba ya Mungu Baba hapa duniani?

Alamsiki

Niwatakie sikukuu njema za mwaka mpya 2018
 
Tuwe tunawaza mbali,hivi kwa mtu anayempenda raisi,au hata wanaojifanya tu wanampenda kwa tabasamu la upande,wangetafakari kwanza.

Kwani raisi hawezi kutubu?(nasisitiza raisi sijasema tofauti)

Najua kwa wema tu hata yeye anahitaji mombi anayoombewa yajibiwe.
OVA.
 
Hata akitubu hutajua! Kwa mujibu wa dini yake anatubu kwa siri siyo hadharani kama wafanyavyo wengine!
 
Back
Top Bottom