kanali mstaafu
JF-Expert Member
- May 17, 2015
- 4,318
- 4,090
HewallaaaahLeo ndio nimetofautisha kati ya Popoma na pohamba.
Pole mkuu niliwahi kukujeruhi nikijua pohamba
HewallaaaahLeo ndio nimetofautisha kati ya Popoma na pohamba.
Pole mkuu niliwahi kukujeruhi nikijua pohamba
Askofu Zakaria Kakobe leo akiwa kanisani kwenye ibada ya Christmas, katika kanisa la FGBF Mwenge jijini Dar es Salaam, amenukuliwa akituma salamu kwa Rais wa JMT, Dkt. John P. Magufuli.
"Rais John Pombe Magufuli, nawe unatakiwa kutubu leo. Unaposherekea sikukuu ya Christmas, ili uridhiwe na Mungu unatakiwa nawe utubu".
"Leo ni siku ya watawala wa Tanzania kutubu. Leo tumeanza kuona misingi ya amani ya nchi yetu ikitikiswa. Amani iliyojengwa kwa gharama kubwa na waasisi wetu. Tumeanza kuona nchi hii ni ya chama kimoja na huu ni uovu. Mungu mwenyewe anaheshimu sheria basi kama na sisi tumeweka sheria tunapaswa kuheshimu sheria tulizojiwekea wenyewe. Hii si nchi ya chama kimoja. Kama mnataka kubadilisha si mbadilishe tu mara moja kupitia wabunge wenu wa CCM, si mko wengi?".
"Sheria ni lazima zizingatiwe! Na kwa hili nitapiga kelele mpaka Mlima Kilimanjaro. Huwezi kusema wewe huwezi kusemwa, wewe ni nani? Mungu anasemwa vibaya sembuse wewe?".
"Mungu mwenye nguvu kuliko Magufuli, ana nguvu kuliko majeshi yote ya nchi, lakini anatukanwa na bado hatumii majeshi yake. Hata wewe unaweza ukawa mvumilivu" amenukuliwa akisema Kakobe.
Cyo jikedume...yule ni jikeUkimwangalia huyu DC Happy kila kitu kinaonesha ni jikedume.....!!Ndo maana alimwandama Halima Mdee, si unajua jinsia za kike ambavyo huwa wanawekeana mikwara...??Kwa Kakobe hana ubavu huo maana huyo ni mwanamme wa shoka....!!
Note these:Mleta mada ni muongo alete video ili tuamini alichoandika!
Vinginevyo mods futa huu uchafu.
Msema kweli ni mpenzi wa MunguAskofu Zakaria Kakobe leo akiwa kanisani kwenye ibada ya Christmas, katika kanisa la FGBF Mwenge jijini Dar es Salaam, amenukuliwa akituma salamu kwa Rais wa JMT, Dkt. John P. Magufuli.
"Rais John Pombe Magufuli, nawe unatakiwa kutubu leo. Unaposherekea sikukuu ya Christmas, ili uridhiwe na Mungu unatakiwa nawe utubu".
"Leo ni siku ya watawala wa Tanzania kutubu. Leo tumeanza kuona misingi ya amani ya nchi yetu ikitikiswa. Amani iliyojengwa kwa gharama kubwa na waasisi wetu. Tumeanza kuona nchi hii ni ya chama kimoja na huu ni uovu. Mungu mwenyewe anaheshimu sheria basi kama na sisi tumeweka sheria tunapaswa kuheshimu sheria tulizojiwekea wenyewe. Hii si nchi ya chama kimoja. Kama mnataka kubadilisha si mbadilishe tu mara moja kupitia wabunge wenu wa CCM, si mko wengi?".
"Sheria ni lazima zizingatiwe! Na kwa hili nitapiga kelele mpaka Mlima Kilimanjaro. Huwezi kusema wewe huwezi kusemwa, wewe ni nani? Mungu anasemwa vibaya sembuse wewe?".
"Mungu mwenye nguvu kuliko Magufuli, ana nguvu kuliko majeshi yote ya nchi, lakini anatukanwa na bado hatumii majeshi yake. Hata wewe unaweza ukawa mvumilivu" amenukuliwa akisema Kakobe.
napita tuNaskia we ulivua ukamkabidhi ule wako wa kiunoNI
bashiteHuyo hata akiambiwa atoe rinda angetoa tu
Nitajie faida 2 tu za uongo tangu uanze kuutenda .Si alihama nchi huyu akawa anakula maisha U.S.A sasa vipi sadaka zimeisha
Hata kwenye hifadhi ya barabara hawatamuweza kwani ili kung'oa jengo la kanisa lake itabidi pia ile maternity dispensary ya kanisa katoliki ing'olewe! Bishop Kakobe songa mbele babaa!! Haki huinua taifa!!!Labda kwenye hifadhi ya barabara watampatiaa .lakini uraia itakuwa ngumu maana mwenyewe Kakobe alikuwa afisa uhamiaji kabla aje kuwa muhubiri
PovuHuwa sielewi ni kwa nini Hapa JF mtu anapewa likes nyiiingi bila kujali kudadavua maelezo yaliyoko mbele yetu. Maelezo kama haya yanayoitwa ya Kakobe yana nini hadi useme 'like' Yaonekana maisha yametulamba tunatafuta wanaotusaidia kulia.
Ni vizuri kutoa ushauri lakini lazima ujue unatoa ushauri kwa nani. Kakobe anatoa ushauri kwa Rais wa nchi kama mtu anayetoa ushauri kwa muumini wake, maana wahubiri wa aina hii humiliki watu. Bado hajapata funzo la makosa yake ya tangu enzi zile za kukosana na umoja wa vijana wa CCM, kukosana na serikali juu ya umeme na redio yake, utabili wake wa kutangaza mteule wa Mungu, nk. sasa anakuja na matusi kwa Rais. Mi nayaita matusi maana suala la kutubu ni kutangazia umma kwamba rais ni muovu.
Yeye Kakobe ni msafi kiasi gani hadi atangaze kutubu kwa rais. Baadhi mutaunga mkono kwa kero zenu lakini nionavyo jamaa huyu anatafuta sababu ya kutaka ajulikane. Yeye si Nabii kama anavyotaka tujue. Ni mtu wa kawaida na huenda wa hovyo kama tulioko sokoni tukigusa mifuko ya watu.
Kwa akili yangu tu; Tangu Kakobe ameanza kuhubiri, faida gani imeingia hapa nchini zaidi ya kupumbaza watu. Ni kama yule mwingine wa Kimara. Hajajenga shule, hajajenga hospitali, hana lolote la kusaidia umma. Yapo madhehebu yenye nguvu hizi kwa jinsi yalivyosaidia umma wa TZ. Ngoja tusubili atangazwe shujaa.
Ulishasikia magufuri kaenda kusali FG kwa kakobe?Nitakapo wasikia bakwata ndio nitaamini magufuri raisi wa ovyo lakini Hawa maaskofu matumbo sina imani nayo kabisa
Note these:
Then the rebut:
Ewaaaaa! Umepatia mkuuBila shaka ..
Mwanya= pengo????
Angesifia wala haya yote yasingekuwepo.ametimiza wajibu wajibu wake kama mtanzania mzalendo,pili kama kiongozi wa kiroho niwajibu wake kukemea maovu kuonya/kukanya jamii yake.ameepuka unafiki.amethubutu,maana nchi nzima imepigwa ganzi.wanaona jahaz letu linaenda mrama hawastuki.wote wanaogopa kusema ysliyo moyoni wote wamejaa unafiki.hata mfalme akikosea wanamsifia tu maana ndicho kirevi akipendacho mfalme.Historia itamkumbuka.Kaongea rubbish kama wapinzani wanavyoongea aongee kama kiongozi wa kiroho ...asitumie jukwaa LA dini vibaya eti magufuli atubu yeye ni nani mazambi yake hayaoni !? maana keshamuhukumu Rais wakati yeye mwenye anamadhambi tena mengi penhine kuliko ya Rais ...imeandikwa usihukumu ili na wewe usihukumiwe..kwa nn unaona kibanzi cha mwenzio angali jichoni mwako kuna boliti na hujioni?!
Kipele kinakuwasha hapo mahali.Sawa tumemuelewa 2020tutamchagua mbowe