Askofu mkuu wa kanisa la TAG atoa tamko kuhusu chokochoko za udini

Askofu kasahau waislam wamejiandaa miaka mingi sana kutekeleza huu uovu.Km ni vurugu zitaanza tuu wao hata mpagani akiwapa kitimoto kesho yake wanakimbilia choma makanisa kwa vile ndiyo wayaotayo kila wakilala na kuamka.Juzi uamsho walianzsiha kwa visingizio vya muungano.Akina Zitto na wengine hawakuona kosa walikimbilia kuwa wana hoja ya kusikilizwa.

Watasingizia hata chochote ili kuwahi kumwaga damu mashinikizo ya majinn yafikiwe.Ipo siku watachoma makanisa mengine hata kwa vitu vidogo kama baa kuwa karibu na msikiti amabo ulijengwa bar ikiwapo.Wanajenga karibu na kanisa na kuanza waletea fujo waumini wa makanisa.
 
Huyu askofu hatumii akili??kwahiyo matukio wanayofanya waislam ni ya kishetani??yeye amesahau serikali ilivyowafanyia waislam mwembe chai??mbona sisi hatukusema ni tukio la kishetani??na waliochoma makanisa znz si UAMSHO bali askari toka bara,na picha zao zipo wakiwa wameshika mizinga ya moto!!

Kama dini yenu si ya kibaguzi kwa nini mkanushe madai ya waislam ktk katiba mpya??
1.Kuoa mke zaidi ya mmoja mnapinga!hivi hamfikirii kiundani??ikitokea mkeo anamaradhi ya kudumu(ugumba)halafu wewe unataka mtoto au ndugu zako utamuacha mkeo au utaoa mwingine ili upate mtoto??au mkeo kapata HIV hautaoa mwingine ili akutimizie haja zako??kutooa mara ya pili kwa sababu kama hizo ndio zinapelekea wakristo wengi kutoka nje ya ndoa kwa kutafuta watoto au kutimiziwa haja zao za kimaumbile ambapo unafanya ZINAA eti kisa padre kakataza usioe tena??sasa mnapinga hilo ktk katiba mpya!hamuoni mnaroho mbaya na upendeleo?kwanini msitoe na nyie madai yenu kama hamna udini??

2.Mwaka 1978 nyerere(Laana ya Mwenyezimungu iwe juu yake)aliwaahidi maaskofu kulipa kiapumbele kanisa katoliki TZ kuliko taasisi yoyote TZ.hamuoni yeye alionesha udini??hadi mnataka kumpa utakatifu kwa kuimarisha kanisa TZ??

3.Sisemi saaaana bali padre Dr john c sivalon ktk kitabu chake 'KANISA KATOLIKI NA SIASA ZA TANZANIA BARA' ameelezea ucpendeleo wote na mipango ya kuimariasha kanisa Tz,,halafu leo mnataka usawa tz wakati nyerere ndie alieanzisha udini??

Acheni chuki za kijinga!!
Sasa mbona mambo yote hayahusiani na Ukristu?saa mbona mnatumia vitabu msivyoviami kuwa ndio uthibitisho wa ujinga wenu?Huu ndio uislam mnaouita nuru ya ulimwengu?Au mnadhani moto ni ndio nuru ya waislam?Huo moto ukishachoma panabaki mkaa na giza.Ndio maana kila sehemu uislam ulipita pamekuwa giza.Na hata hizi hela zitokazo na kodi makafiri mnazoiba na rasilimali za nchi mnazoziuza kwa bei ya bwerere, si muda zitakauka na kuwaacha wakiwa.Hii dini ni chukizo duniani na mbinguni.
 
Ama kwa hakika tunahitaji viongozi imara Tanzania.
Sasa tunaona jinsi ambavyo kuna "vacuum" ya uongozi Tanzania.
Uongozi wa nchi ni zaidi ya kuomba misaada nchi za nje za kujenga barabara, madaraja na majumba makubwa ili yakapate kuitwa jina lako. Inastahili kwanza kuwaongoza wananchi kupendana na kuheshimiana na kutii sheria huku viongozi wa dini wakitoa elimu sahihi kwa jamii ya kumuogopa na kumtii Mungu. Hakuna utakalofanya lolote baya kwa jirani yako ukadhania umebaki salama. Ukishamtia jirani yako jeraha, na wewe unalo jeraha. Anayelipiza hujitia jeraha maradufu. Ni bora angemsamehe aliyemsababishia jeraha na kumuombea.Hiyo ndiyo imani yangu. Mungu ibariki Tanzania.
 
kwanza nadhan ASKPFU kabla ya kuanza kulalama na kutoa tamko km hilo alitakiwa ajue ya kwamba ukweli ni ktu kilicho bora kuliko mapenzi binafsi, TAG na makanisa ya TAG ndio chanzo cha chuki hizim mfano wa kwanza waumini wanne wa TAG mpaka sasa wanakesi mkoa wa mwanza kutokana na kuchoma quran na mmoja wao ni mchungaji, Je alitoa tamko gani wakati wa tukio km hili?je hao watu wazima na familia zao nao walikuwa hawana akili km huyu mtoto(ana miaka 14,lakini utafikilii ana miaka 5 kwa jinsi mnavyosema)pia hawa nao walikuwa na upishani na nani?
Jingine ni kwanya ya KAKOLA mkoani shinyanga (TAG)walitoa cd ya kukashfu uislamu na pale kija JUMANNE JUMAPILI alipokwenda kuwaambia kuwa mkuu wa wilaya kaipiga marufuku wao wakampiga na kumuua, Je hiyo kwaya nao walikuwa watoto? na ASKOFU mbona hakutoa tamko? acheni unafiki WAISLAMU tumevumilia sana madhila ktk nchi hii,na sasa km ukitukanwa uislamu nasi tutajibu hata km serikali itakuwa nanyi.
Hayo ni kwa ufupi tu, yapo mengi yanafnywa ila tupo kimya.
Waislamu walianza kutoa Kanda za kaseti za kukashifu ukristu kuanzia mwaka 1987, na walianzisha mihadhara ya kuukashfu ukristu tangu mwaka 1987 na wamekuwa wakiendelea na kashfa hizo hadi leo hii, lakini wakristu hawakufanya chochote,wala kulalamika. leo hii unalalamika kuhusu CDs. CDs zimeingia juzi waislamu walianza kwenye kanda za kaseti miaka 25 iliyopita.
Je unatambua hilo?
 
Huyu askofu hatumii akili??kwahiyo matukio wanayofanya waislam ni ya kishetani??yeye amesahau serikali ilivyowafanyia waislam mwembe chai??mbona sisi hatukusema ni tukio la kishetani??na waliochoma makanisa znz si UAMSHO bali askari toka bara,na picha zao zipo wakiwa wameshika mizinga ya moto!!

Kama dini yenu si ya kibaguzi kwa nini mkanushe madai ya waislam ktk katiba mpya??
1.Kuoa mke zaidi ya mmoja mnapinga!hivi hamfikirii kiundani??ikitokea mkeo anamaradhi ya kudumu(ugumba)halafu wewe unataka mtoto au ndugu zako utamuacha mkeo au utaoa mwingine ili upate mtoto??au mkeo kapata HIV hautaoa mwingine ili akutimizie haja zako??kutooa mara ya pili kwa sababu kama hizo ndio zinapelekea wakristo wengi kutoka nje ya ndoa kwa kutafuta watoto au kutimiziwa haja zao za kimaumbile ambapo unafanya ZINAA eti kisa padre kakataza usioe tena??sasa mnapinga hilo ktk katiba mpya!hamuoni mnaroho mbaya na upendeleo?kwanini msitoe na nyie madai yenu kama hamna udini??

2.Mwaka 1978 nyerere(Laana ya Mwenyezimungu iwe juu yake)aliwaahidi maaskofu kulipa kiapumbele kanisa katoliki TZ kuliko taasisi yoyote TZ.hamuoni yeye alionesha udini??hadi mnataka kumpa utakatifu kwa kuimarisha kanisa TZ??

3.Sisemi saaaana bali padre Dr john c sivalon ktk kitabu chake 'KANISA KATOLIKI NA SIASA ZA TANZANIA BARA' ameelezea ucpendeleo wote na mipango ya kuimariasha kanisa Tz,,halafu leo mnataka usawa tz wakati nyerere ndie alieanzisha udini??

Acheni chuki za kijinga!!
Sasa hapa ukiambiwa kichwani ni mtupu utamlaumu nani, kwahiyo Mgumba ni mwanamke peke yake?? kwanini na wao hawaruhusiwi kuwa na waume wengi ili mmoja akiwa mgumba basi hao wengine wamzalishe??. Mbona huku mitaani tunapoishi kuna Waislamu wenye wake wanne lakini wana VIMADA kibao??Halafu Katiba na Kanisa wapi na wapi??mambo ya katiba kwanini msiende kuchoma ikulu pale magogoni kama kweli mna hasira. Acheni kutumiwa. Mkamateni Elimu atawasaidia
 
Wakati serikali iliwatafuta watu waliohusika na vurugu za Mbagala, najiuliza hivi yule mtoto aliyekojolea msahafu, kuna Askofu au kiongozi yeyote wa dini alomwita na kuzungumza naye hata kumwambia kwamba kitendo alichokifanya ni kibaya na hakiwezi kujenga mahusiano mazuri wa waislaam. Kwa nini swala la kukojolea Kuruan linaitwa ni mchezo na utani wa kitoto, no big deal badala ya viongozi wa dini kulaani kitendo hicho na kuwashauri wakristu kutofanya hivyo..
Mkuu,hata kama ni mtoto,haina maana kwamba ndiyo makanisa yachomwe.Kuna issue ambayo wengi hawajaielewa kwenye tamko la Askofu huyo.Kiukweli ni kwamba hakuna connection yoyote kati ya makanisa hayo na huyo mtoto,ama unamaanisha kwamba huyo mtoto ni wa huyo askofu?

Halafu ametolea mifano mingi tu kuonyesha kwamba ni kama vile kuna mpango maalum wa kutafuta tu sababu za kuwafanyia vuvurugu wananchi wengine hususan wakristo.Katolea mfano wa yale maandamano ya uamsho huko Zanzibar,wakaenda kuchoma makanisa,again,hakuna uhusiano wowote kati ya muungano na kanisa.Na matukio mengine pia aliyoyataja kuanzia huko Kenya,Nigeria na bagamoyo,na hata hilo la Mbagala,simply there's no connection.

Hakuna justification yoyote kufanya hizo vurugu.Na hata kwenye tamko lake hapo juu, soma hapo kwenye "wito" wake,ambapo amekemea kabisa hatua yoyote ya kuchoma ama kuidhalilisha misaafu ya kidini.Kusema alitakiwa amwite yule kijana amuonye,ni kama kukosa hoja na kutofahamu kuwa unapojikwaa na kuanguka,usijihangaishe kulitafuta tatizo pale ulipoangukia,bali pa kuchunguza ni pale ulipojikwaa.Kwa mantiki hiyo,tatizo halipo hapo kwa mtoto,bali tatizo lipo kwanza kwa huyo mtoto aliyemtisha mwenzake na kumpelekea kuraan na kumwambia aikojolee kama hatogeuka kuwa mbuzi ama nyoka,tatizo liko kwenye mafunzo yanayohusiana na vitabu vitakatifu,je hayo ndiyo mnayofundisha watoto kwenye nyumba za ibada na madrassa?Hapo ndipo mlipojikwaa,hapo ndipo penye tatizo.Sidhani kama kuna pahala kwenye kuraan kunapomfundisha muislam awaaambie makafiri kwamba mkiikojolea kuraan basi mtageuka mbuzi,panya ama nyoka.
 
Huyu askofu hatumii akili??kwahiyo matukio wanayofanya waislam ni ya kishetani??yeye amesahau serikali ilivyowafanyia waislam mwembe chai??mbona sisi hatukusema ni tukio la kishetani??na waliochoma makanisa znz si UAMSHO bali askari toka bara,na picha zao zipo wakiwa wameshika mizinga ya moto!!

Kama dini yenu si ya kibaguzi kwa nini mkanushe madai ya waislam ktk katiba mpya??
1.Kuoa mke zaidi ya mmoja mnapinga!hivi hamfikirii kiundani??ikitokea mkeo anamaradhi ya kudumu(ugumba)halafu wewe unataka mtoto au ndugu zako utamuacha mkeo au utaoa mwingine ili upate mtoto??au mkeo kapata HIV hautaoa mwingine ili akutimizie haja zako??kutooa mara ya pili kwa sababu kama hizo ndio zinapelekea wakristo wengi kutoka nje ya ndoa kwa kutafuta watoto au kutimiziwa haja zao za kimaumbile ambapo unafanya ZINAA eti kisa padre kakataza usioe tena??sasa mnapinga hilo ktk katiba mpya!hamuoni mnaroho mbaya na upendeleo?kwanini msitoe na nyie madai yenu kama hamna udini??

2.Mwaka 1978 nyerere(Laana ya Mwenyezimungu iwe juu yake)aliwaahidi maaskofu kulipa kiapumbele kanisa katoliki TZ kuliko taasisi yoyote TZ.hamuoni yeye alionesha udini??hadi mnataka kumpa utakatifu kwa kuimarisha kanisa TZ??

3.Sisemi saaaana bali padre Dr john c sivalon ktk kitabu chake 'KANISA KATOLIKI NA SIASA ZA TANZANIA BARA' ameelezea ucpendeleo wote na mipango ya kuimariasha kanisa Tz,,halafu leo mnataka usawa tz wakati nyerere ndie alieanzisha udini??

Acheni chuki za kijinga!!

Wakati mwingine mtu huna mood mbaya lakini unahamasishwa kuchukua hatua za maneno kwa wehu kama huyu......akili zako Pure Number ziko makalioni mwako
 
Last edited by a moderator:
I can really see how our fellow muslims are letting themselves down na ndio maana dini hii imekuwa ikienea kwa upanga badala ya ushawishi. Tanzania ina wapagani wengi tu na obviosly with muslims attitude, itakuwa vigumu kuwashawishi wale wasikuwa waislamu kujiunga na dini hiyo. Hii imekuwa ni dini ya vurugu tokea enzi na enzi na dunia nzima iko hivyo hata sasa --- Nigeria, Sudan, Russia, Phillipines, Afganistan, etc. Hii haitokani na kuonewa, bali ni itikadi inayotumia nguvu kujipanua. Tatizo mojawapo ni elimu duni ya kuelewa na kupambana na mazingira. Kwa mfano, % kubwa ya Masheikh hapa TZ, kama wapemeta elimu ya f4 ni kumshukuru mungu. Wengi ni darasa la saba na hakuna juhudi za kujiendeleza. Huwezi kujenga jamii ya kisasa kwa kungangania elimu ahera (madras) pekee. Ndio maana rais Mwinyi kila mara anashauri waislamu kungangania elimu dunia pia. Waislamu wengi walioenda shule wako tofauti sana kimtizamo, ingawaje swala la kiimani wanalipa kipaumbele. Kuchoma makanisa, shule, etc, won't do any thing to change christians hearts. Kwanza ndio linawafanya wakue kiimani na kuongezeka kwani kwa hulka ya kibinadamu na kwa historia, hakuna mtu anayependa shari. Wakristu wamekuwa kimya, si kwamba hawawezi kulipa kisasi, ila dini yao haikujengwa hivyo. Kukaa kimya ni sehemu ya silaha za kumwangamiza adui mjinga asiyekuwa stategic.
 
Huyu askofu hatumii akili??kwahiyo matukio wanayofanya waislam ni ya kishetani??yeye amesahau serikali ilivyowafanyia waislam mwembe chai??mbona sisi hatukusema ni tukio la kishetani??na waliochoma makanisa znz si UAMSHO bali askari toka bara,na picha zao zipo wakiwa wameshika mizinga ya moto!!

Kama dini yenu si ya kibaguzi kwa nini mkanushe madai ya waislam ktk katiba mpya??
1.Kuoa mke zaidi ya mmoja mnapinga!hivi hamfikirii kiundani??ikitokea mkeo anamaradhi ya kudumu(ugumba)halafu wewe unataka mtoto au ndugu zako utamuacha mkeo au utaoa mwingine ili upate mtoto??au mkeo kapata HIV hautaoa mwingine ili akutimizie haja zako??kutooa mara ya pili kwa sababu kama hizo ndio zinapelekea wakristo wengi kutoka nje ya ndoa kwa kutafuta watoto au kutimiziwa haja zao za kimaumbile ambapo unafanya ZINAA eti kisa padre kakataza usioe tena??sasa mnapinga hilo ktk katiba mpya!hamuoni mnaroho mbaya na upendeleo?kwanini msitoe na nyie madai yenu kama hamna udini??

2.Mwaka 1978 nyerere(Laana ya Mwenyezimungu iwe juu yake)aliwaahidi maaskofu kulipa kiapumbele kanisa katoliki TZ kuliko taasisi yoyote TZ.hamuoni yeye alionesha udini??hadi mnataka kumpa utakatifu kwa kuimarisha kanisa TZ??

3.Sisemi saaaana bali padre Dr john c sivalon ktk kitabu chake 'KANISA KATOLIKI NA SIASA ZA TANZANIA BARA' ameelezea ucpendeleo wote na mipango ya kuimariasha kanisa Tz,,halafu leo mnataka usawa tz wakati nyerere ndie alieanzisha udini??

Acheni chuki za kijinga!!

Samahani; naomba unisaidie kujibu maswali yafuatayo:

1. Asiyetumia akili ni askofu ambaye ameliongelea swala hilo bila kuongeza uchochezi baina ya dini na jamii zetu ama wale wanaochochea chuki, fujo na hata kufikia kuchoma madhabahu for heaven sake..!! Hivi wanajua heshima ya madhabahu mpaka mtu anaenda kuvunja na kuchoma moto..!!.. Hivi leo nikienda kumwaga mbolea kwenye msikiti ambao unaheshimika hadi watu hawaingii na viatu nitakuwa nimetenda vema...?? Hebu watu na waheshimu imani za watu; nafikiri bila kujali dini zetu, tungeangalia hili kwanza. Nafikiri ungeangalia pia aliyetumia akili ya kutilia maanani mawazo ya mtoto na kuchukua maamuzi ya kufanya fujo...!! Please; naomba usizidi kuwatia watu uchungu....

2. Anayeleta chuki za kijinga, ni huyu askofu aliyeliongelea swala kwa hekima kubwa bila kuongeza chuki miongoni mwa wakristo au wale waliosambaza sumu mbaya juu ya tukio hilo la mtoto...?? Hebu tuangalie matukio ambayo kwa kiasi kikubwa yameonekana kuwaathiri wakristo; mmechoma mara ngapi makanisa, mmevunja mara ngapi madhabahu, mmefanya fujo ngapi; mmeweka mihadhara mingapi ya kuwatukana wakristo..but wakristo wa watu wamekaa kimya.. Hapa ni nani anayechochea fujo na chuki..??

Mi nawaomba, kama watanzania na binadamu ambao sote Mungu anategemea mema toka kwetu; tuhubiri upendo misikitini na makanisani. Tuwaelimishe hata watoto wadogo umuhimu wa kuheshimu imani za kila mtu.. Kwa kufanya hivi tutapanda mbegu ya kujaliana bila kubaguana, na hata usawa wa kidini utaimarika katika jamii yetu. Ila tukianza kuweka mbegu ya chuki baina ya watoto wetu kwa misingi ya dini, then tujue kuwa tunaunda taifa ambalo kila mtu ataona why not my religion isishike dola, why not my religion isiwe juu katika mamlaka ya nchi...!! Hii ni dhambi na mbegu ambayo sisi wenye uelewa tunapaswa kuizuia isikue hasa wakati huu ambao bado mambo hayajaharibika zaidi...

Tuondoe perception za ajabu kuwa wale wanaheshimiwa, wale wanapendelewa; tungalie ni wapi pa kurekebisha; ni kipi tufanye ili wote tuishi kama ndugu, kama watanzania wamoja... Hii chuki madhara yake ni makubwa kuliko unavyofikiria na kuandika... Na mbaya zaidi itawatafuna watoto wetu na wajukuu zetu... Tusiwajengee kitu kitakachowafanya watuchukie siku zote za maisha yao...

Mungu na atusaidie....!! Mungu na uipatie nchi yetu amani, roho chafu ya udini na ituepuke...!! Wewe ndiye ujuaye madhaifu yetu, ndiye ujuaye tulipoteleza kama watanzania (bila kuangalia dini zetu); nakuomba uparekebishe uweke mbegu ya upendo ndani yetu bila kuangalia misingi ya dini...!! Naomba nikiamini.. AMEN...
 
Huyu askofu hatumii akili??kwahiyo matukio wanayofanya waislam ni ya kishetani??yeye amesahau serikali ilivyowafanyia waislam mwembe chai??mbona sisi hatukusema ni tukio la kishetani??na waliochoma makanisa znz si UAMSHO bali askari toka bara,na picha zao zipo wakiwa wameshika mizinga ya moto!!

Kama dini yenu si ya kibaguzi kwa nini mkanushe madai ya waislam ktk katiba mpya??
1.Kuoa mke zaidi ya mmoja mnapinga!hivi hamfikirii kiundani??ikitokea mkeo anamaradhi ya kudumu(ugumba)halafu wewe unataka mtoto au ndugu zako utamuacha mkeo au utaoa mwingine ili upate mtoto??au mkeo kapata HIV hautaoa mwingine ili akutimizie haja zako??kutooa mara ya pili kwa sababu kama hizo ndio zinapelekea wakristo wengi kutoka nje ya ndoa kwa kutafuta watoto au kutimiziwa haja zao za kimaumbile ambapo unafanya ZINAA eti kisa padre kakataza usioe tena??sasa mnapinga hilo ktk katiba mpya!hamuoni mnaroho mbaya na upendeleo?kwanini msitoe na nyie madai yenu kama hamna udini??

2.Mwaka 1978 nyerere(Laana ya Mwenyezimungu iwe juu yake)aliwaahidi maaskofu kulipa kiapumbele kanisa katoliki TZ kuliko taasisi yoyote TZ.hamuoni yeye alionesha udini??hadi mnataka kumpa utakatifu kwa kuimarisha kanisa TZ??

3.Sisemi saaaana bali padre Dr john c sivalon ktk kitabu chake 'KANISA KATOLIKI NA SIASA ZA TANZANIA BARA' ameelezea ucpendeleo wote na mipango ya kuimariasha kanisa Tz,,halafu leo mnataka usawa tz wakati nyerere ndie alieanzisha udini??

Acheni chuki za kijinga!!

Leo kwenye radio imaan nimemsikia sheikh mmoja anatetea matukio ya vurugu yaliyofanywa na waislam ndipo nikapata mashaka kidogo kuhusu hii dini,inakuwaje kiongozi ambaye ndiye ni mkuu wa dini anatetea vurugu.Then nikajaribu kuangalia na kutatmini nchi duniani ambazo kuna vurugu,ghasia na machafuko yasoisha nikapata jibu.Sijui huwa wanafundishwa nini kwenye nyumba zao za ibada naona mioyo yao imejaa visasi,jazba na vurugu tu.Je tunayoyaona ndiyo matokeo ya mnayofundishwa?.Hao hao wanaojiita wapenda dini mbali na kuchoma makanisa wamegeuka wezi na kuiba vitu mbalimbali.Jiulize jambo gani jema linalotetewa kwa kutenda uasi?

Kiukweli nawasiwasi sana juu ya uelewa wa hawa jamaa.Mwezi ulopita walifanya maandanamo kupinga filamu iliyokuwa inakashifu hiyo dini.Lakin maelfu ya walioshiriki walikuwa hata hawajawahi kuiona wala kujua kilichokuwa kinaongelewa kwenye filamu yenyewe.Hata sasa bado kuna wengi tu ukiwauliza bado hawajui lolote.Nachofahamu dini ya kweli ni ile inayomwandaa mtu mwili,nafsi na roho kumwabudu Mungu (ambaye ni mtakatifu) na unapozidi kujikita zaidi kwenye dini(kumcha Mungu) ndipo unapozidi kutenda mema zaidi.Lakini ukiona unapozidi kubobea na kujikita zaidi katika dini ndivyo na wewe unavyozidi kuwa muasi,hapa kunakuwa na maswali mengi ya kujiuliza kuhusu hiyo dini.
 
Mtasema tu!!lakini mtumiega akili!!

Kama mnataka mumwambie mwanya wenu(pengo) muandamane kwa kuchomewa makanisa yenu!!

Nyie ni waoga!hamana uhakika na dini yenu!!

Na ndio waislam haturudi nyuma ng'ooooooo mpaka mtatoka jasho,,

Ya Rwanda yaje tu!!kwani nyerere alivyoppandikiza chuki za udini hakujua hilo!!

Soma kitabu kimoja kinaitwa 'PUGU MPAKA PERAMIHO' au nilicho kitaja ktk post ya kwanza ndo uone nyie wakristo mlivyojawa udini haswaaaaa

Ponda hakamatwi ng'ooooo

Mtasema sana ila mpaka haki upatikane TZ na ile MOU iliyosainiwa kati ya srkli ya tz na knisa ktolki ndio iliyo jaa udini

Hivyo mi sistajabu saana kwa haya yanayoendelea tz ,,

Rwanda ije Tanzania ili huu udini na mfumo kristo uishe,,

Waislam haturudi nyuma

Dini nyingine bwana!!!..kuombea nchi yako iwe kama Rwanda ndio Imani yao hiyo..No wonder Somalia wamechinjana zaidi ya miaka 20.
 
Mkuu,hata kama ni mtoto,haina maana kwamba ndiyo makanisa yachomwe.Kuna issue ambayo wengi hawajaielewa kwenye tamko la Askofu huyo.Kiukweli ni kwamba hakuna connection yoyote kati ya makanisha hayo na huyo mtoto,ama unamaanisha kwamba huyo mtoto ni wa huyo askofu?

Halafu ametolea mifano mingi tu kuonyesha kwamba ni kama vile kuna mpango maalum wa kutafuta tu sababu za kuwafanyia vuvurugu wananchi wengine hususan wakristo.Katolea mfano wa yale maandamano ya uamsho huko Zanzibar,wakaenda kuchoma makanisa,again,hakuna uhusiano wowote kati ya muungano na kanisa.Na matukio mengine pia aliyoyataja kuanzia huko Kenya,Nigeria na bagamoyo,na hata hilo la Mbagala.

Hakuna justification yoyote kufanya hizo vurugu.Na hata kwenye tamko hapo juu, soma hapo kwenye "wito" wake,ambapo amekema kabisa hatua yoyote ya kuchoma ama kuidhalilisha misaafu ya kidini.Kusema alitakiwa amwite yule kijana amuonye,ni kama kukosa hoja na kutofahamu kuwa unapojikwaa na kuanguka,usijihangaishe kutafuta tatizo kama lipo pale ulipoangukia,bali pa kuchunguza pale ulipojikwaa.Kwa mantiki hiyo,tatizo halipo hapo kwa mtoto,bali tatizo lipo kwanza kwa huyo mtoto aliyemtisha mwenzake na kumpelekea kuraan na kumwambia aikojolee kama hatogeuka kuwa mbuzi ama nyoka,je hayo ndiyo mnayofundisha watoto kwenye nyumba za ibada na madrassa?Hapo ndipo mlipojikwaa,hapo ndipo penye tatizo.Sidhani kama kuna pahala kwenye kuraan kunapomfundisha muislam awaaambie makafiri kwamba mkiikojolea kuraana basi mtageuka mbuzi,panya ama nyoka.
Mkuu umesoma nami nimesoma na sote tunatafsiri tofauti.. Binafsi yangu sipendi mtu anayetazama upande mmoja pasipo kuomba msamaha kwa kosa ambalo yeye mwenyewe anajua ni kosa lakini analiacha kama lilivyo..

Nimesema na nitarudia kusema kwamba yule mtoto ni victim wa mafundisho alopewa, haiwezekani kabisa ktk historia ya nchi yetu haijawahi kutokea mtoto kukojolea Msahafu.Maelezo ya Askofu kwamba hakuna mahusiano hata mimi naweza kudai vile vile kuwa walochoma makanisa walikuwa ni watu wenye hasira (plea of insunity) na hawana uhusiano na Uislaam au msikiti. Yule Sheikh angeweza kusema hivyo lakini ametokea kiongozi wa dini na kulaani kitendo kile, nasi sote tunalaani lakini nothing from the otherside hata kuzungumza na yule kijana kumtazama akili zake, kujua why he did that na kumkanya kutofanya kitendo kama kile tena ila anakuwa defended wakati mnajua fika kuwa ni makosa makubwa (Blasphemy)yalifanywa na yule kijana..

Sijasikia kiongozi yeyote wa dini akilaani kitendo hicho isipokuwa kuchoma vitendo vya kuchoma makanisa wakati mnajua fika tuna chuki kubwa baina ya waumini wa dini hizi leo kijana ameonekana hero maana JK kasema tu kijana alikosea viongozi na wakristu wanamwona hana akili..Mtoto wa miaka 14 anatia mimba ni mtoto wa darasa la saba pengine Form 1 au 2 na anajua vizuri anachokifanya.

Sasa huyu askofu anasema kuna mpango maalum, huu mpango umetoka wapi ikiwa aloanza kukojolea Msahafu ni Mkristu? Ebu Mushi1 nambie tukiachana na sehemu ambazo tayari udini umesababisha vita maana hatujui chanzo, lakini umewahi kusikia Muislaam akikojolea Biblia hata mtoto wa miaka 10, akimtukana Yesu matusi kwa mnayomtukana Muhammad ilihali hawa ni viongozi wa dini zetu. Kwa nini Muslims hawafanyi hivyo lakini mnajali sana wanapo react while hakuna mtu toka upande mwingine amewahi kuchoma Biblia wala kuikojolea..Leo hii hapa JF mtukane Dr.Slaa halafu utaona majibu yao na nina hakika ukiwa karibu yao watakuvaa iwe vipi vigumu wenu kuelewa kwamba huwezi kumtukana Mtume wa imani usoiabudu kwa sababu tu huwapendi waja wake..

Halafu hamuambiliki, kila siku ni kutazama upande wa pili wakati ya upande huo yanakingiwa kifua. Wewe nambie lolote kuhusu Sheikh yeyote iwe hata Ponda au sheikh Mkuu nitamtoa makosa lakini sio kwa Mkristu, Askofu ni saint hawezi kusema baya wala kosa..jamani they are human na wanafanya mabaya na wanaweza sema lolote lile lisiwafurahishe watu wengine na wanaweza fanya madhambi tena mabaya kuliko wewe..Hawa ndio wametufikisha hapa tulipo leo, hawa viongoz wa dini kwa mahubiri yao na hasa kuingilia siasa. I have been there bro, They are all human..
 
nawajaribu waone, wanachokozwa kusudi ili wajubu wafanyiwe kweli kukaa kwao kimya ndio salama yao hiyo jamaa wanausongo Nao kweli.

Hasira za kuchelewa hizo,lakini ni wenyewe mlichagua elimu akhera sio kosa la wakristo,
wakristo wanawaza maendeleo sio kula Urojo.
 
Nadhan wakristo mnatakiwa kuwa na hoja si matusi tu,ndio maana mnashindwa hoja na chuki zenu juu ya uislamu mnaishia kukashfu,tu, mara kuchoma quran,kukujolea,kutumbukiza chooni, hii inatokana na mtu kundi fualani kukosa hoja ya kutetea jambo lake,huwezi ukukuta muislamu anakojela biblia au kutukana kiongoazi wa kikristo hovyo,kwani dinni hii inajieleza na wala haitaki kuelezwa.

Waislamu wanakashif sana Ukristo sema kwa vile wakristo huwa wanapuuzia,Hivi unaijua peace TV wewe!...kutwa kukashifu ukristo ingekuwa ndio waislam ingeshachomwa Moto.
 
Mkandara said:
Mkuu umesoma nami nimesoma na sote tunatafsiri tofauti.. Binafsi yangu sipendi mtu anayetazama upande mmoja pasipo kuomba msamaha kwa kosa ambalo yeye mwenyewe anajua ni kosa lakini analiacha kama lilivyo..
Sijakuelewa unaposema hajaomba msamaha,kama ni kukemea vitendo hivyo,basi amefanya hivyo.Hawezi kumwombea msamaha mtoto ambaye hata hamfahamu,na siyo muumini wa dhehebu lake.Sidhani kama kanisa lake linatoa mafundisho kama hayo,na sidhani kama anatakiwa amwombee msamaha mtoto na wakati ana wazazi wake.Jukumu hilo ni la wazazi wa mtoto yule.
Mkandara said:
Nimesema na nitarudia kusema kwamba yule mtoto ni victim wa mafundisho alopewa,
Mkuu mafundisho aliyopewa na nani?Na huyo aliyemdare akojolee kuraan?Ama unataka kusema mtoto yule alipewa msaafu huko kanisani akaambiwa aende kuukojolea?Je aliyetoa msahafu ni mtoto muislam?Na kama ndivyo,je hivyo ndivyo alivyofundishwa madrassa?

Mkandara said:
haiwezekani kabisa ktk historia ya nchi yetu haijawahi kutokea mtoto kukojolea Msahafu.Maelezo ya Askofu kwamba hakuna mahusiano hata mimi naweza kudai vile vile kuwa walochoma makanisa walikuwa ni watu wenye hasira (plea of insunity) nahawana uhusiano na Uislaam au msikiti .
Mkuu wana uhusiano na msikiti kwa kutumia mantiki ya "cause and effect",mtoto alikojolea kuraan baada ya kuambiwa na mtoto mwenzake ambaye ni muislam,makanisa yakachomwa baada ya waumini hao wa upande wa mtoto muislam kuzipata taarifa hizo.
Mkandara said:
Lakini ametokea kiongozi wa dini na kulaani kitendo kile, nothing from otherside hata kuzungumza na yule kijana na kumkanya kutofanya ktendo kama kile ila anakuwa defended wakati mnajua fika kuwa ni makosa makubwa (Blasphemy)yalifanywa na yule kijana..Sijasikia kiongozi yeyote wa dini akilaani kitendo hicho isipokuwa kuchoma vitendo vya kuchoma makanisa wakati mnajua fika tuna chuki kubwa baina ya waumini wa dini hizi..
Si kweli mkuu,nilikwambia usome kwenye "wito"
WITO WANGU

Natoa wito kwa Wakristo wote nchini kujiepusha na mizaha inayoweza kutengeneza sababu za kulipuka kwa ghasi na kutengeneza mwanya wa watu wenye nia mbaya kutekeleza agenda zao zaria Ili kulinda amani umoja na utengemano wetu, nawasihi viongozi wa makanisa kuonya na kukemea waumini na watoto wetu wasishiriki kwa namna yoyote ile mizaha inayopelekea kuchoma au kuharibu vitabu au nyaraka za kidini.

Nawasihi watanzania wote kwa ujula kujiepusha na mizaha ya kidini inayoweza kuchafua amani yetu, na pale jambo lolote lenye kukera linapotokea tujiepushe kuwa mawakala wa shetani wa kueneza chuki badala ya amani na upendo.

Mkandara said:
Sasa mppango maalum umetoka wapi ikiwa aloanza kukojolea Msahafu ni Mkristu?

Aliyempa huyo mtoto msaafu ili aukojolee ni mkristo?
Mkandara said:
Enu Mushi1 mnambie tukiachana na sehemu ambzo tayari udini umesababisha vita, umewahi kusikia Muislaam akikojolea Biblia hata mtoto wa miaka 10,
Mkuu sidhani kama mtoto mkristo anaweza kuipeleka biblia kwa mtoto wa kiislam na kumwambia aikojolee kuona kama atageuka kuwa mbuzi ama nyoka.Kama una mfano huo,uweke hapa.

Mkandara said:
akimtukana Yesu matusi mnayomtukana Muhammad ilihali hawa ni viongozi wa dini zetu. Leo hii hapa JF mtukane Dr.Slaa halafu utaona majibu yao na nina hakika ukiwa karibu yao watakuvaa iwe vipi vigumu wenu kuelewa kwamba huwezi kumtukana Mtume wa imani usoiabudu kwa sababu tu huwabendi waja wake..
Mkuu nisikufiche,ikija kwenye nchi yetu,wenye kutukana mitume wa wenziyo wanaongozwa na ndugu zetu waislam.Mihadhara,cd,na hata radio na magazeti yenye kuspread hizo chuki.Licha ya kwamba sasa hivi imeshageuka na kuwa suala la pande zote,lakini mimi nakumbuka kwa uzoefu wangu,waliokuwa wakifanya mihadhara ya kukashifu wengine ni waislam,sasa imeshashageuka na kuna wanaomkashifu mtume wa waislam.Binafsi sikuwahi kuona shida ya mkristo kuishi side by side na muislam,lakini musilam ni shida kukubali kuishi kwa amani na mtu asiye wa imani yake(kafiri/infidel),ndiyo maana kuna hata haya mambo ya mfumo kristo nk
Mkandara said:
Halafu hamuambiliki, kila siku ni kutazama upande wa pili wakati ya upande huo yanakingiwa kifua. Wewe nambie lolote kuhusu Sheikh yeyote iwe hata Ponda au sheikh Mkuu nitamtoa makosa lakini sio kwa Mkristu, Askofu ni saint hawezi kusema baya wala kosa..jamani they are human na wanaweza sema lolote lile lisiwafurahishe watu wengine na wanaweza fanya madhambi tena mabaya kuliko wewe..Hawa ndio wametufikisha hapa tulipo leo, hawa viongoz wa dini kwa mahubiri yao na hasa kuingilia siasa. I have been there bro, They are all human..
Nakubali they are all human,lakini ukiondoa uongozi wa dini,kuna kitu kinaitwa hekima na busara.Sikubaliani na masheick wanaohubiri chuki dhidi ya dini nyingine.Sijawahi kusikia askofu akihubiri chuki ya wazi dhidi ya dini nyingine,na ninazungumzia nchini mwetu Tanzania ambapo tulikuwa na udugu na umoja wa kitaifa.Kama unataka,niwekee mifano na mimi nikuwekee mifano.Lete kauli iwe audio,video ama hata scripts,halafu na mimi nikuletee,maana hata sitopata shida kutafuta,nitaanza na Ponda hata kabla sijawatafuta uamsho.Usidhani hao watu wanachoma makanisa bure,ni kwamba wamelishwa chuki na hao wanaoitwa viongozi wa dini(masheick),ndo ukweli huo.Umeshaona wakristo wakichoma misikiti?Kujilipuwa ili tu wauwe wasio na imani zao?
 
Huyu askofu hatumii akili??kwahiyo matukio wanayofanya waislam ni ya kishetani??yeye amesahau serikali ilivyowafanyia waislam mwembe chai??mbona sisi hatukusema ni tukio la kishetani??na waliochoma makanisa znz si UAMSHO bali askari toka bara,na picha zao zipo wakiwa wameshika mizinga ya moto!!

Kama dini yenu si ya kibaguzi kwa nini mkanushe madai ya waislam ktk katiba mpya??
1.Kuoa mke zaidi ya mmoja mnapinga!hivi hamfikirii kiundani??ikitokea mkeo anamaradhi ya kudumu(ugumba)halafu wewe unataka mtoto au ndugu zako utamuacha mkeo au utaoa mwingine ili upate mtoto??au mkeo kapata HIV hautaoa mwingine ili akutimizie haja zako??kutooa mara ya pili kwa sababu kama hizo ndio zinapelekea wakristo wengi kutoka nje ya ndoa kwa kutafuta watoto au kutimiziwa haja zao za kimaumbile ambapo unafanya ZINAA eti kisa padre kakataza usioe tena??sasa mnapinga hilo ktk katiba mpya!hamuoni mnaroho mbaya na upendeleo?kwanini msitoe na nyie madai yenu kama hamna udini??

2.Mwaka 1978 nyerere(Laana ya Mwenyezimungu iwe juu yake)aliwaahidi maaskofu kulipa kiapumbele kanisa katoliki TZ kuliko taasisi yoyote TZ.hamuoni yeye alionesha udini??hadi mnataka kumpa utakatifu kwa kuimarisha kanisa TZ??

3.Sisemi saaaana bali padre Dr john c sivalon ktk kitabu chake 'KANISA KATOLIKI NA SIASA ZA TANZANIA BARA' ameelezea ucpendeleo wote na mipango ya kuimariasha kanisa Tz,,halafu leo mnataka usawa tz wakati nyerere ndie alieanzisha udini??

Acheni chuki za

Mungu akujali neema, upate kufunguliwa kutoka minyororo ya chuki na ubaguzi.
 
Kwa nini hamkusema ni tukio la kishetani. kama hamkusema nawatangulia kusema lile ni tukio la kishetani, tena sio hilo tu kuna mengi mengine kama kuwaweka ndani akina Juma Haji Duni bila mashtaka kwa miaka mitatu- ni ushetani, kuua waandamanaji wa CUF kwa kupinga kumuibia kura Seif Zanzbar mwaka 2000 ni ushetani, kuiba pesa benki kuu kupitia EPA ni ushetani, kuiba twiga wetu kuwauzia waarabu ni ushetani. Kuwatuma polisi kuua wananchi kwenye mikutano ya CHADEMA ni ushetani. Ushetani ni ushetani tu, uwe umetendwa na mkristo,mwislam au mpagani haijalishi.
kwa waumini wanaoamini huu ujinga si rahisi kuwa sawa na wengine wasifundishwa huu ujinga
Qur'an, Hadith and Scholars:Islamic Silliness - WikiIslam
 
Back
Top Bottom