Askofu mkuu wa kanisa la TAG atoa tamko kuhusu chokochoko za udini

Mtasema tu!!lakini mtumiega akili!!

Kama mnataka mumwambie mwanya wenu(pengo) muandamane kwa kuchomewa makanisa yenu!!

Nyie ni waoga!hamana uhakika na dini yenu!!

Na ndio waislam haturudi nyuma ng'ooooooo mpaka mtatoka jasho,,

Ya Rwanda yaje tu!!kwani nyerere alivyoppandikiza chuki za udini hakujua hilo!!

Soma kitabu kimoja kinaitwa 'PUGU MPAKA PERAMIHO' au nilicho kitaja ktk post ya kwanza ndo uone nyie wakristo mlivyojawa udini haswaaaaa

Ponda hakamatwi ng'ooooo

Mtasema sana ila mpaka haki upatikane TZ na ile MOU iliyosainiwa kati ya srkli ya tz na knisa ktolki ndio iliyo jaa udini

Hivyo mi sistajabu saana kwa haya yanayoendelea tz ,,

Rwanda ije Tanzania ili huu udini na mfumo kristo uishe,,

Waislam haturudi nyuma
 
Pure Number;4826088]Huyu askofu hatumii akili??kwahiyo matukio wanayofanya waislam ni ya kishetani??yeye amesahau serikali ilivyowafanyia waislam mwembe chai??mbona sisi hatukusema ni tukio la kishetani??na waliochoma makanisa znz si UAMSHO bali askari toka bara,na picha zao zipo wakiwa wameshika mizinga ya moto!!
kuchoma kanisa, kung'ang'ania upewe mtu umuue ni tukio la KIMUNGU SIO?
Pure Number;4826088] Kama dini yenu si ya kibaguzi kwa nini mkanushe madai ya waislam ktk katiba mpya??
1.Kuoa mke zaidi ya mmoja mnapinga!hivi hamfikirii kiundani??
kuoa mke mmoja mnapinga hivi hamfikirii?
Pure Number;4826088]ikitokea mkeo anamaradhi ya kudumu(ugumba)halafu wewe unataka mtoto au ndugu zako utamuacha mkeo au utaoa mwingine ili upate mtoto??au mkeo kapata HIV hautaoa mwingine ili akutimizie haja zako??kutooa mara ya pili kwa sababu kama hizo ndio zinapelekea wakristo wengi kutoka nje ya ndoa kwa kutafuta watoto au kutimiziwa haja zao za kimaumbile ambapo unafanya ZINAA eti kisa padre kakataza usioe tena??sasa mnapinga hilo ktk katiba mpya!
hivi unaoa mke bila kupima nae kama ni mgumba au la? umeenda shule?
mkeo anuguaje HIV? ikitokea ameugua ujue ametoka nje ya ndoa, je hii si sawa na angekuwa ameolewa na wanaume wengi?
unaoa kutimiza haja zako?
mwanzo kabisa Mungu aliumba wanawake wangapi kwa ajili ya Adam?
hamuoni mnaroho mbaya na upendeleo?kwanini msitoe na nyie madai yenu kama hamna udini??
tumetoa maoni lakini yanayohusu taifa na sio yetu binafsi kama 'dini' nani mdini hapo?

2.Mwaka 1978 nyerere(Laana ya Mwenyezimungu iwe juu yake)aliwaahidi maaskofu kulipa kiapumbele kanisa katoliki TZ kuliko taasisi yoyote TZ.hamuoni yeye alionesha udini??hadi mnataka kumpa utakatifu kwa kuimarisha kanisa TZ??
hata kama ni kweli kwa hiyo mnachoma makanisa ya nyerere? mnamkomoa nyerere?nadhani unahitaji busara kujua kuwa huwezi kupata upendelea kupitia kuchoma...

3
.Sisemi saaaana bali padre Dr john c sivalon ktk kitabu chake 'KANISA KATOLIKI NA SIASA ZA TANZANIA BARA' ameelezea ucpendeleo wote na mipango ya kuimariasha kanisa Tz,,halafu leo mnataka usawa tz wakati nyerere ndie alieanzisha udini??
hapo kwenye red nlifikiri ninyi ndio mnadai hilo?
halafu hicho kitabu ulishawahi kukisoma kweli?maana naona dizaini kama kuna mapungufu namna unavyo quote
Acheni chuki za kijinga!!
hapo mwishoni nafikiri labda unawaambia wenzio walochoma makanisa,...
samahani kama nimekukwaza au kuku 'attack'
 
4. Kupigana kufa na kupona kutetea maslahi yao wakati huu wa kuandaa katiba mpya.

Kauli hizo zilitolewa na Sheikh Nasoro Mohamed, kutoka Zanzibar, ambaye alikuwa mgeni rasmi. Baadaye zikaandaliwa kanda za CD zilizosambaza ujumbe huo.

.....Kwa nini ghafla bin vuu JK akaamka na kusema anataka katiba mpya kabla hajaondoka madarakani? Nina uhakika hili halikuwa wazo la CCM na wala halikuwa lake. kwa maana tunavyomjua alivyo mwepesi kweye kuahidi basi kama lingekuwa wazo lake angeshaliahidi mahala fulani wakati wa kampeni. Alipata wapi wazo hili ghafla vile? nani alimshika masikio? kwa ajili ya nini hasa? ....tusubiri, yatajifunua tu!
 
Mtasema tu!!lakini mtumiega akili!!

Kama mnataka mumwambie mwanya wenu(pengo) muandamane kwa kuchomewa makanisa yenu!!

Nyie ni waoga!hamana uhakika na dini yenu!!

Na ndio waislam haturudi nyuma ng'ooooooo mpaka mtatoka jasho,,

Ya Rwanda yaje tu!!kwani nyerere alivyoppandikiza chuki za udini hakujua hilo!!

Soma kitabu kimoja kinaitwa 'PUGU MPAKA PERAMIHO' au nilicho kitaja ktk post ya kwanza ndo uone nyie wakristo mlivyojawa udini haswaaaaa

Ponda hakamatwi ng'ooooo

Mtasema sana ila mpaka haki upatikane TZ na ile MOU iliyosainiwa kati ya srkli ya tz na knisa ktolki ndio iliyo jaa udini

Hivyo mi sistajabu saana kwa haya yanayoendelea tz ,,

Rwanda ije Tanzania ili huu udini na mfumo kristo uishe,,

Waislam haturudi nyuma
hatimaye nimefahamu kwanini tanzania ni masikini na CCM inaendelea kushinda
 
Waislamu sijui malezi yao ya Kiroho wanafundishwaje! Huyu kafunguka yeye akijua anaongea point kumbe kwa mwenye Imani ya Ki-kristu hajamuelisha lolote. Je unafikiri muwako wako wa tamaa ya kimwili ni mwema Kiroho?. Kaa chini fikilia wewe ni wangapi kuwepo duniani na waliokutangulia wako wapi? ama unafikiri maisha ya kimwili ni marefu kama yalivyo ya kiroho?. Kwa taarifa fupi kwako ' Mwili wawezo kuangamia wakati wowote lakini Roho i hai wakati wote'' Ndo maana hata nyinyi mnaamini ipo siku mtakuja kuonana na Mtume wenu. Au unafikiri mtakuja kuonana kimwili kama alivyokuwa awali?. Kama ndivyo basi hayo ni mawazo mugando na hayana tofauti na ya yule mtoto mwenye Imani ya Quaran aliyepuuza Imani yake na kumpa asiye na Imani ya Quaran aikojolee, kwa hali hii nawe waweza fanya ivyo. Samahani usije ukalianzisha sijakutukana bali najitahidi kukuelimisha kama itawezekana lakini.
 
Huyu askofu hatumii akili??kwahiyo matukio wanayofanya waislam ni ya kishetani??yeye amesahau serikali ilivyowafanyia waislam mwembe chai??mbona sisi hatukusema ni tukio la kishetani??na waliochoma makanisa znz si UAMSHO bali askari toka bara,na picha zao zipo wakiwa wameshika mizinga ya moto!!

Kama dini yenu si ya kibaguzi kwa nini mkanushe madai ya waislam ktk katiba mpya??
1.Kuoa mke zaidi ya mmoja mnapinga!hivi hamfikirii kiundani??ikitokea mkeo anamaradhi ya kudumu(ugumba)halafu wewe unataka mtoto au ndugu zako utamuacha mkeo au utaoa mwingine ili upate mtoto??au mkeo kapata HIV hautaoa mwingine ili akutimizie haja zako??kutooa mara ya pili kwa sababu kama hizo ndio zinapelekea wakristo wengi kutoka nje ya ndoa kwa kutafuta watoto au kutimiziwa haja zao za kimaumbile ambapo unafanya ZINAA eti kisa padre kakataza usioe tena??sasa mnapinga hilo ktk katiba mpya!hamuoni mnaroho mbaya na upendeleo?kwanini msitoe na nyie madai yenu kama hamna udini??

2.Mwaka 1978 nyerere(Laana ya Mwenyezimungu iwe juu yake)aliwaahidi maaskofu kulipa kiapumbele kanisa katoliki TZ kuliko taasisi yoyote TZ.hamuoni yeye alionesha udini??hadi mnataka kumpa utakatifu kwa kuimarisha kanisa TZ??

3.Sisemi saaaana bali padre Dr john c sivalon ktk kitabu chake 'KANISA KATOLIKI NA SIASA ZA TANZANIA BARA' ameelezea ucpendeleo wote na mipango ya kuimariasha kanisa Tz,,halafu leo mnataka usawa tz wakati nyerere ndie alieanzisha udini??

Acheni chuki za kijinga!!

Huu ni umaskini wa fikra
 
Mtasema tu!!lakini mtumiega akili!!

Kama mnataka mumwambie mwanya wenu(pengo) muandamane kwa kuchomewa makanisa yenu!!

Nyie ni waoga!hamana uhakika na dini yenu!!

Na ndio waislam haturudi nyuma ng'ooooooo mpaka mtatoka jasho,,

Ya Rwanda yaje tu!!kwani nyerere alivyoppandikiza chuki za udini hakujua hilo!!

Soma kitabu kimoja kinaitwa 'PUGU MPAKA PERAMIHO' au nilicho kitaja ktk post ya kwanza ndo uone nyie wakristo mlivyojawa udini haswaaaaa

Ponda hakamatwi ng'ooooo

Mtasema sana ila mpaka haki upatikane TZ na ile MOU iliyosainiwa kati ya srkli ya tz na knisa ktolki ndio iliyo jaa udini

Hivyo mi sistajabu saana kwa haya yanayoendelea tz ,,

Rwanda ije Tanzania ili huu udini na mfumo kristo uishe,,

Waislam haturudi nyuma

UKO SAHIHI, SAWA NA NENO LA MUNGU (MWANZO 16:9-12)

9 Ndipo malaika wa BWANA akamwambia,
'‘Rudi kwa bibi yako ukajishushe chini yake.''
10 Malaika akaendelea akasema, '‘Nitazidisha
wazao wako kwamba watakuwa wengi mno wasiohesabika.''
11 Pia malaika wa BWANA akamwambia:

"Wewe sasa una mimba
nawe utamzaa mwana.
Utamwita jina lake Ishmaelia,
kwa sababu BWANA amesikia juu
ya huzuni yako.
12 Atakuwa punda mwitu katikati ya wanadamu,
mkono wake utakuwa dhidi ya kila mtu
na mkono wa kila mtu dhidi yake,
naye ataishi kwa uhasama na ndugu zake wote.''
 
Ahsante sana baba askofu kwa busara zako, tutaendelea kuwa wavumilivu na kuzidisha kufunga na kuomba ili tuyashinde mapepo na nguvu za giza yanayotaka kuizunguka Tanzania
 
Oktoba 12 mwaka huu, matukio mabaya na yenye kutia doa sifa ya amani umoja na Utengemano wa Taifa la Tanzania, yalijitokeza huko Mbagala Jijini Dar es Salaam, wakati watu wenye jazba wanaoaminika kuwa ni Waislamu wenye msimamo mkali walipovamia makanisa saba ...na kuyachoma moto eti kwa kulipiza kisasi cha mtoto aliyekojolea kuran katika utani wa kitoto.

Katika mkasa huo ambao ni kama muendelezo wa ghasia zingine zilizotokea kule Zanzibar miezi michache iliyopita na kuteketeza makanisa mbalimbali mbali na kuharibu mali za kanisa na zile za watu binafsi.

Tukio la Mbagala limesababisha makanisa saba kuharibiwa vibaya, mali kuibiwa na hata kuhatarisha maisha ya watanzania na kuwafanya waishi kwa hofu na kupoteza matumaini.

CHANZO CHA TUKIO

Kwa mujibu wa walioshuhudia, Polisi na wahusika (Waislamu) chanzo cha ghasia hizo na mabishano ya kitoto baina ya watoto wa dini ya Kiislamu na kikristo, waliobishana kuwa ikiwa mtu atakojolea kuran na kuitemea mate atageuka mbuzi au nyoka.

Lakini baada ya tukio hilo la kitoto watu walilikuza na kulipeleka kwenye misikiti na hivyo kuchocheza ghasia. Kimsingi tukio lenyewe ni jepesi sana ukilinganisha na matokeo yake. Ukweli kwamba waliofanya utani huo ni watoto na chanzo chake ni mabishano ya kitoto, unatia shaka kuwa huenda kuna hoja nyuma ya pazia ambayo isipotazamwa kwa makini inaweza kulete matokeo mabaya sana.

Jambo linalonitia shaka ni kufanana kwa matukio ya kuchomwa moto kwa makanisa ya Zanziabar na ya Mbagala ambapo hakukuwa na uhusiano wa vyanzo vya ghasia na makanisa husika.

Mfano; Ghasia za Zanzibar zilizopelekea kuangamizwa kwa makanisa zinaelezwa kuwa zilitokana na kikundi cha Kiislamu cha Uamsho wa Mihadhara, kilichokuwa kikiandamana kudai mjadala wa Muungano, lakini zikaishia kwenye uchomaji wa makanisa, hapa hauonekani uhusiano wa kanisa na Muungano; nalazimika kujiuliza kulikoni?

Vivyo hivyo tukio la Mbagala halina uhusiano wa moja kwa moja na kanisa kwa kuwa hakuna ushahidi wala hata tetesi kuwa mtoto huyo alitumwa na kanisa lolote. Wahusika wa dini ya Kiislamu akiwepo Sheikh Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, analielezea tukio la kitoto kama lisilostahili hata mtu kufunguliwa mashtaka bali kuelekezwa tu. Ni vipi lisababishe uchomaji wa makanisa?

MAKANISA YALIYOCHOMWA MOTO

Katika ghasia hizo za aina yake, makanisa saba yamethibitishwa kuharibiwa kwa kuchomwa moto, kupasuliwa vioo, viti na kuibiwa vyombo vya muziki na jenereta. Makanisa hayo ni TAG Kizuiani, Agape, Kibonde maji, SDA Sabato, Mbagala Kizuiani, Katoliki Kristo Mfalme Mbagala Rangi Tatu, Anglican Mbagala Kizuiani, KKKT, Mbagala Zakhem na TAG, Shimo la Mchanga.

Pamoja na majengo hayo kubomolewa kwa viwango tofauti mengine yakichomwa moto, pia wahusika waliiba Genereta, na vyombo vya muziki vya makanisa hayo na kuvunja magari na baadhi yao kuchomwa moto.

Choko choko zilizinazoweza kuwa chanzo cha matukio hayo ni:

Januari sita mwaka huu, kikundi kimoja kinachoitwa JUAKITA, kiliitisha kongamano la kujadili katiba mpya Tanzania, kwa upande wa Waislamu. Katika kongamano hilo lililofanyika kwenye Ukumbi wa Diamond Jubilee, Dar es Salaam kulitolewas kauli za kichozi kama:

1. Lazima Rais ajaye atoke Zanzibar
2. Kukabiliana na ukuaji wa kasi wa dini ya Kikristo
3. Kupinga Muungano ili kuupa nguvu Uislamu
4. Kupigana kufa na kupona kutetea maslahi yao wakati huu wa kuandaa katiba mpya.

Kauli hizo zilitolewa na Sheikh Nasoro Mohamed, kutoka Zanzibar, ambaye alikuwa mgeni rasmi. Baadaye zikaandaliwa kanda za CD zilizosambaza ujumbe huo.

Uchunguzi unaonesha kuwa uchochezi huu umekuwa ukiwaandaa watu kusubiri vijitukio vidogo tu ili kulipua ghasi. Tuliona jinsi makanisa yalivyochomwa kule Zanzibar. Kwa kuwakumbusha tu, Makanisa yaliyoangamizwa katika tukio hilo ni: EAGT, Elimu Pentecost na TAG, Anglikana, Katoliki na FPCT.

Ni jambo la kusikitisha kuwa matukio haya yanatokea siku mbili tu kabla ya maadhimisho ya miaka 13, ya kifo cha Rais wa Kwanza, Mwl. Julius kambarege Nyerere. Leo hotuba na midahalo inarindima kila mahali kumuenzi Nyerere, lakini wengi wetu tukiwa tumejaa majozi baada ya nyumba zetu za ibada kuharibiwa katika matukio yanayoashiri hatari kubwa.

Hofu yangu ni kuwa, roho hii ya ubaguzi wa kidini ambayo Baba wa Taifa hayati Mwl. Julius Kambarage Nyerere aliifananisha na dhambi ya kula nyama ya mtu, imekuwa ikiyatafuna mataifa ya Afrika kama ifuatavyo:

  1. Mwaka 2000, vuguvugu la kuanzishwa kwa utawala wa Kiislamu (Sharia), lilianza kwenye majimbo ya Kaskazini mwa Nigeria, miaka michache baadaye majimbo kadhaa yakajitangazia sheria hizo na tangu wakati huo kumekuwa na mapambano yasiyoisha. Takwimu zinaonesha kuwa katika miaka ya karibuni zaidi ya Wakristo 500 wameuawa kikatili na makanisa kuchomwa moto.
  2. Roho hii imekuwa ikienea kwa kasi katika maeneo mbali mbali ya Afrika ambapo imelikumba taifa la Mali, majimbo ya kaskazini tayari yametangaza kujitenga na kuna vuguvugu lenye kuhusisha mapigano ya silaha.
  3. Itakumbukwa kuwa miezi michache tu ilizopita vuguvugu hili la kudai utawala wa kidini liliibuka nchini Kenya ambapo watu wanaojiita wanaharakati walianzisha madai ya kutaka eneo la Pwani kujitenga na Jamhuri ya Kenya na kujitangazia taifa la Kiislamu.
  4. Katika tukio hilo inasemekana mtoto huyo alitengenezewa mabishano ya kitoto kuwa akichoma kurani atakuwa chizi naye akabisha kisha akapewa kiberiti na kurani akachoma tena walioandaa mzaha huo wakamkamata na kumpeleka mahakamani.

Tukio linalofanana na hilo lilitokea tena Bagamoyo mkoani Pwani ambapo mtoto wa kike alishtakiwa na hata kuhukumiwa kifungo kwa madai ya kuchoma kuran lakini tukio lilikuwa katika mabishano ya midhaha ya kitoto.

WITO WANGU

Natoa wito kwa Wakristo wote nchini kujiepusha na mizaha inayoweza kutengeneza sababu za kulipuka kwa ghasi na kutengeneza mwanya wa watu wenye nia mbaya kutekeleza agenda zao zaria Ili kulinda amani umoja na utengemano wetu, nawasihi viongozi wa makanisa kuonya na kukemea waumini na watoto wetu wasishiriki kwa namna yoyote ile mizaha inayopelekea kuchoma au kuharibu vitabu au nyaraka za kidini.

Nawasihi watanzania wote kwa ujula kujiepusha na mizaha ya kidini inayoweza kuchafua amani yetu, na pale jambo lolote lenye kukera linapotokea tujiepushe kuwa mawakala wa shetani wa kueneza chuki badala ya amani na upendo.

USHAURI WANGU KWA SERIKALI NA VIONGOZI

Nawashauri viongozi wa Serikali ambao leo wanatoa matamko na kushiriki midahalo ya kumuenzi Mwl. Nyerere kukumbuka kuwa huyo alikuwa na mapenzi makubwa na amani na umoja wa taifa. Kwa hiyo kumuenzi kwa vitendo ni kudumisha utawala bora, unaofuata sheria usio na chembe ya ubaguzi wa aina yoyote.

Kulipuka majukwaani kumuenzi Nyerere bila kuilinda na kuitetea amani ya nchi ni kujidanganya.

Ni wajibu wa kila Mtanzania kutii sheria na mamlaka kwa kuwa zimewekwa/kuruhusiwa na Mungu, hivyo kuziasi ni Kumuasi Mungu, yaani ni dhambi. Hivyo kila Mtanzania anastahili kukumbuka wajibu wake wa kutii mamlaka.

Viongozi wenzangu wa dini wakumbuke kuwa wana wajibu mkubwa katika jamii, na jamii inawasikiliza hivyo ni vyema wakawa makini katika matamshi na maelekezo yao ili wasiwe chanzo cha kuchochea vurugu za kidini na uvunjaji wa amani.

Pia ningependa kuwashauri viongozi wa serikali kusimama imara katika kusimamia sheria na haki, na kuepuka kauli au vitendo vitakavyofanya baadhi ya watanzania kudhani kuwa hawatendewi haki.

Ni vema ieleweke kuwa matukio kama haya ya uvunjaji wa amani yasipodhibitiwa na kukomeshwa haraka yanaweza kuumba chuki ambayo inaweza kuibua mlipuko mkubwa na machungu kwa wananchi na matokeo yake yakawa mabaya kwa Taifa zima. Hekima na busara inatufundisha kuwa tusipoziba ufa tutajenga ukuta.

Ni vyema wenye dhamana ya kuongoza wakakumbuka kuwa wanawajibu mbele ya Mungu aliyewaweka au kuwaruhusu kuingia madarakani na siku moja watatoa hesabu mbele zake.

Ni vyema viongozi wa Serikali wakajizuia kufanya maamuzi yanayoashiria upendeleo kwa baadhi ya makundi ya kidini na kukiuka utawala wa sheria, mfano; kutii waandamanaji na kuwaachia bila mashrti watu waliokamatwa kwa mujibu wa sheria kuna jenga kiburi kwa makundi yenye kiu ya matumizi ya nguvu na kujenga hofu kwa pande zingine.

Ni vyema mamlaka zikasiamama katika sheria na kufanya hukumu kulingana sheria badala ya kuamua mambo ya kisheria kisiasa.

WITO MAALUMU KWA VIONGOZI WA DINI

Nitumie nafasi hii kuwasihi vingozi wenzangu wa dini, kusimama imara katika kuombea taifa na kuhubiri kwa nguvu ili kukabiliana na giza la kiroho ambalo linatishia kuifunika nchi.

Takwimu za karibuni kabisa za utafiti uliofanywa na taasisi ya Washnton DC iitwayo, Pew Research Centre, na kurushwa na Televisheni ya CNN, Katika kipindi chake cha Inside Africa, zilionesha kuwa watanzania asilimia 93, wanaamini mambo ya ushirikina na uchawi wakati Uganda ni asilimia 29 na Kenya ni asilimia 27 Tu. Mahali ambapo giza la kiroho limezingira kiasi hiki ni lazima matukio ya kishetani yashamiri tuchukue hatua.

Mwisho, natoa wito kwa watanzania wenzangu tuulinde umoja, amani na utengamano wa taifa letu, tuikimbie dhambi ya ubaguzi kwa kuwa tukiiruhusu itatuangamiza sote. Tuliombee taifa letu na kukiwa na mbegu ya chuki tuimalize kwa njia ya majadiliano na vikao vya pamoja vinavyohusisha viongozi wa dini zote na serikali pia.

Imetolewa leo 14/10/2012
Na Dk. Barnabas Mtokambali
Askofu Mkuu wa TAG

Source: wavuti.com - wavuti

Amen mtumishi.

Hii ndiyo kauli iliyombeba mwanakondoo (Yesu) na ku-portray Ukristo wa kweli.
Kauli za visasi kutoka kwa baadhi ya wanaojiita Wakristo humu JF si kauli za Kikristo hata kidogo!
 
Huyu askofu hatumii akili??kwahiyo matukio wanayofanya waislam ni ya kishetani??yeye amesahau serikali ilivyowafanyia waislam mwembe chai??mbona sisi hatukusema ni tukio la kishetani??na waliochoma makanisa znz si UAMSHO bali askari toka bara,na picha zao zipo wakiwa wameshika mizinga ya moto!!

Kama dini yenu si ya kibaguzi kwa nini mkanushe madai ya waislam ktk katiba mpya??
1.Kuoa mke zaidi ya mmoja mnapinga!hivi hamfikirii kiundani??ikitokea mkeo anamaradhi ya kudumu(ugumba)halafu wewe unataka mtoto au ndugu zako utamuacha mkeo au utaoa mwingine ili upate mtoto??au mkeo kapata HIV hautaoa mwingine ili akutimizie haja zako??kutooa mara ya pili kwa sababu kama hizo ndio zinapelekea wakristo wengi kutoka nje ya ndoa kwa kutafuta watoto au kutimiziwa haja zao za kimaumbile ambapo unafanya ZINAA eti kisa padre kakataza usioe tena??sasa mnapinga hilo ktk katiba mpya!hamuoni mnaroho mbaya na upendeleo?kwanini msitoe na nyie madai yenu kama hamna udini??

2.Mwaka 1978 nyerere(Laana ya Mwenyezimungu iwe juu yake)aliwaahidi maaskofu kulipa kiapumbele kanisa katoliki TZ kuliko taasisi yoyote TZ.hamuoni yeye alionesha udini??hadi mnataka kumpa utakatifu kwa kuimarisha kanisa TZ??

3.Sisemi saaaana bali padre Dr john c sivalon ktk kitabu chake 'KANISA KATOLIKI NA SIASA ZA TANZANIA BARA' ameelezea ucpendeleo wote na mipango ya kuimariasha kanisa Tz,,halafu leo mnataka usawa tz wakati nyerere ndie alieanzisha udini??

Acheni chuki za kijinga!!

Ewe Mungu uliyejuu, msaidie huyu mwanao manake hajui hata maneno anayoyasema na hata maana yake, mpe uelewa na elimu ili aweze kuishi kwa Amani hapa Duniani!
 
Huyu askofu hatumii akili??kwahiyo matukio wanayofanya waislam ni ya kishetani??yeye amesahau serikali ilivyowafanyia waislam mwembe chai??mbona sisi hatukusema ni tukio la kishetani??na waliochoma makanisa znz si UAMSHO bali askari toka bara,na picha zao zipo wakiwa wameshika mizinga ya moto!!

Kama dini yenu si ya kibaguzi kwa nini mkanushe madai ya waislam ktk katiba mpya??
1.Kuoa mke zaidi ya mmoja mnapinga!hivi hamfikirii kiundani??ikitokea mkeo anamaradhi ya kudumu(ugumba)halafu wewe unataka mtoto au ndugu zako utamuacha mkeo au utaoa mwingine ili upate mtoto??au mkeo kapata HIV hautaoa mwingine ili akutimizie haja zako??kutooa mara ya pili kwa sababu kama hizo ndio zinapelekea wakristo wengi kutoka nje ya ndoa kwa kutafuta watoto au kutimiziwa haja zao za kimaumbile ambapo unafanya ZINAA eti kisa padre kakataza usioe tena??sasa mnapinga hilo ktk katiba mpya!hamuoni mnaroho mbaya na upendeleo?kwanini msitoe na nyie madai yenu kama hamna udini??

2.Mwaka 1978 nyerere(Laana ya Mwenyezimungu iwe juu yake)aliwaahidi maaskofu kulipa kiapumbele kanisa katoliki TZ kuliko taasisi yoyote TZ.hamuoni yeye alionesha udini??hadi mnataka kumpa utakatifu kwa kuimarisha kanisa TZ??

3.Sisemi saaaana bali padre Dr john c sivalon ktk kitabu chake 'KANISA KATOLIKI NA SIASA ZA TANZANIA BARA' ameelezea ucpendeleo wote na mipango ya kuimariasha kanisa Tz,,halafu leo mnataka usawa tz wakati nyerere ndie alieanzisha udini??

Acheni chuki za kijinga!!
Kama wewe huna uwezo wa kusababisha mtoto (kumpa mimba mkeo), naye aolewe na mwanamume mwingine apate mtoto????

Mbona hamuangalii upande wa haki ya ndoa kwa mwanamke???? Au mwanamke yeye ni chombo tu cha kukuzalia watoto?? Ukiona huyu siyo productive unavuta mwingine???

Mbona hata pale ambapo mke wa kwanza anazaa bado uoaji unaendelea??? Hoja ya kuoa ni hoja ya kuwapotezea muda waTZ ktk kujadili KATIBA??? Shule ni muhimu sana.............
 
Ukibishana na kichaa watu hawataelewa nani ni mzima kati yenu. Kwenda shule ni vyema sana.
 
Huyu askofu hatumii akili??kwahiyo matukio wanayofanya waislam ni ya kishetani??yeye amesahau serikali ilivyowafanyia waislam mwembe chai??mbona sisi hatukusema ni tukio la kishetani??na waliochoma makanisa znz si UAMSHO bali askari toka bara,na picha zao zipo wakiwa wameshika mizinga ya moto!!

Kama dini yenu si ya kibaguzi kwa nini mkanushe madai ya waislam ktk katiba mpya??
1.Kuoa mke zaidi ya mmoja mnapinga!hivi hamfikirii kiundani??ikitokea mkeo anamaradhi ya kudumu(ugumba)halafu wewe unataka mtoto au ndugu zako utamuacha mkeo au utaoa mwingine ili upate mtoto??au mkeo kapata HIV hautaoa mwingine ili akutimizie haja zako??kutooa mara ya pili kwa sababu kama hizo ndio zinapelekea wakristo wengi kutoka nje ya ndoa kwa kutafuta watoto au kutimiziwa haja zao za kimaumbile ambapo unafanya ZINAA eti kisa padre kakataza usioe tena??sasa mnapinga hilo ktk katiba mpya!hamuoni mnaroho mbaya na upendeleo?kwanini msitoe na nyie madai yenu kama hamna udini??

2.Mwaka 1978 nyerere(Laana ya Mwenyezimungu iwe juu yake)aliwaahidi maaskofu kulipa kiapumbele kanisa katoliki TZ kuliko taasisi yoyote TZ.hamuoni yeye alionesha udini??hadi mnataka kumpa utakatifu kwa kuimarisha kanisa TZ??

3.Sisemi saaaana bali padre Dr john c sivalon ktk kitabu chake 'KANISA KATOLIKI NA SIASA ZA TANZANIA BARA' ameelezea ucpendeleo wote na mipango ya kuimariasha kanisa Tz,,halafu leo mnataka usawa tz wakati nyerere ndie alieanzisha udini??

Acheni chuki za kijinga!!

acha kushughulikia mambo yasiyokuhusu, suala la wakristo waachie wakristo wenyewe. kwa sababu hoja yako ni ya kimwili zaidi ngoja na mimi nijibu kimwili, mbona na nyie msiruhusu wanawake kuwa na waume zaidi ya 1? kama mtu mume wake amedhibitishwa na daktari kwamba ni tasa na hawezi kuzaa mnamfikiriaje? au kama mtu mume wake ameadhirika na yeye ni mzima kwa nini asiolewe na mwanaume mwingine? sisi tunaamini Upendo uvumilia, hata kama yapo magumu katika ndoa yatafichwa au kuondolewa na upendo, kwa nini usimvumilie mtu hata kama ni tasa ama mgonjwa, ni mangapi sisi tunamkosea Mungu na yeye hajatuacha bado anatupenda, hivi ukimkimbia mke wako sababu ni tasa una uhakika gani kuwa huko mbele na wewe utakuwa salama? unaweza kupata watoto lakini wasiwe faida kwako. sitaki kuongea sana wakristo hatuna wazo wala nia ya kulipa kisasi, kisasi ni Mungu ndiye atakayelipa, sisi tutaendelea kunyamaza kimya.
 
Nyie ni waoga!hamana uhakika na dini yenu!!
...
Ya Rwanda yaje tu!
...
Waislam haturudi nyuma
Unaonesha kiwango cha chini kabisa cha busara, kwa hiyo uhakika wa dini ya kislam unakwambia uwachukie wenzako mnapotofautiana imani?
 
Oktoba 12 mwaka huu, matukio mabaya na yenye kutia doa sifa ya amani umoja na Utengemano wa Taifa la Tanzania, yalijitokeza huko Mbagala Jijini Dar es Salaam, wakati watu wenye jazba wanaoaminika kuwa ni Waislamu wenye msimamo mkali walipovamia makanisa saba ...na kuyachoma moto eti kwa kulipiza kisasi cha mtoto aliyekojolea kuran katika utani wa kitoto.

Katika mkasa huo ambao ni kama muendelezo wa ghasia zingine zilizotokea kule Zanzibar miezi michache iliyopita na kuteketeza makanisa mbalimbali mbali na kuharibu mali za kanisa na zile za watu binafsi.

Tukio la Mbagala limesababisha makanisa saba kuharibiwa vibaya, mali kuibiwa na hata kuhatarisha maisha ya watanzania na kuwafanya waishi kwa hofu na kupoteza matumaini.

CHANZO CHA TUKIO

Kwa mujibu wa walioshuhudia, Polisi na wahusika (Waislamu) chanzo cha ghasia hizo na mabishano ya kitoto baina ya watoto wa dini ya Kiislamu na kikristo, waliobishana kuwa ikiwa mtu atakojolea kuran na kuitemea mate atageuka mbuzi au nyoka.

Lakini baada ya
tukio hilo la kitoto watu walilikuza na kulipeleka kwenye misikiti na hivyo kuchocheza ghasia. Kimsingi tukio lenyewe ni jepesi sana ukilinganisha na matokeo yake. Ukweli kwamba waliofanya utani huo ni watoto na chanzo chake ni mabishano ya kitoto, unatia shaka kuwa huenda kuna hoja nyuma ya pazia ambayo isipotazamwa kwa makini inaweza kulete matokeo mabaya sana.

Jambo linalonitia shaka ni kufanana kwa matukio ya kuchomwa moto kwa makanisa ya Zanziabar na ya Mbagala ambapo hakukuwa na uhusiano wa vyanzo vya ghasia na makanisa husika.

Mfano; Ghasia za Zanzibar zilizopelekea kuangamizwa kwa makanisa zinaelezwa kuwa zilitokana na kikundi cha Kiislamu cha Uamsho wa Mihadhara, kilichokuwa kikiandamana kudai mjadala wa Muungano, lakini zikaishia kwenye uchomaji wa makanisa, hapa hauonekani uhusiano wa kanisa na Muungano; nalazimika kujiuliza kulikoni?

Vivyo hivyo tukio la Mbagala halina uhusiano wa moja kwa moja na kanisa kwa kuwa hakuna ushahidi wala hata tetesi kuwa mtoto huyo alitumwa na kanisa lolote. Wahusika wa dini ya Kiislamu akiwepo Sheikh Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, analielezea tukio la kitoto kama lisilostahili hata mtu kufunguliwa mashtaka bali kuelekezwa tu. Ni vipi lisababishe uchomaji wa makanisa?

MAKANISA YALIYOCHOMWA MOTO

Katika ghasia hizo za aina yake, makanisa saba yamethibitishwa kuharibiwa kwa kuchomwa moto, kupasuliwa vioo, viti na kuibiwa vyombo vya muziki na jenereta. Makanisa hayo ni TAG Kizuiani, Agape, Kibonde maji, SDA Sabato, Mbagala Kizuiani, Katoliki Kristo Mfalme Mbagala Rangi Tatu, Anglican Mbagala Kizuiani, KKKT, Mbagala Zakhem na TAG, Shimo la Mchanga.

Pamoja na majengo hayo kubomolewa kwa viwango tofauti mengine yakichomwa moto, pia wahusika waliiba Genereta, na vyombo vya muziki vya makanisa hayo na kuvunja magari na baadhi yao kuchomwa moto.

Choko choko zilizinazoweza kuwa chanzo cha matukio hayo ni:

Januari sita mwaka huu, kikundi kimoja kinachoitwa JUAKITA, kiliitisha kongamano la kujadili katiba mpya Tanzania, kwa upande wa Waislamu. Katika kongamano hilo lililofanyika kwenye Ukumbi wa Diamond Jubilee, Dar es Salaam kulitolewas
kauli za kichozi kama:

1. Lazima Rais ajaye atoke Zanzibar
2. Kukabiliana na ukuaji wa kasi wa dini ya Kikristo
3. Kupinga Muungano ili kuupa nguvu Uislamu
4. Kupigana kufa na kupona kutetea maslahi yao wakati huu wa kuandaa katiba mpya.

Kauli hizo zilitolewa na Sheikh Nasoro Mohamed, kutoka Zanzibar, ambaye alikuwa mgeni rasmi. Baadaye zikaandaliwa kanda za CD zilizosambaza ujumbe huo.

Uchunguzi unaonesha kuwa uchochezi huu umekuwa ukiwaandaa watu kusubiri
vijitukio vidogo tu ili kulipua ghasi. Tuliona jinsi makanisa yalivyochomwa kule Zanzibar. Kwa kuwakumbusha tu, Makanisa yaliyoangamizwa katika tukio hilo ni: EAGT, Elimu Pentecost na TAG, Anglikana, Katoliki na FPCT.

Ni jambo la kusikitisha kuwa matukio haya yanatokea siku mbili tu kabla ya maadhimisho ya miaka 13, ya kifo cha Rais wa Kwanza, Mwl. Julius kambarege Nyerere. Leo hotuba na midahalo inarindima kila mahali kumuenzi Nyerere, lakini wengi wetu tukiwa tumejaa majozi baada ya nyumba zetu za ibada kuharibiwa katika matukio yanayoashiri hatari kubwa.

Hofu yangu ni kuwa, roho hii ya ubaguzi wa kidini ambayo Baba wa Taifa hayati Mwl. Julius Kambarage Nyerere aliifananisha na dhambi ya kula nyama ya mtu, imekuwa ikiyatafuna mataifa ya Afrika kama ifuatavyo:

  1. Mwaka 2000, vuguvugu la kuanzishwa kwa utawala wa Kiislamu (Sharia), lilianza kwenye majimbo ya Kaskazini mwa Nigeria, miaka michache baadaye majimbo kadhaa yakajitangazia sheria hizo na tangu wakati huo kumekuwa na mapambano yasiyoisha. Takwimu zinaonesha kuwa katika miaka ya karibuni zaidi ya Wakristo 500 wameuawa kikatili na makanisa kuchomwa moto.
  2. Roho hii imekuwa ikienea kwa kasi katika maeneo mbali mbali ya Afrika ambapo imelikumba taifa la Mali, majimbo ya kaskazini tayari yametangaza kujitenga na kuna vuguvugu lenye kuhusisha mapigano ya silaha.
  3. Itakumbukwa kuwa miezi michache tu ilizopita vuguvugu hili la kudai utawala wa kidini liliibuka nchini Kenya ambapo watu wanaojiita wanaharakati walianzisha madai ya kutaka eneo la Pwani kujitenga na Jamhuri ya Kenya na kujitangazia taifa la Kiislamu.
  4. Katika tukio hilo inasemekana mtoto huyo alitengenezewa mabishano ya kitoto kuwa akichoma kurani atakuwa chizi naye akabisha kisha akapewa kiberiti na kurani akachoma tena walioandaa mzaha huo wakamkamata na kumpeleka mahakamani.

Tukio linalofanana na hilo lilitokea tena Bagamoyo mkoani Pwani ambapo mtoto wa kike alishtakiwa na hata kuhukumiwa kifungo kwa madai ya kuchoma kuran lakini tukio lilikuwa katika mabishano ya
midhaha ya kitoto.

WITO WANGU

Natoa wito kwa Wakristo wote nchini kujiepusha na mizaha inayoweza kutengeneza sababu za kulipuka kwa ghasi na kutengeneza mwanya wa watu wenye nia mbaya kutekeleza agenda zao zaria Ili kulinda amani umoja na utengemano wetu, nawasihi viongozi wa makanisa kuonya na kukemea waumini na watoto wetu wasishiriki kwa namna yoyote ile mizaha inayopelekea kuchoma au kuharibu vitabu au nyaraka za kidini.

Nawasihi watanzania wote kwa ujula kujiepusha na mizaha ya kidini inayoweza kuchafua amani yetu, na pale jambo lolote lenye kukera linapotokea tujiepushe kuwa mawakala wa shetani wa kueneza chuki badala ya amani na upendo.

USHAURI WANGU KWA SERIKALI NA VIONGOZI

Nawashauri viongozi wa Serikali ambao leo wanatoa matamko na kushiriki midahalo ya kumuenzi Mwl. Nyerere kukumbuka kuwa huyo alikuwa na mapenzi makubwa na amani na umoja wa taifa. Kwa hiyo kumuenzi kwa vitendo ni kudumisha utawala bora, unaofuata sheria usio na chembe ya ubaguzi wa aina yoyote.

Kulipuka majukwaani kumuenzi Nyerere bila kuilinda na kuitetea amani ya nchi ni kujidanganya.

Ni wajibu wa kila Mtanzania kutii sheria na mamlaka kwa kuwa zimewekwa/kuruhusiwa na Mungu, hivyo kuziasi ni Kumuasi Mungu, yaani ni dhambi. Hivyo kila Mtanzania anastahili kukumbuka wajibu wake wa kutii mamlaka.

Viongozi wenzangu wa dini wakumbuke kuwa wana wajibu mkubwa katika jamii, na jamii inawasikiliza hivyo ni vyema wakawa makini katika matamshi na maelekezo yao ili wasiwe chanzo cha kuchochea vurugu za kidini na uvunjaji wa amani.

Pia ningependa kuwashauri viongozi wa serikali kusimama imara katika kusimamia sheria na haki, na kuepuka kauli au vitendo vitakavyofanya baadhi ya watanzania kudhani kuwa hawatendewi haki.

Ni vema ieleweke kuwa matukio kama haya ya uvunjaji wa amani yasipodhibitiwa na kukomeshwa haraka yanaweza kuumba chuki ambayo inaweza kuibua mlipuko mkubwa na machungu kwa wananchi na matokeo yake yakawa mabaya kwa Taifa zima. Hekima na busara inatufundisha kuwa tusipoziba ufa tutajenga ukuta.

Ni vyema wenye dhamana ya kuongoza wakakumbuka kuwa wanawajibu mbele ya Mungu aliyewaweka au kuwaruhusu kuingia madarakani na siku moja watatoa hesabu mbele zake.

Ni vyema viongozi wa Serikali wakajizuia kufanya maamuzi yanayoashiria upendeleo kwa baadhi ya makundi ya kidini na kukiuka utawala wa sheria, mfano; kutii waandamanaji na kuwaachia bila mashrti watu waliokamatwa kwa mujibu wa sheria kuna jenga kiburi kwa makundi yenye kiu ya matumizi ya nguvu na kujenga hofu kwa pande zingine.

Ni vyema mamlaka zikasiamama katika sheria na kufanya hukumu kulingana sheria badala ya kuamua mambo ya kisheria kisiasa.

WITO MAALUMU KWA VIONGOZI WA DINI

Nitumie nafasi hii kuwasihi vingozi wenzangu wa dini, kusimama imara katika kuombea taifa na kuhubiri kwa nguvu ili kukabiliana na giza la kiroho ambalo linatishia kuifunika nchi.

Takwimu za karibuni kabisa za utafiti uliofanywa na taasisi ya Washnton DC iitwayo, Pew Research Centre, na kurushwa na Televisheni ya CNN, Katika kipindi chake cha Inside Africa, zilionesha kuwa watanzania asilimia 93, wanaamini mambo ya ushirikina na uchawi wakati Uganda ni asilimia 29 na Kenya ni asilimia 27 Tu. Mahali ambapo giza la kiroho limezingira kiasi hiki ni lazima matukio ya kishetani yashamiri tuchukue hatua.

Mwisho, natoa wito kwa watanzania wenzangu tuulinde umoja, amani na utengamano wa taifa letu, tuikimbie dhambi ya ubaguzi kwa kuwa tukiiruhusu itatuangamiza sote. Tuliombee taifa letu na kukiwa na mbegu ya chuki tuimalize kwa njia ya majadiliano na vikao vya pamoja vinavyohusisha viongozi wa dini zote na serikali pia.

Imetolewa leo 14/10/2012
Na Dk. Barnabas Mtokambali
Askofu Mkuu wa TAG

Source: wavuti.com - wavuti

Huyu Askofu kweli hana akili timamu yaani kukojolewa Quran kwake ni kitu kidogo na utoto mbona huyo mtoto akukojolea kanisani kwao.
 
Huyu askofu hatumii akili??kwahiyo matukio wanayofanya waislam ni ya kishetani??yeye amesahau serikali ilivyowafanyia waislam mwembe chai??mbona sisi hatukusema ni tukio la kishetani??na waliochoma makanisa znz si UAMSHO bali askari toka bara,na picha zao zipo wakiwa wameshika mizinga ya moto!!

Kama dini yenu si ya kibaguzi kwa nini mkanushe madai ya waislam ktk katiba mpya??
1.Kuoa mke zaidi ya mmoja mnapinga!hivi hamfikirii kiundani??ikitokea mkeo anamaradhi ya kudumu(ugumba)halafu wewe unataka mtoto au ndugu zako utamuacha mkeo au utaoa mwingine ili upate mtoto??au mkeo kapata HIV hautaoa mwingine ili akutimizie haja zako??kutooa mara ya pili kwa sababu kama hizo ndio zinapelekea wakristo wengi kutoka nje ya ndoa kwa kutafuta watoto au kutimiziwa haja zao za kimaumbile ambapo unafanya ZINAA eti kisa padre kakataza usioe tena??sasa mnapinga hilo ktk katiba mpya!hamuoni mnaroho mbaya na upendeleo?kwanini msitoe na nyie madai yenu kama hamna udini??

2.Mwaka 1978 nyerere(Laana ya Mwenyezimungu iwe juu yake)aliwaahidi maaskofu kulipa kiapumbele kanisa katoliki TZ kuliko taasisi yoyote TZ.hamuoni yeye alionesha udini??hadi mnataka kumpa utakatifu kwa kuimarisha kanisa TZ??

3.Sisemi saaaana bali padre Dr john c sivalon ktk kitabu chake 'KANISA KATOLIKI NA SIASA ZA TANZANIA BARA' ameelezea ucpendeleo wote na mipango ya kuimariasha kanisa Tz,,halafu leo mnataka usawa tz wakati nyerere ndie alieanzisha udini??

Acheni chuki za kijinga!!

Sasa kama Askofu hana akili wewe ndo una akili?Watu wengine bana yaani vichwa vyao vimejaa mavi yaani huyu kunguni amepoteza muda wake kukaa kwa Internet Cafe au sifahamu kapewa muda kidogo na uamsho wenzake ndio kaanza kutoa mapovu hapa ni noma mkiambiwa nendeni shule hamtaki matokeo yenu ndi haya kazi kwenda madrasa na kusomea jinsi ya kujitoa/kujilipua.Na mtabakia hivyo hivyo hadi siku ya mwisho ati kuoa wake wawili kwani mke ndio mgumba pekee au ndie anayepatwa na maradhi kama sio uwendawazimu ni nini.Nakupa akiba ya maneno kama kaka yako au ndugu yako/jirani yako hazai utamfanyiea nini??Wake man
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom