zitto junior
JF-Expert Member
- Oct 7, 2013
- 19,318
- 29,198
Duu yani we jamaa bhana mpaka unatia huruma pale juu ulisema sio maadili mtoto mwenye mimba kurudi shule na ukasupport kauli ya huyo askofu kafiri kwamba kumrudisha shule mwanafunzi aliyezaa ni kusupport uzinzi je iweje sahivi unaona ni sawa tu akiendelezwa na mzazi????? Kma sio maadili je iweje umuendeleze shule za private????Kazi kweli kweli !!! Sheria na kanuni za shule zinazomilikiwa na serikali na taasisi mbalimbali ikiwemo mashirika ya dini mwanafunzi akipata mimba anafukuzwa na hana nafasi tena hapo.
Mzazi/mlezi linabaki kuwa ni jukumu lake naye akimsusa unakuwa ni bahati mbaya kwa muathirika lkn kama akipewa plan b atatafutiwa shule nyingine.
Hivi hoja yako ni ipi hasa mbona unaokoteza maana kumbe unaafiki mwanafunzi aendelww kusoma hata kma ana mimba ila at individual capacity si ndio sasa kma unaona kuna umuhim wa kuendelezwa je kwanni hutaki serikali ibadilishe sheria ili cku moja pia waruhusiwe kuendelezwa shule za serikali!!!!