Askari na mpenzi wake waungua moto hadi kufa

AKILI TATU

JF-Expert Member
Feb 10, 2016
2,658
2,804
1.jpg

Askari wa kike wa Usalama Barabarani, Attuganile Mwakibete (37) na mpenzi wake Sunday Mhagama (36), wameteketea kwa moto baada ya nyumba walimokuwa ndani kuungua.

Kamanda wa Polisi Mkoa wa Rukwa, Jacob Mwaruanda alisema tukio hilo lilitokea Februari 2, mwaka huu saa 7:15 mchana katika kitongoji cha Maporomoko, Kata na Tarafa ya Laela Wilaya ya Kipolisi ya Laela.

Inadaiwa kuwa nyumba hiyo iliyoteketea kwa moto ambayo askari Attuganile alikuwa amepanga vyumba viwili, ni mali Yaiyela Mwamahonje aliyokuwa akiishi na watoto wake wawili wadogo ambao wamenusurika kufa, licha ya kuwemo ndani ya nyumba hiyo wakati wa ajali hiyo.

Taarifa za uhakika zinaeleza kuwa Mhagama aliyekuwa rafiki wa trafiki huyo wa kike, ni mkazi wa Mbeya ambako mkewe anaishi, na alikuwa na mazoea ya kumtembelea mpenzi wake huyo mara kwa mara.

Inadaiwa askari Attuganile alikuwa ameachana na mumewe wa ndoa. “Vyumba viwili yaani sebule na chumba walimokuwemo Attuganile na Mhagama viliwaka moto baada ya jenereta lililokuwa likifanya kazi likiwa sebuleni humo kulipuka na kuwajeruhi vibaya,” alieleza.

Kwa mujibu wa Kamanda Mwaruanda, Attuganile alifariki dunia Februari 8, mwaka huu saa 2:30 asubuhi akipatiwa matibabu katika Hospitali ya Mkoa wa Rukwa mjini Sumbawanga.

Mhagama alikimbizwa na kulazwa katika Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Mbeya jijini Mbeya ambako alifariki dunia Februari 9, mwaka huu. Kamanda Mwaruanda alisema uchunguzi wa tukio hilo unaendelea.

Chanzo: Mpekuzi blog
 
ASKARI wa kike wa Usalama Barabarani, Attuganile Mwakibete (37) na mpenzi wake Sunday Mhagama (36), wameteketea kwa moto baada ya nyumba walimokuwa ndani kuungua.

pole sana wana familia na marehemu wapumzike kwa amani.amen
 
Daaaah kila mmoja amekufa akiwa na mchepuko wake.
R.I.P
Fundisho kwa wanaoweka majenereta ndani.
 
Katika taarifa hii tunajifunza vitu viwili vikuu, kwanza ni matumizi ya jenereta tena kulitumia likiwa ndani! hii ni hatari kabisa kwa kuwa linatakiwa liwekwe pembezoni au nje ya nyumba ingawa ni bora zaidi kutumia umeme wa jua(solar energy) ni salama zaidi kuliko huo umeme wa jenereta.

Lingine ni hilo la mahusiano ya marehemu wote wawili, hapo kuna watu wametendwa. Kwa kuwa uchunguzi unafanyika basi vyombo husika vitafanya kazi yake kwa weledi.

Mwisho wa yote basi tumwachie Mungu ndiye mwenye mamlaka ya kutuhukumu huko tuendako kama tuwakosefu au la.
 
Pole kwa familia zote,lakini Attuganile aliachika,huenda mhagama akawa chanzo au tofauti.
Ila asingefariki muhagama sijui kama angepata msaada kwa kutoka kwa mkewe.
 
Katika taarifa hii tunajifunza vitu viwili vikuu, kwanza ni matumizi ya jenereta tena kulitumia likiwa ndani! hii ni hatari kabisa kwa kuwa linatakiwa liwekwe pembezoni au nje ya nyumba ingawa ni bora zaidi kutumia umeme wa jua(solar energy) ni salama zaidi kuliko huo umeme wa jenereta.

Lingine ni hilo la mahusiano ya marehemu wote wawili, hapo kuna watu wametendwa. Kwa kuwa uchunguzi unafanyika basi vyombo husika vitafanya kazi yake kwa weledi.

Mwisho wa yote basi tumwachie Mungu ndiye mwenye mamlaka ya kutuhukumu huko tuendako kama tuwakosefu au la.
Mshahara wa dhambi ni mauti. Mungu alishasema uzinzi ni dhambi halafu wewe unasema aachiwe Mungu ahukumu? Wote wawili wamekufa kwenye uzinzi. Unategemea nini? Kuba watu wanategemea sala za wafu. Ni kujidanganya. Bibliia iko wazi. Baada ya kifo ni hukumu na siyo maombezi (Waebrania 9:27).
 
Katika taarifa hii tunajifunza vitu viwili vikuu, kwanza ni matumizi ya jenereta tena kulitumia likiwa ndani! hii ni hatari kabisa kwa kuwa linatakiwa liwekwe pembezoni au nje ya nyumba ingawa ni bora zaidi kutumia umeme wa jua(solar energy) ni salama zaidi kuliko huo umeme wa jenereta.

Lingine ni hilo la mahusiano ya marehemu wote wawili, hapo kuna watu wametendwa. Kwa kuwa uchunguzi unafanyika basi vyombo husika vitafanya kazi yake kwa weledi.

Mwisho wa yote basi tumwachie Mungu ndiye mwenye mamlaka ya kutuhukumu huko tuendako kama tuwakosefu au la.
Halafu mara zote genereta ndogo ni za petroli.....
 
jenereta linaungurumia sittingroom.?
usikute walikuwa wamenogewa na kuangalia x
 
Back
Top Bottom